Wakiacha ujinga wa kununua gari za million 500 kila mwaka. Kuna namna wanaweza kubackup huo umeme either kwa inveters au capacitors.St
Storage facilities za umeme wa megawatt 200 mpaka 1000 ni kama zipi? Mabetry 1000,000 ya gari yatumike kutunza charge? Kuna vifaa gani special?
Kila mwenye betri la la gari asiye na kazi nalo,tunaliomba
Hata sielewi kabisa!Walijua kwasababu maneno haya ''Saddle dam' niliyapata wakati wa kufuatilia ujenzi
Ukiangalia clip za awali za ujenzi kuna 'saddle dam' mbili zimejengwa kwasababu ya kudhibiti maji yakizidi
Sasa tunaposikia haya kwakweli lazima tukubali kwamba Waafrika hatuwezi kujitawala
Kwamba umeme hakuna kwasababu maji yamejaa! Kama si upuuzi ni ujinga wa hali ya juu sana
Anayesema hayo bila aibu si yule fundi wa VETA ni Naibu Waziri mkuu!
JokaKuu
Hivi... Haiwezekani maji yanayotumika yarudishwe bwawani kwa pump?🙃AFRIKA tuna shida jamani. Sasa inabidi tumwombe Mungu apunguze mvua.
Mitambo inazama majini. Serikali imeshtuka baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa kutangaza mvua inanyesha kali viunga hivyo. Wakati wana dizaini bwawa hawakujua kuna siku mvua zitapiga kali, Hakuna provision ya kuchepusha maji yanapozidi....
MWANANCHI ONLINE
APRIL 1st 2024
Mashine yazimwa Julius Nyerere
View attachment 2951205
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dr. Dotto Biteko, akikagua mitambo ya kufua umeme
Biteko amesema kutokana na Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini (TMA) kutangaza uwepo wa mvua kubwa kwenye maeneo mengi, wizara hiyo itaendelea kuchukua kila hatua ya tahadhari
“Mfano Kituo cha Julius Nyerere ipo mashine moja ya kuzalisha umeme, lakini maji yanayozalishwa pale ni mengi sana kinyume kabisa na mipango tuliyokuwa nayo"
Maana tulikuwa tunajua kwamba Julius nyerere ingeweza kujaa bwawa lile mwezi wa 12 mwaka 2026, lakini yamejaa ndani ya msimu huu tu mmoja na yale maji yanavyojaa yanakuja mengi kwa wakati mmoja,” amesema.
Amesema baada ya kuona wingi walitoa tahadhari Machi kwa watu wote walioko upande wa chini wa bwawa, kwamba wangeachia maji maana uwezo wa kuendelea kuyashikilia haupo.
“Ukianza kufungulia yale maji, Julius Nyerere lazima uizime, maana yanayotoka juu ni mengi zaidi kuliko yanayotoka kwenye teresi, hivyo ninavyozungumza mtambo wa Julius Nyerere tumeuzima, tunapunguza maji ili tupate umeme," amesema Dk Biteko
a.k.a spillways. Mabwawa ya maji kwa ajili ya kuzalisha umeme yanakuwa na spillways au overflow ili kuyaondoa maji yanayozidi kwa usalama wa bwawa. Pana tatizo gani huku kwetu? Watu wanatushangaa sana. Mvua inyeshe shida, jua liwake shida.Y
Yaani hakuna overflow?
Nchi ngumu hii
Hiyo pump itahitaji umeme sawa au zaidi ya uliozalishwa na maji yanayotakiwa kurudishwa bwawani!Hivi... Haiwezekani maji yanayotumika yarudishwe bwawani kwa pump?🙃
Wind mill???Hiyo pump itahitaji umeme sawa au zaidi ya uliozalishwa na maji yanayotakiwa kurudishwa bwawani!
Principles of energy haziko unavyofikiria.
Hata ChukuwaChakoMapema KINDAKINDA wanaona AIBU!AFRIKA tuna shida jamani. Sasa inabidi tumwombe Mungu apunguze mvua.
Mitambo inazama majini. Serikali imeshtuka baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa kutangaza mvua inanyesha kali viunga hivyo. Wakati wana dizaini bwawa hawakujua kuna siku mvua zitapiga kali, Hakuna provision ya kuchepusha maji yanapozidi....
MWANANCHI ONLINE
APRIL 1st 2024
Mashine yazimwa Julius Nyerere
View attachment 2951205
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dr. Dotto Biteko, akikagua mitambo ya kufua umeme
Biteko amesema kutokana na Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini (TMA) kutangaza uwepo wa mvua kubwa kwenye maeneo mengi, wizara hiyo itaendelea kuchukua kila hatua ya tahadhari
“Mfano Kituo cha Julius Nyerere ipo mashine moja ya kuzalisha umeme, lakini maji yanayozalishwa pale ni mengi sana kinyume kabisa na mipango tuliyokuwa nayo"
Maana tulikuwa tunajua kwamba Julius nyerere ingeweza kujaa bwawa lile mwezi wa 12 mwaka 2026, lakini yamejaa ndani ya msimu huu tu mmoja na yale maji yanavyojaa yanakuja mengi kwa wakati mmoja,” amesema.
Amesema baada ya kuona wingi walitoa tahadhari Machi kwa watu wote walioko upande wa chini wa bwawa, kwamba wangeachia maji maana uwezo wa kuendelea kuyashikilia haupo.
“Ukianza kufungulia yale maji, Julius Nyerere lazima uizime, maana yanayotoka juu ni mengi zaidi kuliko yanayotoka kwenye teresi, hivyo ninavyozungumza mtambo wa Julius Nyerere tumeuzima, tunapunguza maji ili tupate umeme," amesema Dk Biteko
Waliona wakati wa Ujenzi kwamba mashine zitafungwa 9, lakini baada ya Ujenzi wapiga dili wakaona, wafunge moja Kwanza , zingine zisubiri mitambo hiharibike na adha zingine zitoke. , ili muhimu wa tatizo uwepo.Hayo yote hawakuwa wameyaona awali?
Hakukuwepo na contingency plans zozote zile kuhusu maji kuwa mengi?
haiwezekani kuyarudisha juu kwa pump, kwa sababu utatumia umeme ule ule, kiasi kile kile, ulichovuna wakati maji yanaporomoka chini... First Law of ThermodynamicsHivi... Haiwezekani maji yanayotumika yarudishwe bwawani kwa pump?🙃
Watu na utaalamu wao hawana akili hata chembe mkuuTanesco ni lazima wajifunze kuvuna hayo maji ya ziada ili kipindi cha ukame ndiyo yatumike kuzalishia umeme kuliko sasa kuyamwaga ovyo!!
Mkuu nakuunga mkono, wakati wa ufunguzi walionyesha design ikiwa na hiyo solution.Walijua kwasababu maneno haya ''Saddle dam' niliyapata wakati wa kufuatilia ujenzi
Ukiangalia clip za awali za ujenzi kuna 'saddle dam' mbili zimejengwa kwasababu ya kudhibiti maji yakizidi
Sasa tunaposikia haya kwakweli lazima tukubali kwamba Waafrika hatuwezi kujitawala
Kwamba umeme hakuna kwasababu maji yamejaa! Kama si upuuzi ni ujinga wa hali ya juu sana
Anayesema hayo bila aibu si yule fundi wa VETA ni Naibu Waziri mkuu!
JokaKuu
Hatujuwi tulifanyalo, shule tunasomea ujinga.Pekeni huo umeme unaozidi hata Malawi au Zambia au kenya bure au wauzieni kwa bei ndogo mbona akili hamna nyie
No matter what source of energy you will use to pump the water back to the dam; you will have to use the same amount of energy generated by the water.Wind mill???
Kujenga mto uzunguke urudi tena bwawani???No matter what source of energy you will use to pump the water back to the dam; you will have to use the same amount of energy generated by the water.
Ukisikia zero work done ndio hivyo sasa.