Dotto Abdallah Ketto (Doto Magari) atafuna nyama ya kitimoto hadharani

Kitimoto akbar

Katika Injili za Mathayo, Marko na Luka, Yesu ameitwa mara 22 kwa jina la "Mwana wa Mungu", lakini hata mara moja yeye mwenyewe hakujiita kwa jina hilo.

Katika Mathayo 27.43 tuliyonukulu hapo juu yanatajwa maneno ya wakuu wa makuhani wa Kiyahudi pamoja na waandishi na wazee waliokuwa wakimdhihaki, si maneno yake yeye Yesu.

Hao walikuwa wakimzulia kuwa anadai uwana wa Mungu, na anadai kuwa ni Mfalme wa Israeli. Mara nyingiwaliokuwa wakimwita Mwana wa Mungu walikuwa ama wendawazimu, wenye pepo wachafu, au askari wa Kirumi ambao tokea hapo wao ni washirikina, mapagani.

Ama mwenyewe Yesu alikuwa daima akipendelea kujiita mwana wa Adamu kwa Kiebrani, lugha yake, Bin Adam, yaani ni binaadamu, mtu tu. Katika Injili jina hili la Yesu kuitwa mwana wa Adamu limetajwa yapata mara 80
 
Vyakula ni tamaduni, kila tamaduni Ina vyakula wanakula na wengine hawali.

Shida ni pale utamaduni unaingizwa kwenye dini.

Ipi ni dhambi kubwa kati ya kula kitimoto au kuzini, kuiba na kutamani wake za watu?
 
Acheni uchokozi kwa kula huyo mnyama na kuonesha hadharani, ni kosa kisheria na kidini.
 
Katika Injili za Mathayo, Marko na Luka, Yesu ameitwa mara 22 kwa jina la "Mwana wa Mungu", lakini hata mara moja yeye mwenyewe hakujiita kwa jina hilo.

Katika Mathayo 27.43 tuliyonukulu hapo juu yanatajwa maneno ya wakuu wa makuhani wa Kiyahudi pamoja na waandishi na wazee waliokuwa wakimdhihaki, si maneno yake yeye Yesu.

Hao walikuwa wakimzulia kuwa anadai uwana wa Mungu, na anadai kuwa ni Mfalme wa Israeli. Mara nyingiwaliokuwa wakimwita Mwana wa Mungu walikuwa ama wendawazimu, wenye pepo wachafu, au askari wa Kirumi ambao tokea hapo wao ni washirikina, mapagani.

Ama mwenyewe Yesu alikuwa daima akipendelea kujiita mwana wa Adamu kwa Kiebrani, lugha yake, Bin Adam, yaani ni binaadamu, mtu tu. Katika Injili jina hili la Yesu kuitwa mwana wa Adamu limetajwa yapata mara 80
Sijasoma gazzeti ulikua unasemaje?
 
Sijasoma gazzeti ulikua unasemaje?

Nasema hivi ;

Je, Mungu Anatofautiana Vipi na Yesu?

Malaki 3:6
“Kwa kuwa mimi, BWANA, sibadiliki; kwa sababu hiyo ninyi wana wa Yakobo hamkuangamizwa.”

​

Mungu Hachoki Wala Halali — Yesu Alilala​

Isaya 40:28 Je, hujui? Je, hujasikia? BWANA, Mungu wa milele, Muumba wa miisho ya dunia, hazimii, wala hachoki; uelewa wake hauchunguziki.

Marko 4:37-39 Ikazuka dhoruba kuu ya upepo, mawimbi yakaanza kuipiga mashua hata ikajaa. Naye alikuwa nyuma, amelala juu ya mto. Wakamwamsha, wakamwambia, “Mwalimu, hujali kama tunaangamia?” Akaamka, akaukemea upepo, akaiambia bahari, “Tulia, nyamaza.” Upepo ukakoma, kukawa shwari kuu.

Mungu Anajua Kila Kitu — Yesu Hakuwa na Ufahamu wa Baadhi ya Mambo​

Isaya 42:8-9 Mimi ni BWANA, hilo ndilo jina langu; utukufu wangu sitampa mwingine, wala sifa yangu kwa sanamu. Tazama, mambo ya kwanza yamekwisha tokea, na mambo mapya nayatangaza; kabla hayajatokea nawaambia.

Isaya 46:9-10 Kumbukeni mambo ya zamani, tangu milele; kwa maana mimi ni Mungu, wala hakuna mwingine; mimi ni Mungu, wala hakuna kama mimi. Ninatangaza mwisho tangu mwanzo, na tangu zamani za kale mambo yasiyotendeka bado.

Isaya 48:3 Nalitangaza tangu mwanzo mambo ya kwanza; yakatoka kinywani mwangu, nikayatangaza; kisha nikayatenda ghafula, nayo yakatokea.

Marko 13:32-33 Lakini kuhusu siku ile na saa ile, hakuna ajuaye, wala malaika wa mbinguni, wala Mwana, ila Baba tu. Angalieni, kesheni na kuomba, kwa maana hamjui wakati huo utafika lini.

Mungu Hawezi Kuwa na Uovu — Yesu Alijaribiwa na Ibilisi​

Zaburi 5:4 Kwa maana wewe si Mungu apendezwaye na uovu; uovu hauwezi kukaa pamoja nawe.

Habakuki 1:13 Macho yako ni safi mno kiasi kwamba hayawezi kuangalia uovu; huwezi kuvumilia maovu.

Mathayo 4:1-4 Kisha Yesu alipelekwa na Roho jangwani, ili ajaribiwe na ibilisi. Naye alipokuwa amefunga siku arobaini mchana na usiku, mwisho akaona njaa. Mjaribu akamjia, akamwambia, “Kama wewe ni Mwana wa Mungu, amuru kwamba mawe haya yawe mikate.” Naye akajibu, akasema, “Imeandikwa, Mwanadamu hataishi kwa mkate tu, bali kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.”

Mungu Hawezi Kujaribiwa na Uovu — Yesu Alijaribiwa Kama Sisi​

Yakobo 1:13 Mtu asiseme atakapojaribiwa, “Ninajaribiwa na Mungu.” Kwa maana Mungu hawezi kujaribiwa na maovu, wala yeye hamjaribu mtu yeyote.

Waebrania 4:14-15 Basi, kwa kuwa tunaye Kuhani Mkuu aliyeingia mbinguni, Yesu Mwana wa Mungu, na tushike imani yetu bila kuyumba. Kwa maana hatuna Kuhani Mkuu asiyeweza kuhurumia udhaifu wetu, bali yeye alijaribiwa kwa kila namna kama sisi, lakini hakutenda dhambi.

Mungu Hawezi Kuonekana — Yesu Alionekana Waziwazi​

Kutoka 33:20 Akasema, “Huwezi kuuona uso wangu; kwa maana mwanadamu hataniona akaishi.”

Yohana 1:18 Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wowote; Mwana wa pekee aliye kifuani mwa Baba, huyo ndiye aliyemfunua.

Yohana 5:37 Naye Baba aliyenituma amenishuhudia. Hamjawahi kusikia sauti yake, wala kuuona umbo lake.

1 Timotheo 6:16 (Taz. juu)

1 Yohana 4:12 Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wowote. Tukipendana, Mungu hukaa ndani yetu, na upendo wake umekamilika ndani yetu.

Mungu Hakai Duniani, Wala Si Mwanadamu — Kristo Alikaa Nazareti, Naye Alikuwa Mwanadamu​

Hesabu 23:19 Mungu si mwanadamu hata aseme uongo, wala si mwanadamu hata ajute. Je, alisema, wala hatendi? Ametamka, wala hatalitimiza?

1 Wafalme 8:27 Lakini je, Mungu atakaa kweli juu ya nchi? Tazama, mbingu na mbingu za mbingu haziwezi kukutosha; siyo hata nyumba hii niliyoijenga!

Ayubu 9:32 Kwa maana yeye si mwanadamu kama mimi, hata nipate kumjibu, ili tuingie pamoja hukumuni.

Mathayo 2:22-23 Lakini aliposikia ya kuwa Arkelao anatawala Uyahudi mahali pa baba yake Herode, aliogopa kwenda huko; naye akaonywa katika ndoto, akaenda zake sehemu za Galilaya. Akaenda akakaa katika mji uitwao Nazareti, ili litimie lile lililonenwa na manabii, ya kwamba ataitwa Mnazareti.
 
Atachukuwa na wale wanaochukua viumbe alivyoumba Mungu mwenyewe
 
Nikimalza Kula nguruwe nitasoma nitakujibu
 
Back
Top Bottom