Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
😂😂😂Anawatukana wateja wake
Tusijif
Tusijifariji na umasikini mkuu ,tuuze Mali tununue ndinga Kali sio kutembelea viberiti ,ndiyo maana Mimi dharau zilipozidi nikaipimpu Corolla yangu hivyo ni ndefu na imeenda juu ,wakuja wakiuliza ni aina gani ya gari sionagi aibu kuwambia ni gari tolea jipya la mmarekani
Mkuu samahani naomba ka picha na mi niigilizie nikapimp haka ka Starlert kanguTusijif
Tusijifariji na umasikini mkuu ,tuuze Mali tununue ndinga Kali sio kutembelea viberiti ,ndiyo maana Mimi dharau zilipozidi nikaipimpu Corolla yangu hivyo ni ndefu na imeenda juu ,wakuja wakiuliza ni aina gani ya gari sionagi aibu kuwambia ni gari tolea jipya la mmarekani
AiseeiTukupe picha
Dotto Magari huyu Influencer mtandaoni
View attachment 3105614
Charles Thobius Magari huyu Muigizaji
View attachment 3105616
Usiwamix
Yaani kila Mtu hapa JamiiForums anajifanya ni Tajiri na ana Gari wakati wengine hata mnavyoandika tu mnaonekana ni Masikini na Washamba fulani hivi mliojaa Sifa na kutaka Kujionyesha.Si mmiliki wa IST wala sijawahi endesha hili gari although na gari ya juu but to be honestly hiyo ni dharau peo max . Kila mtu anaendesha anacho kimudu kutokana na uchumi wake, watu hawawezi fanana kiuchumi
Wo aheshimu wenzie else hiyo ego itakuja mpeleka pabaya
Naona wenye IST sasa mnakuja kwa Kufura kabisa. Ila Dotto Magari bhana eti akiwaona Watu wanaendesha Gari aina za IST anawaona ni kama vile wako Chooni Wanaukweka / Wanakunya kwa jinsi ambavyo huwa wanakuwa wamekaa katika Viti vyao vya Dereva.Somebody standard 4 failure hajafika hata standard 7 and he feels proud to be such a bogus person
Kama wale Waliokuzaa.Mgonjwa wa akili sio lazima awe anayeokota Makopo mtaani
Naona wenye IST sasa mnakuja kwa Kufura kabisa. Ila Dotto Magari bhana eti akiwaona Watu wanaendesha Gari aina za IST anawaona ni kama vile wako Chooni Wanaukweka / Wanakunya kwa jinsi ambavyo huwa wanakuwa wamekaa katika Viti vyao vya Dereva.Ni maamuzi tu ya kila mtu, kila mtu yuko huru kumiliki kinachomfaa.
Mjapan alipotengeneza IST aliitengeneza kama gari simple yakutembelea mjini.
Kutembelea Toyota V8 Dar es salaam ndio ushamba sasa, kama issue ni hela nao ni washamba tu tunawashangaa hawana Bugati, Mercedes McLaren, Felari, Chev, Jeep, Dodge, Maserati, Royce Royce, Tajiri huna hata PJ Gulf stream nk, Tajiri huna hata Yatch kitu Mangusta nk.
Ndiyo maana nimefurahi Dotto Magari alivyowachana na anavyowachana Kutwa.To be honest wenye i.s.t uwa wanavimba hao balaa,halafu zao za kuniing'iniza funguo sasa,tusio na magari mbona tunawakoma aisee
Sifa za Kijinga. Hovyoooo......!!Vile vidude vinaumiza sana migongo.. nilipewa lift kutoka dar hadi Moro mgongo wote uliuma, wakati wa kurudi dar ilinilazimu nikodi privite jet kutoka Humburg Germany kuja kunirudisha Dar
Na inaonekana wako wengi sana hapa JamiiForums Mkuu. Nimefurahi mno Dotto Magari alivyowachana.Watu wenye AIESTII ni wakali sana
Hilo chawa na chokocho asitupotezee muda......"Halafu utakuta Mtu bila Aibu anaendesha IST yake halafu na Yeye akifika Kwake anapiga Honi afunguliwe Geti. Hivi hawaoni Aibu? Mwenye Range Rover na Gari zingine za Thamani kama Mercedes Benz na Landcruiser V8 VX wapige Honi na Wewe mwenye Gari yenye Thamani kama ya hii Simu yangu ya Shilingi Milioni 8 unapata wapi Uthubutu huo wa Kupiga Honi?" amesema Influencer Dotto Magari.
Haya wale mnaomiliki IST njooni hapa mumtolee Povu Dotto Magari japo Mimi kama kawaida nakubaliana nae 100%.