Dotto Magari ni muumini wa dini gani?

Dotto Magari ni muumini wa dini gani?

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Huyu Dotto Magari inadaiwa ni muislam lakini ameonekana akila mbuzi katoliki. Dotto ni muumini wa dini gani?
IMG_3907.jpeg
 
Kuna mtu mmoja huwa ikifika ramadhani anafunga ila anaendelea kuvuta sigara

Chakula hatumii mchana kutwa Ila sigara anavuta .

Kwa mantiki hii MTU ili umuone hualisia wake jaribu kumpatia Uhuru

Mfano huyo jamaa anayefunga Ila sigara anavuta , Kama angekuwa anaishi peke yake angekuwa Ana kula na asingekubali kushinda na njaa.

Pia katika kula Nguruwe n.k a lot of people they pretend Ila wapo watu ambao dini yao imewakaa hata ikiwa peke yao hawawezi kufanya kinyume.
 
ukifuatilia kila mtu utagundua watu wengi hata si Waslamu, maana Uislamu ni mfumo mzima wa maisha.

Hamna dini yenye uwezo wa mfumo mzima wa maisha, yaani muarabu akurupuke na kitabu huko jangwani akuambie ndio mfumo mzima wa maisha.
Maisha yako complicated hayawezi kuwa controlled na kitabu hata kiwe na kurasa milioni moja.
Ndio maana kwenye Ukristo kuna Roho Mtakatifu anayekuongoza kwenye kila hatua za maisha.
 
Back
Top Bottom