Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa imewekwa pembeni mkuu.
Kwa sasa ipo serikali ya Mh mama SSH.
Sicilia inavyotajwa kwenye majukwaa na vyombo vya habari. 🤣🤣🤣
Mmezoea kubembelezwa. Mlivyo walkway mzee wa kazi akawapotezea mkakoswa mwelekeo basi ikawa Nongwa. Jaribuni kususia Tena mtasugua benchi hadi mvi zitawatoka mabwege kabisa.
Mmezoea kubembelezwa. Mlivyo walkway mzee wa kazi akawapotezea mkakoswa mwelekeo basi ikawa Nongwa. Jaribuni kususia Tena mtasugua benchi hadi mvi zitawatoka mabwege kabisa.
Hakuna anayetaka kubembelezwa ila tunawashangaa chama kina miaka 50+ Bado kinategemea kupora uchaguzi kukaa madarakani kwa shuruti! Hakuna mwenye shida na uongozi unaopatikana kwa njia za kihayawani. Waliopoteza ushawishi ndio wanategemea mabavu kukaa madarakani.