Dont Undersetimate the Power of Clouds...

Dont Undersetimate the Power of Clouds...

Nilicheka sana jana ila kwa clouds ilivyo sijui kama atashine kama zamani.

Uzuri wa Ruge huwa anasaidia hata kwenye utunzi wa nyimbo, dogo alichemka sana kuwapotezea clouds.
 
Hivi watu wanao muona kama ruby kakosea kuwaomba msamaha clouds nyie ndiyo mnampa kula au ni domo tu kwenye mitandao ya kijamii coz yeye mwenyew amekaa huko ameona njaa kali bora arudi kundini.shame of u
 
Ila hii ishu ni kama kublackmail wasanii. Huyu bifu lilianza kwa wao kutoa malipo kidogo fiesta wao wakalileta kwenye kumnyima airtime. Watu wa haki za wasanii au wizara iingilie kati huu uhuni wa clouds na hicho kipindi cha kuomba msamaha ni ushahidi tosha wa uhuni wa clouds.
Kwani ni lazima clouds kucheza ngoma za ruby?,si kuna vituo vingi vya redio!!
 
Presenters wengi wakali wa entertainment wametokea arusha,sijui kwa nini?
Arusha tu wajanja wajanja saana..chunguza hata mashuleni utaona

[nikisema hivi kuna watakaosema najisifia]
 
aah wapi, East Afrika ndiyo walikuwa na huo uwezo wa kupambana na Clouds ila nao ndiyo hivyo.
Sure mkuu east africa walikuwa wanauwezo wa kucompite now but hawakuweza.kipindi hicho sam misago yupo kwenye power jams na anna peter na dj mafuvu,pia the cruise waliyokuwa wanaifanya george bantu na kenedytheremedy was the one of thebest weekdays night radio show
 
Arusha tu wajanja wajanja saana..chunguza hata mashuleni utaona

[nikisema hivi kuna watakaosema najisifia]
Naona ujanja wako

255586.jpg
 
Clouds kiboko yao ni Diamond plutnumz tu... hata fiesta ya mwaka jana aliwatosa hawakufika dau... watu wakazuga ana mkataba na voda... mkataba na voda umeisha zamani sana...

Diamond ametumia mbinu ya social network kupata mashabiki wengi na hawaondoki.. ana jeshi kubwa sana social network ambalo hakuna anaemuweza... mfano wale waliokufa juzi ni mojawapo ya wanajeshi wake wa instagram.. anavyodai yeye wapo 300... na wote wanapush kazi za wcb kila siku.... bado youtube.... so hata clouds wambanie vipi wasipige nyimbo zake.. atazipost mitandaoni na mashabiki watasikiliza tu

tigo fiesta ya rwanda diamond alienda peke yake akafanya show na wasanii wa rwanda tu na akalipwa hela ndefu sana... kusaga na ruge wanakwambia diamond Mungu anampenda sana...

Ruge alimtosa diamond THT mwaka 2006 kwamba hana kipaji, diamond amemuwekea kinyongo mpaka leo japo hapendi kusema...
 
Clouds kiboko yao ni Diamond plutnumz tu... hata fiesta ya mwaka jana aliwatosa hawakufika dau... watu wakazuga ana mkataba na voda... mkataba na voda umeisha zamani sana...

tigo fiesta ya rwanda diamond alienda peke yake akafanya show na wasanii wa rwanda tu na akalipwa hela ndefu sana... kusaga na ruge wanakwambia diamond Mungu anampenda sana...

Ruge alimtosa diamond THT mwaka 2006 kwamba hana kipaji, diamond amemuwekea kinyongo mpaka leo japo hapendi kusema...

Siku zingine kama huna uhakika na kitu au hujui kitu ni nyema tu ukanyamaza usije ukawa unachekesha na ukadharaulika. Kwa taarifa yako tu ni kwamba Diamond hafurukuti kwa Ruge hata Chembe na Ruge ndiyo kila kitu kwa Diamond na mafaniko ya Diamond 85% kuna mkono wa Ruge. Uliza kwa wanaojua ' mziki ' mzima watakuambia.
 
kama Ruge ndio kila kitu mafanikio ya diamond.. kwa nini asisababishe wasanii waliopitia kwake wafanikiwe kama diamond... eg kina barnaba, nandy, ladyjaydee, ray c, THT..

mafanikio ya diamond ni juhudi zake mwenyewe...

mbagala imetengenezwa studio gheto wa bob juniour hawana hata vifaa vya maana.... ila bob juniour anakwambia diamond kaingiza vocal ya mbagala mara moja... toka ameanza production hajawai kukutana na mtu serious kama diamond...

mafanikio ya diamond ni juhudi zake mwenyewe...

hao kina nandy awafelishe.. akamsaidie diamond...

hili nalo linaitaji degree kweli?

Back
Top Bottom