GANJIBHAAI
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 790
- 2,049
Kaka kwa uwezo wako wa akili nakuheshimu sana 😀Mimi sipangiwi, ikipita wiki sijala kitimoto naumwa sanaaa
Kaka kwa uwezo wako wa akili nakuheshimu sana 😀Mimi sipangiwi, ikipita wiki sijala kitimoto naumwa sanaaa
Sio kweliSema dini ni kama ulevi hivi!
Unachukia kula nguruwe, lakini mkeo unamgeuza fresh tu
Nguruwe analiwa peupe, haya mengine yanafanyika gizani, siriniSio kweli
Mwislamu hata akiwa teja siku akitaka kuoa atakuja shehe kufungisha ndoa !Leo kawa shekhe ? Mtu anavaa cheni ,haendi kusali ,unasema ni shekhe?
Dotto ni shekheMwislamu hata akiwa teja siku akitaka kuoa atakuja shehe kufungisha ndoa !