Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,600
- 59,760
TMDATFDA
TMDATFDA
Mtego huo, sukuma hio keteNafurahi sana napoona siku hadi siku watu wanajinasua kwenye mitego ya kidini.
Hii inathibitisha watu wameanza kuelewa maana sahihi ya Uhuru.
I can see 10 next moves mkuu.Mtego huo, sukuma hio kete
Kuna muslim anakula kambale alafu anamcheka mla kitimotoKiti moto ni sawa tu na nyama nyingine.
Naskia mianzini kuna kitmoto tamu balaa🤣Kitimoto haina madhara yoyote kiafya. Ni nyama nzuri sana inayopendwa na wengi. Mimi ni mdau mkubwa wa kitimoto kwa Shirima Mianzini
Astafillurahhh 🤮🤮🤮🤮!
😀😀😀siyo story hiyo, wakati wa mfungo huwa maeneo ya kitimoto yanadoda sana,na huwa inashuka bei baada ya mfungo wao kuisha inapanda tena, kwahiyo walaji ni wengi ila hapa utakuta Takibir na astakafirurai sijui......za kutosha
Hajataka kuwa mnafiki, waswahilina wengi wanakula mdudu na tunakula nao ila ukiwakuta vijiweni huko wanavyo-mbagaza kiumbe wa watu utastaajabu! Tuache unafiki maustaadhi
Kama kitabu cha Mnyazimungu kinavyotuongoza,sasa amefika hapo ananjaa na hakuna chakula kilicho tayari ni dharura kabisa 😀Hamna kosa ameshishikwa na dhalula ya njaa:
Anamkaribisha mdudu Zenjihuku akiwa amevaa T-shirt ya Welcome To Zanzibar !