HOLY BLINDFOLD
JF-Expert Member
- Jun 13, 2024
- 3,690
- 6,380
Jana Nusu,,, Mungu Bingwa Kanijalia Na Leo Nautafuna Unusu Wa Mdudu Tena...Hana Simile Kiumbe Wa Watu...
Mbona kawaida hiyo,Sheikh Dotto Abdallah Ketto atafuna nyama ya kitimoto hadharani
Sasa kwani nyama ya kitimoto ina shida gani ?
Masheikh huwa hawavai cheni!?Leo kawa shekhe ? Mtu anavaa cheni ,haendi kusali ,unasema ni shekhe?
Waambie aisee, kwani wanaona shida gani tukila? Wao wakila hatuwapigi picha na kuwapost humu.Wakristo mna shida kweli kweli
Raha ya kitimoto usiile ushuani. Inatakiwa sehemu kama Mianzini ambapo usafi wa eneo ni wa mashaka huku mpishi mwenyewe haeleweki kama amelewa au yuko sawa. Na wakati wa kula ni mwendo wa kufukuza nzi... halafu eneo liwe limebana hadi nyie wateja kupishana ni kwa shida. Kitimoto ya maeneo hayo inakuwaga tamu balaa.Naskia mianzini kuna kitmoto tamu balaa🤣
Umeona wapi ? Labda shekhe jina..Dotto tangu lini akawakilisha waislamu 😂😂😂wakristo bhana ,akitokea muarabu akafanya kosa mnajumuisha waislamu wote ,anaweza kuwa hata sio muislamu.Masheikh huwa hawavai cheni!?
Kwani ni mchungaji huyo?Leo kawa shekhe ? Mtu anavaa cheni ,haendi kusali ,unasema ni shekhe?
Mianzini chimbo kongwe na mdudu,nimekula pale way back 2008Kitimoto haina madhara yoyote kiafya. Ni nyama nzuri sana inayopendwa na wengi. Mimi ni mdau mkubwa wa kitimoto kwa Shirima Mianzini
Inasikitisha!!!Hawa ndio wabunge wajao katika bunge la Tz.
Tangu lin akawa shekhe?😂😂 Dotto leo kapewa cheo na wakristoKwani ni mchungaji huyo?
Huyu jamaa sio Muslim aisee, anafanya anayojua yake, wakirsto na Waislamu ni ndugu wanashilikana kwa kila kituTangu lin akawa shekhe?😂😂 Dotto leo kapewa cheo na wakristo
Umeona wapi ? Labda shekhe jina..Dotto tangu lini akawakilisha waislamu 😂😂😂wakristo bhana ,akitokea muarabu akafanya kosa mnajumuisha waislamu wote ,anaweza kuwa hata sio muislamu.
Unahusisha vitu haziendani ,mbona wewe haivai cheni? Tunaongelea cheni sio pete ?Mbona wanavaa mapete makubwa?. Huo ndio unafiki cheni huvai ila mapete makubwa kama mapedeshee unavaa. Kamuangalie mufti mkuu na mapete yake.