Dotto Magari: Nikimuona Mtu (hasa Mwanaume) anaendesha IST namdharau kwani namuona kama vile amekaa Chooni kwa jinsi anavyoiendesha

Hilo chawa na chokocho asitupotezee muda......
Naona wenye IST sasa mnakuja kwa Kufura kabisa. Ila Dotto Magari bhana eti akiwaona Watu wanaendesha Gari aina za IST anawaona ni kama vile wako Chooni Wanaukweka / Wanakunya kwa jinsi ambavyo huwa wanakuwa wamekaa katika Viti vyao vya Dereva.
 
Naona wenye IST sasa mnakuja kwa Kufura kabisa. Ila Dotto Magari bhana eti akiwaona Watu wanaendesha Gari aina za IST anawaona ni kama vile wako Chooni Wanaukweka / Wanakunya kwa jinsi ambavyo huwa wanakuwa wamekaa katika Viti vyao vya Dereva.
Niko kwenye discovery 3 nilitoka kwa rav 4....ila sio sawa kudharau ....ukiyapatia shukuru Mungu......
 
Yule Boss wake ISSA Tambuu Yuko humble sana. Ni mdogo Kwa Umri kuliko Dotto but Yuko Matured Enough.

Huyu Dotte ana wenge la Methadone.
 
Yaani kila Mtu hapa JamiiForums anajifanya ni Tajiri na ana Gari wakati wengine hata mnavyoandika tu mnaonekana ni Masikini na Washamba fulani hivi mliojaa Sifa na kutaka Kujionyesha.
Sijajua hii personal attack kwangu au kwa mtoa post but bottom line is behind every id kuna watu wana jiweza, bottom line is si vizuri kumponda mtu mwenye uwezo mdogo wa ku afford IST just because una gari kubwa kuliki hiyo. Si kila mtu ana financial muscle ya ku perchase VX,vanguard, or haya rav 4 new models na beand nyingine
 
Dotto Magari huwa hakai chooni? Au anajisaidia wima.

Atueleze, yeye ana kiwanda gani cha magari tukanunue.

Huyu mlaanifu ni wa kumpuuza
 
Ulimbukeni upo siku zote katika dunia asamehewe bure.
 
Hata mimi Toyota Ist siwezi kununua hata ivyo vi passo sitaki mimi gari zangu ni Landcruiser V8 VX , Mercedes Benzi ndo gari zangu mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…