Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,221
- 2,359
Mikakati ya kisiasa hawana kabisa.
PointlessNdiyo maana hana watoto
In God we Trust
[emoji1751][emoji1751]Maskini Weee
Vipi yule mwanahabari mliyemtetea juzi aliyezuiwa kwenda kumhoji mgonjwa yeye mamlaka ya kutangaza yahusuyo corona nchini anayo?[emoji1751][emoji1751]Maskini Weee
.
Dogo Sikia Bashite alichokifanya ni uvunjifu wa Sheria. Mamlaka ya kutangaza Mgonjwa wa Corona anayo Waziri husika na Katibu wake, Waziri Mkuu na Raisi
Bashite yeye ni Nani ??
Mpaka hapo Dogo bashite anayo Mashtaka, Kama anayo kwann hachukuliwi hatua ?? kwani ofisi ya Dpp ipo kwa ajiri ya wapinzani ??
Ndio anayo, Swala ni kutangaza Wagonjwa wa Corona sio yahusuyo Corona nchiniVipi yule mwanahabari mliyemtetea juzi aliyezuiwa kwenda kumhoji mgonjwa yeye mamlaka ya kutangaza yahusuyo corona nchini anayo?
Huko ITV si wanarusha yaliyosemwa na rais au waziri,Au nao wanajisemeaga tuNdio anayo, Swala ni kutangaza Wagonjwa wa Corona sio yahusuyo Corona nchini
Sijui una ona utofauti hapo?
Kama ni hivyo usemavyo Je ITV, Clouds, JF nk hawakupaswa kutangaza chochote kuhusu Corona nchini ???
Huyo Mwandishi amezuiwa kwa interest zao hao walio mzuia
Kwa kukazia tu, hata rais waziri mkuu na waziri wa afya wana mamlaka ya kutaja kwa idadi tu na sio kuwataja kwa majina labda mgonjwa mwenyewe aridhie km ilivyokuwa kwa isabella.[emoji1751][emoji1751]Maskini Weee
.
Dogo Sikia Bashite alichokifanya ni uvunjifu wa Sheria. Mamlaka ya kutangaza Mgonjwa wa Corona anayo Waziri husika na Katibu wake, Waziri Mkuu na Raisi
Bashite yeye ni Nani ??
Mpaka hapo Dogo bashite anayo Mashtaka, Kama anayo kwann hachukuliwi hatua ?? kwani ofisi ya Dpp ipo kwa ajiri ya wapinzani ??
Huyu naye ni wa ku face firing squad huko mbele, InshallahNdugu wana jamvi habarini za muda huu,
Kwa kuzingatia zana ya utawala bora na democracy kila mtu anatakiwa aheshimu sheria na taratibu za nchi.
Ikiwemo za kiutaalamu kama vile za mataabibu kutunza siri za wagonjwa na Sheria ni msumeno hukata huku na huku haijalishi ni nan kakosea ana title gani au ana utajiri gani lazima achukuliwe hatua ndio maana ataukijaribu kujinyonga ukashindwa utashitakiwa
Je kitendo cha mtukufu makonda kumtaja mtoto wa mbowe kuwa ni mwathirika wa corona sio uchochezi?
Je, ni halali kwa Makonda kuchukua usemaji wa family ya Mbowe? Ikiwa makonda amekosea yupo wapi DPP Biswalo na mikwara yake kwa Lema juu ya kesi za uchochezi kule singida?
Je, makosa ya uchochezi ni kwaajili ya viongozi wa upinzani tu?
Asanten naomba kuwasilisha.