Dotto Magari ni muumini wa dini gani?

Dotto Magari ni muumini wa dini gani?

Uislamu sio jina wala uislamu sio mavazi uislamu ni kufuata mafundisho yote ya kiislam pamoja na yote yaliyokatazwa kufanywa ukimuona mtu anafanya tofauti ya yaliyoamrishwa ktk uislamu basi huyo jua si muislamu ata kama ana jina la kiislamu na anavaa mavazi yanayoendana na uislamu kama kanzu hijab, nikab,bargashia msuli nk.
 
Kuna mtu mmoja huwa ikifika ramadhani anafunga ila anaendelea kuvuta sigara

Chakula hatumii mchana kutwa Ila sigara anavuta .

Kwa mantiki hii MTU ili umuone hualisia wake jaribu kumpatia Uhuru

Mfano huyo jamaa anayefunga Ila sigara anavuta , Kama angekuwa anaishi peke yake angekuwa Ana kula na asingekubali kushinda na njaa.

Pia katika kula Nguruwe n.k a lot of people they pretend Ila wapo watu ambao dini yao imewakaa hata ikiwa peke yao hawawezi kufanya kinyume.
*uhalisia
 
Kwa Tanzania waislamu wasiokula shwain ni wale wa kutoka kisiwani Pemba tu, lakini hawa wengine wa huku, wanatupigia kelele tu na maspika yao alfajiri na hata msikitini kwenyewe hawaendi. Ndio hao hao wanajiita Anti Mudi, wanaharibu jina la prophet wa watu bure kabisa
Pemba ndio kuna pedophile wakutosha,hakuna mpemba aso kula ama kuliwa jicho.
 
Uislamu sio jina wala uislamu sio mavazi uislamu ni kufuata mafundisho yote ya kiislam pamoja na yote yaliyokatazwa kufanywa ukimuona mtu anafanya tofauti ya yaliyoamrishwa ktk uislamu basi huyo jua si muislamu ata kama ana jina la kiislamu na anavaa mavazi yanayoendana na uislamu kama kanzu hijab, nikab,bargashia msuli nk.
Wapi uislamu umekataza kula kitimoto,hakuna mavazi ya kiislamu bali mavazi ya kitamaduni ya waarabu waishio jangwani.
 
20241005_165020.jpg
20241005_165020.jpg
 
Back
Top Bottom