Dotto Abdallah Ketto (Doto Magari) atafuna nyama ya kitimoto hadharani

Dotto Abdallah Ketto (Doto Magari) atafuna nyama ya kitimoto hadharani

Katika Injili za Mathayo, Marko na Luka, Yesu ameitwa mara 22 kwa jina la "Mwana wa Mungu", lakini hata mara moja yeye mwenyewe hakujiita kwa jina hilo.

Katika Mathayo 27.43 tuliyonukulu hapo juu yanatajwa maneno ya wakuu wa makuhani wa Kiyahudi pamoja na waandishi na wazee waliokuwa wakimdhihaki, si maneno yake yeye Yesu.

Hao walikuwa wakimzulia kuwa anadai uwana wa Mungu, na anadai kuwa ni Mfalme wa Israeli. Mara nyingiwaliokuwa wakimwita Mwana wa Mungu walikuwa ama wendawazimu, wenye pepo wachafu, au askari wa Kirumi ambao tokea hapo wao ni washirikina, mapagani.

Ama mwenyewe Yesu alikuwa daima akipendelea kujiita mwana wa Adamu kwa Kiebrani, lugha yake, Bin Adam, yaani ni binaadamu, mtu tu. Katika Injili jina hili la Yesu kuitwa mwana wa Adamu limetajwa yapata mara 80
Kula kitimoto wewe shehe wangu. Achana na hizi ngonjera.

Karibu kwa Mangi kitimoto hapa.
 
Siri huo ujinga, si kwa kiimani ila kitu kikiwa kizuri sanaaa ujue kuna shida mahali
 
Ulitaka ajifiche ! wakati yenyewe huchinjwa hadharani Kwa kelele nyingi nilijua wivu Kwa mademu tu
 
images (8).jpeg
 
Acheni uchokozi kwa kula huyo mnyama na kuonesha hadharani, ni kosa kisheria na kidini.
Muhammad akusema hivyo kuhusu kula nguruwe ....akusema waislamu wakiwa wanakula nguruwe wale kwa kujificha ...tuonyeshe Aya inayosema muhammad alisema kuwa nguruwe aliwe kwa kificho 🙄
YUPO SAHIHI ...KATI YA YESU NA MUHAMMADI NI YUPI HASWA ALIYE RUHUSU ULAJI WA NGURUWE ? JIBU NI MUHAMMADI....SWALI JE WAISLAMU NGURUWE MNA MCHINJA VIPI KABLA YA KUMPIKA?..UKIWAULIZA ILI SWALI UTAWAONA WAISLAMU WANAFIKI WAMEKODOA MIMACHO KODO 🙄🙄🙄 AWAJUI WAJIBU NINI😁 Jagina adriz FaizaFoxy Mufti kuku The Infinity Malaria 2
Njooni mle kitimoto kilicho chinjwa na waislamu kwa kuelekezwa kibla na dua zote zimefuatwa
 
Ukiambiwa utaje waislamu watano wanaokula kitimoto mtani kwako hapo upewe Milion 5 utaweza?
Naweza......MASWAHABA na MTUME walikuwa wanakula ...ushahidi huu hapa ...

YUPO SAHIHI ...KATI YA YESU NA MUHAMMADI NI YUPI HASWA ALIYE RUHUSU ULAJI WA NGURUWE ? JIBU NI MUHAMMADI....SWALI JE WAISLAMU NGURUWE MNA MCHINJA VIPI KABLA YA KUMPIKA UTAWAONA WAISLAMU WANAFIKI WAMEKODOA MIMACHO KODO 🙄🙄🙄 AWAJUI WAJIBU NINI😁 Jagina adriz FaizaFoxy Mufti kuku The Infinity Malaria 2
Njooni mle kitimoto kilicho chinjwa na waislamu kwa kuelekezwa kibla na dua zote zimefuatwa
 
Back
Top Bottom