BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Legacy gani? Mbona wale wa Ethiopia hawasifii lele Bwawa lao kwamba n Legacy ya Waziri mkuu wao? Tupunguze ujinga, Taifa linajaaa ujinga mtupu,one of the living legacy itaishi milele na milele..... vining"ina ndo vita faidi mnoooooooooo rest in forever peace uncle magufuli
Siyo Chadema, ulisikia Nape kipindi kile?Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko amesema kuwa mashine moja iliyokuwa imewashwa kwenye bwawa la Mwl Nyerere imezimwa baada ya maji kujaa sana kwenye bwawa kinyume na matarajio ya awali kwamba bwawa hilo litatumia miaka 2 kujaa lakini sasa limetumia mwezi mmoja tu kujaa na sasa maji yanalazimika kupunguzwa.
Hapo mwanzo Chadema walitoa tahadhari kwamba bwawa halitajaa kutokana na miti millioni 3 kukatwa na Magufuli hivyo kupelekea uharibifu wa mazingira na ukame nchini.
Yaani athari za kimazingira unategemea hazitatokea sababu aliyesema ni Magufuli?Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko amesema kuwa mashine moja iliyokuwa imewashwa kwenye...
Najari basi as long as umeelewa nondo imeisha hiyoJifunze kusoma na kuandika jombaa... au rudia darasa la pili ili ufundishwe kusoma na kuandika kiswahili
Ha ha haNaibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko amesema kuwa mashine moja iliyokuwa imewashwa kwenye bwawa la Mwl Nyerere imezimwa baada ya maji kujaa sana kwenye bwawa kinyume na matarajio ya awali kwamba bwawa hilo litatumia miaka 2 kujaa lakini sasa limetumia mwezi mmoja tu kujaa na sasa maji yanalazimika kupunguzwa.
Hapo mwanzo Chadema walitoa tahadhari kwamba bwawa halitajaa kutokana na miti millioni 3 kukatwa na Magufuli hivyo kupelekea uharibifu wa mazingira na ukame nchini.
Interesting...kinyume na matarajio ya awali kwamba bwawa hilo litatumia miaka 2 kujaa lakini sasa limetumia mwezi mmoja tu kujaa na sasa maji yanalazimika kupunguzwa.
Ni kwamba Chadema waliwaambia vilaza CCM wawashe mtambo nao wakakubali.Zinatakiwa ziwashwe mashine zote 9, sasa wao wamewasha moja tu sijui wanategemea nini
Atu iko na ankoo ya ajabu sana aiseeone of the living legacy itaishi milele na milele..... vining"ina ndo vita faidi mnoooooooooo rest in forever peace uncle magufuli
Yaani point zake zote huwa anaona hazina mashiko kama tu CDM haihusiki katika bandiko lakeChadema unawasingizia [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji706] kwani hawakujiwekea level kwamba maji yakifika hapa au level flani basi eneo maji yanapoingilia pafungwe kuzuia maji ya ziada
Anaogopa kuwataja waliosema halitajaa kwakuwa ni ccm wenzakeChadema unawasingizia πππ
Nape, MakambaTulia mmumbuliwe unafiki na ujinga wenu
Ha ha ha
Technologia ya miaka.ya 70 hiyo ambayo inayotegemea tabia nchi mnaileta 2023.
Mliambiwa mkabisha, sasa kuna miaka.mvua itagoma.kunyesha sijui mtabeba maji ya bahari hindi mkalijaze bwawa lenu.
Yetu macho.
Yaani point zake zote huwa anaona hazina mashiko kama tu CDM haihusiki katika bandiko lake
ccm wanataka lijae miaka 2, lenyewe limejaa mwezi mmoja...ccm wameamua kuzima mtambo wapunguze maji ili wajaze mdogo mdogo hadi miaka 2 hawakuwa na mpango kazi mwengine, hongera kwao
Kipara alipewa kusimamia hii project na haya yanayojiri ni matokeo ya HITMAN. Hebu tutafakari hayaNaibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko amesema kuwa mashine moja iliyokuwa imewashwa kwenye bwawa la Mwl Nyerere imezimwa baada ya maji kujaa sana kwenye bwawa kinyume na matarajio ya awali kwamba bwawa hilo litatumia miaka 2 kujaa lakini sasa limetumia mwezi mmoja tu kujaa na sasa maji yanalazimika kupunguzwa.
Hapo mwanzo Chadema walitoa tahadhari kwamba bwawa halitajaa kutokana na miti millioni 3 kukatwa na Magufuli hivyo kupelekea uharibifu wa mazingira na ukame nchini.
Mbona maelezo ya kitoto hivi i doubt hata kama yametoka kwa mjumbe wa Nyumba kumiNaibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko amesema kuwa mashine moja iliyokuwa imewashwa kwenye bwawa la Mwl Nyerere imezimwa baada ya maji kujaa sana kwenye bwawa kinyume na matarajio ya awali kwamba bwawa hilo litatumia miaka 2 kujaa lakini sasa limetumia mwezi mmoja tu kujaa na sasa maji yanalazimika kupunguzwa.
Hapo mwanzo Chadema walitoa tahadhari kwamba bwawa halitajaa kutokana na miti millioni 3 kukatwa na Magufuli hivyo kupelekea uharibifu wa mazingira na ukame nchini.
Ni hadithi tu hizo.[emoji706] kwani hawakujiwekea level kwamba maji yakifika hapa au level flani basi eneo maji yanapoingilia pafungwe kuzuia maji ya ziada