Dotto Magari: Nikimuona Mtu (hasa Mwanaume) anaendesha IST namdharau kwani namuona kama vile amekaa Chooni kwa jinsi anavyoiendesha

Malipo ni hapa hapa duniani
 
Malipo ni hapa hapa duniani
Naona wenye IST sasa mnakuja kwa Kufura kabisa. Ila Dotto Magari bhana eti akiwaona Watu wanaendesha Gari aina za IST anawaona ni kama vile wako Chooni Wanaukweka / Wanakunya kwa jinsi ambavyo huwa wanakuwa wamekaa katika Viti vyao vya Dereva.
 
Zinafanana na lako hilo la IST unalolimiki kwa Mkopo huku ukiwa bado una Miezi mingine 17 ili Uumalize rasmi huo Mkopo?
Nchi masikini ndio tunanunua magari kwa cash ila Nchi zilizoendelea wanatumia mifumo ya mikopo kwenye Asset nyingi sana mimi sio mkopaji wa magari ila nazungumzia uhalisia mkuu mnaponda ist wakati watu wanaloa kwenye Boda boda na Bajaji.
 
Kwa mawazo haya ya akina dotto, nchi za afrika tutabaki watumiaji wa vitu vya kutengenezwa ng'ambo. Uwezi jitegemea kwa fikira mufilisi za namna hii.
 
Nchi masikini ndio tunanunua magari kwa cash ila Nchi zilizoendelea wanatumia mifumo ya mikopo kwenye Asset nyingi sana mimi sio mkopaji wa magari ila nazungumzia uhalisia mkuu mnaponda ist wakati watu wanaloa kwenye Boda boda na Bajaji.
Naona wenye IST sasa mnakuja kwa Kufura kabisa. Ila Dotto Magari bhana eti akiwaona Watu wanaendesha Gari aina za IST anawaona ni kama vile wako Chooni Wanaukweka / Wanakunya kwa jinsi ambavyo huwa wanakuwa wamekaa katika Viti vyao vya Dereva.
 
Dotto Anajiona kashajiata anasahau kuwa alikuwa mla unga pale Brazil.
Naona wenye IST sasa mnakuja kwa Kufura kabisa. Ila Dotto Magari bhana eti akiwaona Watu wanaendesha Gari aina za IST anawaona ni kama vile wako Chooni Wanaukweka / Wanakunya kwa jinsi ambavyo huwa wanakuwa wamekaa katika Viti vyao vya Dereva.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…