Dotto Biteko: Tumezima mtambo wa bwawa la Mwl Nyerere
one of the living legacy itaishi milele na milele..... vining"ina ndo vita faidi mnoooooooooo rest in forever peace uncle magufuli
Legacy gani? Mbona wale wa Ethiopia hawasifii lele Bwawa lao kwamba n Legacy ya Waziri mkuu wao? Tupunguze ujinga, Taifa linajaaa ujinga mtupu,
 
Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko amesema kuwa mashine moja iliyokuwa imewashwa kwenye bwawa la Mwl Nyerere imezimwa baada ya maji kujaa sana kwenye bwawa kinyume na matarajio ya awali kwamba bwawa hilo litatumia miaka 2 kujaa lakini sasa limetumia mwezi mmoja tu kujaa na sasa maji yanalazimika kupunguzwa.

Hapo mwanzo Chadema walitoa tahadhari kwamba bwawa halitajaa kutokana na miti millioni 3 kukatwa na Magufuli hivyo kupelekea uharibifu wa mazingira na ukame nchini.
Siyo Chadema, ulisikia Nape kipindi kile?
 
Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko amesema kuwa mashine moja iliyokuwa imewashwa kwenye...
Yaani athari za kimazingira unategemea hazitatokea sababu aliyesema ni Magufuli?
 
Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko amesema kuwa mashine moja iliyokuwa imewashwa kwenye bwawa la Mwl Nyerere imezimwa baada ya maji kujaa sana kwenye bwawa kinyume na matarajio ya awali kwamba bwawa hilo litatumia miaka 2 kujaa lakini sasa limetumia mwezi mmoja tu kujaa na sasa maji yanalazimika kupunguzwa.

Hapo mwanzo Chadema walitoa tahadhari kwamba bwawa halitajaa kutokana na miti millioni 3 kukatwa na Magufuli hivyo kupelekea uharibifu wa mazingira na ukame nchini.
Ha ha ha

Technologia ya miaka.ya 70 hiyo ambayo inayotegemea tabia nchi mnaileta 2023.

Mliambiwa mkabisha, sasa kuna miaka.mvua itagoma.kunyesha sijui mtabeba maji ya bahari hindi mkalijaze bwawa lenu.

Yetu macho.
 
ccm wanataka lijae miaka 2, lenyewe limejaa mwezi mmoja...ccm wameamua kuzima mtambo wapunguze maji ili wajaze mdogo mdogo hadi miaka 2 hawakuwa na mpango kazi mwengine, hongera kwao
 
kinyume na matarajio ya awali kwamba bwawa hilo litatumia miaka 2 kujaa lakini sasa limetumia mwezi mmoja tu kujaa na sasa maji yanalazimika kupunguzwa.
Interesting...
 
Huwezi kufunga maji yasiingie kwenye bwawa, ila unaweza kufungua maji yakatoka kwenye bwawa ili kina cha maji kishuke.
Hili la kufungulia maji lina madhara; mafuriko kwa wanaoishi chini ya daraja
NB:
Hilo la mashine kuzimwa lina kasoro: huenda maji yameingia kwenye mashine na huenda mashine imeharibika-kwa hiyo mgao utarudi pale pale.
[emoji706] kwani hawakujiwekea level kwamba maji yakifika hapa au level flani basi eneo maji yanapoingilia pafungwe kuzuia maji ya ziada
 
Ha ha ha

Technologia ya miaka.ya 70 hiyo ambayo inayotegemea tabia nchi mnaileta 2023.

Mliambiwa mkabisha, sasa kuna miaka.mvua itagoma.kunyesha sijui mtabeba maji ya bahari hindi mkalijaze bwawa lenu.

Yetu macho.

Imekuambia ni mwaka gani itagoma kunyesha?
 
ccm wanataka lijae miaka 2, lenyewe limejaa mwezi mmoja...ccm wameamua kuzima mtambo wapunguze maji ili wajaze mdogo mdogo hadi miaka 2 hawakuwa na mpango kazi mwengine, hongera kwao

Inasikitisha sana
 
Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko amesema kuwa mashine moja iliyokuwa imewashwa kwenye bwawa la Mwl Nyerere imezimwa baada ya maji kujaa sana kwenye bwawa kinyume na matarajio ya awali kwamba bwawa hilo litatumia miaka 2 kujaa lakini sasa limetumia mwezi mmoja tu kujaa na sasa maji yanalazimika kupunguzwa.

Hapo mwanzo Chadema walitoa tahadhari kwamba bwawa halitajaa kutokana na miti millioni 3 kukatwa na Magufuli hivyo kupelekea uharibifu wa mazingira na ukame nchini.
Kipara alipewa kusimamia hii project na haya yanayojiri ni matokeo ya HITMAN. Hebu tutafakari haya
  1. Maji kufunguliwa kuanza kujaza dam wakati mota za kuzalisha umeme hazijakamilika kufungwa
  2. Kucheleweshwa bila sababu ya msingi kuwasha mashine kwa sababu ya ucheleweshwaji wa kufungwa kwake
  3. Mradi kusuasua kwa ujumla hasa kutokana na ahadi hewa za serikali kuanzia juu hadi chini
Utawala unaojifitini huwa unaanguka mazima.
 
Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko amesema kuwa mashine moja iliyokuwa imewashwa kwenye bwawa la Mwl Nyerere imezimwa baada ya maji kujaa sana kwenye bwawa kinyume na matarajio ya awali kwamba bwawa hilo litatumia miaka 2 kujaa lakini sasa limetumia mwezi mmoja tu kujaa na sasa maji yanalazimika kupunguzwa.

Hapo mwanzo Chadema walitoa tahadhari kwamba bwawa halitajaa kutokana na miti millioni 3 kukatwa na Magufuli hivyo kupelekea uharibifu wa mazingira na ukame nchini.
Mbona maelezo ya kitoto hivi i doubt hata kama yametoka kwa mjumbe wa Nyumba kumi
 
[emoji706] kwani hawakujiwekea level kwamba maji yakifika hapa au level flani basi eneo maji yanapoingilia pafungwe kuzuia maji ya ziada
Ni hadithi tu hizo.

Dams zote zinapojengwa lazima kujengwe na mahali pa kutapishia maji yaliyozidi juu ya kiwango!

Kusema sijui maji yamezidi kiwango cha maji yanayohitajika ni hadithi za alfulela ulela na ni maneno yanayoashiria ubaya ama hujuma flani iliyokusudiwa kutekelezwa.
 
Hivi hawa mainjinia hawakusoma? Nakumbuka Geography form III au IV kulikuwa na Topic ya Tennessee Valley Authority...Kuna mambo mengi sana ya kujifunza pale kwanini wasitumie maarifa ya kama TVA? Hivi kweli wanashindwa kucontrol maji yanayoingia kwenye bwawa? Really? Like Seriously? Hivi walifanya Upembuzi yakinifu na usanifu wa kina kweli? Hivi wanajua reservoir kazi yake kwenye kujenga Dam? Walisoma kuhusu Irrigation? Yaani wataalam wanafikia hadi kuzima mtambo kwasababu za kipuuzi sana.
 
Back
Top Bottom