King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Alikwambia yeye ni muislam?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikwambia yeye ni muislam?
Kufunga ndoa ya kiislam sio kuwa muislam.
hhahahahaha🤣🤣🤣🤣🤣 umenichekesha ujue nikivuta picha alafu ukute unamiguu mirefu 😅😅😅kiwiliwili nje miguu mtoniHapa migombani nipo vedi nabiringika huko mtoni na kata ya mbege tu😅
Mbona wachache? kati ya 5 basi wanne wanakula NOAH.Katika wavaa kobazi 5, wawili wanang'ata NOAH kama kadawia.!
Hatari sana, mimi kuna mdada wa wavaa Kobazi hua ananipikia kabisa mixer na mchicha aiseee.... anajua sana.Mbona wachache? kati ya 5 basi wanne wanakula NOAH.
Na nina miguu mirefu kweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hhahahahaha🤣🤣🤣🤣🤣 umenichekesha ujue nikivuta picha alafu ukute unamiguu mirefu 😅😅😅kiwiliwili nje miguu mtoni
Unakua kama masista wa roma😁Nimekuwaje?
Hii ndiyo picha yangu pendwa ya wakati wote
Hongera kwa kuwa na viungo virefu🤣🤣🤣🤣😅Na nina miguu mirefu kweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahha miguu tu lakniHongera kwa kuwa na viungo virefu🤣🤣🤣🤣😅
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yote😉Hahahha miguu tu lakni
Mama mchunga nakufuta cheo chako😁😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yote😉
ulinivikaMama mchunga nakufuta cheo chako😁😁😁😁😁
Kweli?Unakua kama masista wa roma😁
Umenikumbusha mbali 😁😁 nyie masista mna ngozi ina vinywele fulani muishi milele aseeeee😊Kweli?
Hata hivyo,mimi ni sister
Mbali wapi?Umenikumbusha mbali 😁😁 nyie masista mna ngozi ina vinywele fulani muishi milele aseeeee😊
Miaka hiyo nikiwa kijana mdogo😁Mbali wapi?
Ulifanyaje na masista?Miaka hiyo nikiwa kijana mdogo😁