Dotto Magari ni muumini wa dini gani?

Yote ni DHAMBI.
Sema kachagua dhambi anayoimudu
 
Ni muislamu

Waislamu wanaokula wapo wengi. Kitimoto kwenye uislamu haijakatazwa kihivyo, imeruhusiwa ikiwa hakuna chakula kingine.
UISLAMU HA SIYO KUZALIWA NA BABA NA MAMA MUISLAM TU, BALI KUISHI KWA KUFUATA MISINGI YA KIISLAMU.
SASA TANGU WATU WAANZE KUMJUA HUYU JAMAA, LINI UMESIKIA SMEFANYA TENDO LA KIISLAM, HATA HIVYO DOTO, NI MKTISTO.

ELEWA UKRISTO USHI UNAVYOISHI BADO WEWE UTABAKI KUWA MKRITO.
 
Huyu Dotto Magari inadaiwa ni muislam lakini ameonekana akila mbuzi katoliki. Dotto ni muumini wa dini gani?View attachment 3121617
Jitahidi kufuatilia mfumo wako binafsi wa maisha.maisha ya watu wengine yatakuumiza kichwa bila sababu.

Sidhani km maisha ya huyu bwana yanakuhusu hadi kula kwake.

Unajichosha mkuu.

Hata matambiko ni dini.
 
Eti mtu mmoja!!, kwani kuna mtu wawili?, lugha yetu, lakini tabu tupu.
 
ukifuatilia kila mtu utagundua watu wengi hata si Waslamu, maana Uislamu ni mfumo mzima wa maisha.
Huyo ni mkristo kabisaa,ungesema dr kumbuka ningekuelewa ingawa anakula kitimoto sana naye,tatizo na hiyo nyama imezidi utamu,kuliko nyama zoote
 
Jitahidi kufuatilia mfumo wako binafsi wa maisha.maisha ya watu wengine yatakuumiza kichwa bila sababu.

Sidhani km maisha ya huyu bwana yanakuhusu hadi kula kwake.

Unajichosha mkuu.

Hata matambiko ni dini.
Jitahidi usiwe una comment mada kama hizi unajichosha mkuu
 
Ni muislamu

Waislamu wanaokula wapo wengi. Kitimoto kwenye uislamu haijakatazwa kihivyo, imeruhusiwa ikiwa hakuna chakula kingine.

🤣 Na jamaa kaingia pub kwa ajili ya mdudu tu sasa sijajua hiyo kanuni ya "Ikiwa hakuna chakula kingine" imetumikaje!
 
Mtoto wa Mama Kizimkazi na hapa ipo ,riziki mwanzo wa chuki.

Huyo mdudu hana dini ,miamba mingi inakula.

Nimeshangaa kumbe Tido Muhando ni Mkristo.
Hivi karibuni nlipewa malalamiko kutoka kwa wapiga debe wenzake
Wa zamani pale manyanya,kuna mmoja wao smbdy majambo(alikuwa mteja)
Alivuta jamaa wanampigia sim hapokei 😄 walitaka mchango
Nkawaambia si mnajua tena jamaa yuko karibu na kizimkazi

Ova
 
Kuna kitu nakiona hapa mtu anasema KITIMOTO NI TAMU SANA sio kwa lengo la kuzungumzia utamu wa kitimoto bali kutupa dongo upande WA pili..
Lengo ni kukera.
 
Hahaha siku hizi ni mtoto wa mama kizimkazi na hapa ipo lazima awakimbie masela wake wa zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…