eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Huyu Dotto Magari inadaiwa ni muislam lakini ameonekana akila mbuzi katoliki. Dotto ni muumini wa dini gani?View attachment 3121617
Sasa mtu aache kula kitu roho inapenda, kisa waarabu hawakuli
Halafu ukome kufuatilia milo ya watu
😛