Chadema wapuuzi kweli, hiyo mitambo mingine ikamilishwe kwa uharaka, wakizidi kuyafungulia yatakuja kwa kasi nakujikuta dar yote imesokomezewa baharini
 
Hueleweki, maji yamejaa kwa hivyo kinu kimezimwa?
Maana yske nini?
 
Kinachoshangaza hilo bwawa halina level indicator na hakuna drainage systems ( pumps) za kutoa maji yanayozidi? Mbona inatia shaka kwamba kwa kuwa Chadema walisema halitajaa, wakaamini na leo bila aibu unatangaza ni sababu ya Chadema??? Wangesema litajaa kwa wiki moja??
 
Reactions: G4N
Kwahio maji yakiendelea kujaa saana tutaendelea kuzima mashine ?

Stranger than Fiction....;
 
Sisiemu mnatuaminisha kua hata bwana kujaa kabla ya wakati nitatizo pia lakukosa umeme? Sasa mnataka kitu gani kwenu ndio sahihi?
 
Jifunze kusoma na kuandika jombaa... au rudia darasa la pili ili ufundishwe kusoma na kuandika kiswahili
 
Nchi inawajinga wengi mkuu.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Kilaza
 
Ina maana hatuna manual yoyote ya matumizi ya mradi mkubwa kama huo kweli?..Au wataalamu hawakuweka mechanism zozote za hadhari juu ya kujaa au kupungua kwa maji?..juu ya hili ni mapema sana kupata jibu sahihi ila kuna mahali tunakosea sana.

Au mradi huo ulifunguliwa kutokana na misukumo ya kisiasa kabla ya ukamilifu wake?..najiuuliza tu ila siyo lazima nipewe jibu. Miradi mikubwa kama hii inapoanza bila kuwa na hadhari "warning mechanism and control" ni dalili mbaya sana.

My take: Wahusika waangalie ukweli katika mazingira yake na kuufanyia kazi kama ulivyovna Mungu atawabariki sana.
 
Kwa hiyo mkuu unaona hapo unafuu uko wapi kama limejaa limekuwa kosa na lilikuwa halija jaa nalo lilikuwa kosa?

Bongo labda umsikilize tu Jay Mo kati ya mvua na jua yake ile naona alikuwa anawauliza wizara hii.
Maji hakuna kata umeme,maji yamejaa kata umeme [emoji16][emoji16]

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Weww Seema tu unataka kuleta hbr za cdm hapa
 
Hivi haiwezekani kuweka mabomba hayo maji yanayozidi yakaletwa Dar au Dodoma kwa matumizi ya nyumbani?
 
Design ya kwanza ya Brazil mwendazake aliipiga chini, kwa kisingizio ni gharama kubwa.

Hayo ni matokeo ya kupunguza gharama.

Yule jamaa alitumia formula za chemicals kufanya economics za Hydro engineering. Hayo ndiyo matokeo ya ujinga wa Mtanzania.
Ahahahaha kwamba Brazil
 
Na mabwawa mengine huko Duniani yakijaa maji tu mashine zinazimwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…