Doto Magari ana hoja kuhusu Wasomi, asikilizwe!

Doto Magari ana hoja kuhusu Wasomi, asikilizwe!

Ukiumwa unaharisha huko mbona unasumbua madaktari si ujitibu mwenyewe bwege wewe kama kusoma hakuna maana
Daktari asingesoma huyo Doto magari angetibiwa na hayo magari yake takataka toka majalala ya Japan anayouza huyo bwege?

Ndege anazopanda ATCL mfano marubani wasomi wasingesoma angeendesha yeye? Au treni ya SGR yeye angeendesha kama kusingekuwepo na watu walioamua kusoma?

Madaktari huyo bwege Dotto magari akija hosputalini kutibiwa na yeyote anayedharau wasomi hadharani iwe bungeni nk msimtibu na mwambieni kabisa elimu haina maana na kusoma hakuna maana ikiwemo.kusomea udaktari nenda kwa wasiosoma wenzio wakakutibu bwege wewe

Wasomi ifike mahali mchachamae kuleta heshima kwenye elimu

Watu kama hawa wakikanyaga hospital wafanyizieni

Yuko na kule tiktok wasomi na wapenda wasomi susieni magari yake asinine mtu kwake
Wala usinifundishe kaz bro, huyo ameyakanyaga muda sana.
Ameingia kwa msomi mtoto wa uswahilini fitina tunaziweza.
Kumtengenezea Biological weapon ni sekunde tu.
 
Watu wote wa kino dotto wanamjua vizuri, halafu kilikuaga chembamba sana
Mimi tunajuana vzr sana
Kuna wakat nlikuwaga na coaster
Napiga route ya mwananyamala posta...kuna siku moja moja nlikuwa nakomaaga mwenyewe,ashanipigia sana debe ....wakat huo manyanya pale pa moto mateja wamezaga kama mazombie 😄 ilikuwa shuguli
Sasa nkj kupotea siku namuona
Yuko maskani kule nyuma ya mwanamboka kuna bar inaitwa full stop,dotto huyo kaulamba
Dotto kabadilika...sema vizinga vya bia tu uchawa hapo anawafanyia wale matajiri kina sawe na wengine hapo
Mara eh kaingia mitandaoni 😄
All in all wamuache kapitia mengi

Ova
 
Ifike mahali serekali iwasajili hawa madalali.ili uchungu wa kulipa kodi kulingana na pato lako uwaingie.Madalali wanapata pesa ila kwakuwa hawajasajiliwa kuna pesa serikali yetu inakosa ebu wafanyiwe trela la usajili tuone hizi mbwembwe na uchawa kama bado zitakuwepo😄😄😄
Mminyo wa Kodi haujawaingia vizuri hawa mbwa ,ndio maana wanaongea shit kama kahaba aliyemeza dick
 
Mimi tunajuana vzr sana
Kuna wakat nlikuwaga na coaster
Napiga route ya mwananyamala posta...kuna siku moja moja nlikuwa nakomaaga mwenyewe,ashanipigia sana debe ....wakat huo manyanya pale pa moto mateja wamezaga kama mazombie 😄 ilikuwa shuguli
Sasa nkj kupotea siku namuona
Yuko maskani kule nyuma ya mwanamboka kuna bar inaitwa full stop,dotto huyo kaulamba
Dotto kabadilika...sema vizinga vya bia tu uchawa hapo anawafanyia wale matajiri kina sawe na wengine hapo
Mara eh kaingia mitandaoni 😄
All in all wamuache kapitia mengi

Ova
Ukute huyu fala ni punda wa akina Alex masawe na Yale mamafia ya mjini ya biashara za kona kona
 
Mimi tunajuana vzr sana
Kuna wakat nlikuwaga na coaster
Napiga route ya mwananyamala posta...kuna siku moja moja nlikuwa nakomaaga mwenyewe,ashanipigia sana debe ....wakat huo manyanya pale pa moto mateja wamezaga kama mazombie 😄 ilikuwa shuguli
Sasa nkj kupotea siku namuona
Yuko maskani kule nyuma ya mwanamboka kuna bar inaitwa full stop,dotto huyo kaulamba
Dotto kabadilika...sema vizinga vya bia tu uchawa hapo anawafanyia wale matajiri kina sawe na wengine hapo
Mara eh kaingia mitandaoni 😄
All in all wamuache kapitia mengi

Ova
Najua dotto wewe wamjua vizuri, na maneno maneno dotto hajaanza leo kama unavomjua, sema tu Kwa sasa anatakiwa kua na mtu wa kumcontrol ili kila anachosema asepe na makundi yote, maana hata hao wasomi hua analenga magari yao, na anafanya nao biashara, japo anawaeleza ukweli kabisa
 
Kweli 😄

Ova
 
Msomi hawezi kuchukia anachofanya dotto au kumtukana.

Being educated means -being civilized the guy Dotto anaweza kuwa anakosea Ila kumjibu na kumtukana Ndo yeye anapenda maana anachotafuta yeye ni attention either iwe positive au negative.

So ile humbleness, positivity , kuwa cool ndo inabeba usomi .

Hivyo MTU makini na msomi hawezi kumjibu dotto in negative way

So alichoongea hapo kuhusu wasomi kusukuma IST ni kweli yupo sahihi kwa uelewa wake haina haja ya kumjibu kwa kumtukana.

Kumbuka unapomtukana na kumuongelea hivi yeye ndo anapenda maana anaendelea kuwa midomoni mwa watu na kutengeneza pesa.
 
Huyo jamaa hana hoja yoyote...amejipata tu anawasumbua wasomi....
Kwa kawaida msomi alitakiwa awe anapata pesa ya maana kutokana na profession yake.maswala ya kufungua carwash,kijiwe cha supu yalitakiwa wafanye akina doto magari.
Sema bongo mishahara ni midogo sana .Huwa naongea na ma Dr Wa mambele hawahangaiki na kufanya kazi wiki nzima sijui hospitali nne hayo mambo yapo huku machochoroni....pathetic
 
Msomi hawezi kuchukia anachofanya dotto au kumtukana.

Being educated means -being civilized the guy Dotto anaweza kuwa anakosea Ila kumjibu na kumtukana Ndo yeye anapenda maana anachotafuta yeye ni attention either iwe positive au negative.

So ile humbleness, positivity , kuwa cool ndo inabeba usomi .

Hivyo MTU makini na msomi hawezi kumjibu dotto in negative way

So alichoongea hapo kuhusu wasomi kusukuma IST ni kweli yupo sahihi kwa uelewa wake haina haja ya kumjibu kwa kumtukana.

Kumbuka unapomtukana na kumuongelea hivi yeye ndo anapenda maana anaendelea kuwa midomoni mwa watu na kutengeneza pesa.
Sahihi kabisa Mkuu,

Kumtukana Dotto ni kukubaliana na alichokisema kua ni sahihi,

Unapoanza kumtukana Dotto inakua ngumu kumtofautisha nani msomi na nani sio msomi.
 
Nakubaliana nae kama Hawa ndo wasomi wameshiriki kuuza mbuga zetu na bandari tuna wasomi Gani Sasa?

Hao wasomi na akina msukuma wanatofautiana Nini wote wagonga meza tu mbungeni.

Tuna mainjinia kibao lakni hawajawahi buni kitu chochote Cha maana yaani ovyo ovyo
 
Attachments

  • 20240707_091715.jpg
    20240707_091715.jpg
    68.3 KB · Views: 2
Kudharau wasomi ni laana kwa taifa. Pia hizi biashara za uchuuzi wa bidhaa kutoka nje hautaweza kuleta taifa imara kiuchumi. Udalali na umachinga ni njia tu ya kuja kutawaliwa tena. Mtu kama Dotto anapaswa kukemewa kwasababu sio mfano wa kuigwa kwa kizazi kinachochipukia. Maendeleo ya kweli yataletwa kupitia mapunduzi ya elimu na sio huu uchuuzi wa magari na bidhaa zingine kutoka nje.
 
A). Mfanyabiasha Maarufu wa Magari nchini Ndugu Dotto Magari ameonekana kwenye mitandao akizungumzia namna Wasomi nchini wasivyojitambua Wala kutumia usomi wao kuongeza kipato. Na kutishia kwenye dimbwi la umaskini akifanikiwa Sana ananunua Hari ya IST Tena Kwa mikopo wa benki.

B). Namnukuu "wasomi mmesomea Njaa" jaman lolote.

C). Mheshimiwa Dotto ana hoja ya msingi kuhusu kubweteka Kwa Wasomi wetu. Asikilizwe, ana hoja.

NB: Wasomi msikilizeni Kwa makini, msitumie mihemko kumjibu. Bali jibuni hoja kwa hoja. Msimtukane Wala kumbughudhi hapo ndo kipimo cha usiku wenu kitaonekana.

Mbona anatukana tu hatoi hoja. Tatizo la watu wenye elimu ndogo ni moja wana hasira na watu wenye elimu kubwa, na wanataka kuwaona wanafeli kiuchumi ili wawatumie kama mifano kusema elimu ya darasani haina maana kwasababu wao hawana. Anadai wasomi wanatembelea IST, hii sisi wasomi tunaita hasty generalization. Kuna wasomi wengi wanatembelea gari bei kubwa ambazo walizipata kupitia benefits za elimu zao. Pia gari sio kipimo cha mafanikio ya kiuchumi mwambie doto magari kabla ya kuwaita watu wana njaa anastahili japo ka course kuhusu mambo ya development ajue tunapimaje umasikini.
 
Back
Top Bottom