Dotto Magari: Nikimuona Mtu (hasa Mwanaume) anaendesha IST namdharau kwani namuona kama vile amekaa Chooni kwa jinsi anavyoiendesha

Dotto Magari: Nikimuona Mtu (hasa Mwanaume) anaendesha IST namdharau kwani namuona kama vile amekaa Chooni kwa jinsi anavyoiendesha

Tusijif
Tusijifariji na umasikini mkuu ,tuuze Mali tununue ndinga Kali sio kutembelea viberiti ,ndiyo maana Mimi dharau zilipozidi nikaipimpu Corolla yangu hivyo ni ndefu na imeenda juu ,wakuja wakiuliza ni aina gani ya gari sionagi aibu kuwambia ni gari tolea jipya la mmarekani

Mkuu samahani naomba ka picha na mi niigilizie nikapimp haka ka Starlert kangu
 
Kila mtu ana malengo yake na mtazamo wake ...Mtazamo wa Dotto Magari hauwezi kuwa sawa na watu million 65 hapa tanzania
 
Wakati mwingine kukaa kimya Ni Bora kuliko kuonyesha ujinga uliopo kwenye ubongo wako.
Mimi namiliki probox Ila katu sitamsema mwenye baiskeli kwani dunia duara.
 
Si mmiliki wa IST wala sijawahi endesha hili gari although na gari ya juu but to be honestly hiyo ni dharau peo max . Kila mtu anaendesha anacho kimudu kutokana na uchumi wake, watu hawawezi fanana kiuchumi
Wo aheshimu wenzie else hiyo ego itakuja mpeleka pabaya
Yaani kila Mtu hapa JamiiForums anajifanya ni Tajiri na ana Gari wakati wengine hata mnavyoandika tu mnaonekana ni Masikini na Washamba fulani hivi mliojaa Sifa na kutaka Kujionyesha.
 
Somebody standard 4 failure hajafika hata standard 7 and he feels proud to be such a bogus person
Naona wenye IST sasa mnakuja kwa Kufura kabisa. Ila Dotto Magari bhana eti akiwaona Watu wanaendesha Gari aina za IST anawaona ni kama vile wako Chooni Wanaukweka / Wanakunya kwa jinsi ambavyo huwa wanakuwa wamekaa katika Viti vyao vya Dereva.
 
Ni maamuzi tu ya kila mtu, kila mtu yuko huru kumiliki kinachomfaa.

Mjapan alipotengeneza IST aliitengeneza kama gari simple yakutembelea mjini.

Kutembelea Toyota V8 Dar es salaam ndio ushamba sasa, kama issue ni hela nao ni washamba tu tunawashangaa hawana Bugati, Mercedes McLaren, Felari, Chev, Jeep, Dodge, Maserati, Royce Royce, Tajiri huna hata PJ Gulf stream nk, Tajiri huna hata Yatch kitu Mangusta nk.
Naona wenye IST sasa mnakuja kwa Kufura kabisa. Ila Dotto Magari bhana eti akiwaona Watu wanaendesha Gari aina za IST anawaona ni kama vile wako Chooni Wanaukweka / Wanakunya kwa jinsi ambavyo huwa wanakuwa wamekaa katika Viti vyao vya Dereva.
 
"Halafu utakuta Mtu bila Aibu anaendesha IST yake halafu na Yeye akifika Kwake anapiga Honi afunguliwe Geti. Hivi hawaoni Aibu? Mwenye Range Rover na Gari zingine za Thamani kama Mercedes Benz na Landcruiser V8 VX wapige Honi na Wewe mwenye Gari yenye Thamani kama ya hii Simu yangu ya Shilingi Milioni 8 unapata wapi Uthubutu huo wa Kupiga Honi?" amesema Influencer Dotto Magari.

Haya wale mnaomiliki IST njooni hapa mumtolee Povu Dotto Magari japo Mimi kama kawaida nakubaliana nae 100%.
Hilo chawa na chokocho asitupotezee muda......
 
Back
Top Bottom