Juma chief
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 2,764
- 2,366
Mimi mwenyewe was so disappointed na Salim Kikeke, nimemuona kama mmojawapo wa wasaka tonge na umaarufu kwa Mh. Rais Samia, aidha kwa kukusudia ama kwa kadiri ya uwezo wake. Yaani hajaonesha seriousness yeyote na Mh. Rais alikuwa very relaxed. Yaani hajachemshwa bongo yeyote. Muandishi ameenda tu kupiga selfie ila bado arudi shule akajifunze akina Amanpour wanafanyaje ....Tathmini yangu ya juu ya mahojiano kati ya BBC Na Rais Samia Suluhu Hassan.
Na Dotto Bulendu (MwanaPuge).Nikiandika kutoka kijijini Puge.
@@@@@@
Kauli ya Mh. Rais imekiuka utaratibu wa kimahakama kwa sehemu kubwa sana ...Ikulu mawasiliano haina mtu/mshauri wa Rais aliyesomea sheria?
Kabla ya mahojiano Kikeke alipaswa achambuliwe script za kumhoji Rais na kisha Rais apewe mwongozo wa baadhi ya maswali kujibu kisheria kama taasisi.
Hali iliyokuwepo,wandani wabobevu wa kauli ya Rais wangeipitia hiyo news wangemwomba BBC asiirushe kwanza.
How?Ambapo H ni nini
Haya uliyoainisha wewe ni ya kwako siyo ya BBC, kwani kila muulizaji ana malengo yake. Una ushahidi gani kwamba 'alipaswa kusema hivyo ulivyoframe wewe masuali?'Tathmini yangu ya juu ya mahojiano kati ya BBC Na Rais Samia Suluhu Hassan.
Paskal mayala hana mbinu mpya kaamua kuishi kwa kutegemea uteuziMayalla ni useless
TBC ni ya hovyo zaidi haifanani na TV yeyote DunianiTofauti ya TBC na BBC ni herufi moja TU.
Wewe mwenye uwezo mkubwa hebu nenda ukafanye hizo interviews tukuone.Salimu kikeke ana uwezo mdogo sana. Hii ya kujificha nyuma ya mahojiano kufanyika ikulu haina maaana. Ikisikiliza vizuri utagundua mama alikuwa akijibu anavyotaka na hakukua na maswali fikirishi na yakuibua majibu lengwa.
Ni makosa makubwa Sana mwanzo mwisho wa interview hakuna lejea. Nafikiri hii ilikuwa press conference iliyoandaliwa na ikulu. Tafadhali Sana BBC mnaharibu bland yenu. Huyu jamaa anachemka interview karibu zote. Zuhura anajitahidi na nafikiri anaijui na kuimudu kazi yake.
Usikute siroccm alimtisha kabla kuwa endapo anaulizia juu ya Polisiccm kuwafanyia upekuzi haramu wa kishetani wapinzani pindi waendapo kuwakamata kwa Amri za mwenyekiti wa CCM lazima angebambikiwa kesi ya kufanya fujo ikuluSalimu kikeke ana uwezo mdogo sana. Hii ya kujificha nyuma ya mahojiano kufanyika ikulu haina maaana. Ikisikiliza vizuri utagundua mama alikuwa akijibu anavyotaka na hakukua na maswali fikirishi na yakuibua majibu lengwa.
Ni makosa makubwa Sana mwanzo mwisho wa interview hakuna lejea. Nafikiri hii ilikuwa press conference iliyoandaliwa na ikulu. Tafadhali Sana BBC mnaharibu bland yenu. Huyu jamaa anachemka interview karibu zote. Zuhura anajitahidi na nafikiri anaijui na kuimudu kazi yake.
Aende kivipi? Yeye kachambua kasoro za interview kwa nia njema kuelimisha umma juu ya mapungufu yoteWewe mwenye uwezo mkubwa hebu nenda ukafanye hizo interviews tukuone.
Domo jumba maneno!!!!!!!!! (yaani mdomo ni nyumba ya maneno mtu anaweza kusema lolote)
Atakuwa alitishwa kubambikiwa kesi ya ugaidi ndiyo maana aliogopaMwandishi ndiye alituangusha alitakiwa ambananishe maswali ya uhakika!
Kuchambua vya watu ni rahisi kuliko kukifanya kitu chenyewe. Ndiyo maana kuna msemo ukiona vyaelea vimeundwa.Aende kivipi? Yeye kachambua kasoro za interview kwa nia njema kuelimisha umma juu ya mapungufu yote
Lini wapinzani walihukumiwa kwa kesi za kigaidi? na lini wapinzani waliandamana wakachoma matairi barabarani?Kwanini hamtaki kukubali kwamba interview ilikuwa nzuri na Rais kajibu kwa weledi wa hali ya juu? Huu uchambuzi ni nadharia tu za darasani kama anafundisha. Lakini uhalisia Kikeke kauliza maswali professionally. Kesi ya ugaidi ya Mbowe ni rejea ya sheria kwa maana ya kesi. Tozo ya miamala ni sheria. Au alitaka ataje kifungu a, b, c? πππ
Yupo SAUT mkuu anafundishaDotto nimemuelewa vizuri, hizo 5W + H na follow up questions.
Huyu anatakiwa kuwa mwalimu wa hawa waandishi wetu wa siku hizi, afungue chuo chake akisajili, awapige msasa vijana kadhaa wawe walimu.
Vya jana havielei na havijaundwa kabsa ebu tuambie ni lini uhuru wa vyombo vya habari umepatikana Gazeti la Tanzania Daima lipo wapi?Kuchambua vya watu ni rahisi kuliko kukifanya kitu chenyewe. Ndiyo maana kuna msemo ukiona vyaelea vimeundwa.
Mkuu salaam, hivi kuna tofauti gani kati ya " Mtangazaji" na " Mwandishi wa habari"?Kikeke ni mtangazaji siyo mwandishi wa habari
Rais Samia alimuuliza swali muhimu sana kwa ajili ya afya ya mjadala ule!