Dotto Magari: Nikimuona Mtu (hasa Mwanaume) anaendesha IST namdharau kwani namuona kama vile amekaa Chooni kwa jinsi anavyoiendesha

Huyu ana akili ya Makonda aliyewahi kusema ist ni gari za kuhonga michepuko.

Maana yake wanaoendesha ist mitaani ni Michepuko ya watu?!
Makonda na dotto magari hawana tofauti wote huyu ajaui kusoma huyu ana zero.
 
Ukishangaa. Ya ist, utayaona ya bajaji..anyways Kila mtu na maisha yake na hakuna mashindano
 
Hasira zote hizi ni kwakuwa nawe Unamiliki hiyo IST au?
Nakuelekeza tu wewe pamoja na huyo mwenzio,unapokuja kujitamba kuhusu kumiliki magari kwanza toka kwenye matumizi ya toyota na second hand cars vinginevyo na wewe ni takataka tu.
 
Tafuta hela kijana acha masimango, hivi ni vitu vya kawaida kwa vijana tunaojitafuta na kujipata.
Kuliko niwe na IST si bora tu niwe na Baiskeli ya Kisasa? Mwanaume mzima unamiliki IST halafu unajisifu kuwa una Gari.
 
Dotto Magari huwa hakai chooni? Au anajisaidia wima.

Atueleze, yeye ana kiwanda gani cha magari tukanunue.

Huyu mlaanifu ni wa kumpuuza
Naona wenye IST sasa mnakuja kwa Kufura kabisa. Ila Dotto Magari bhana eti akiwaona Watu wanaendesha Gari aina za IST anawaona ni kama vile wako Chooni Wanaukweka / Wanakunya kwa jinsi ambavyo huwa wanakuwa wamekaa katika Viti vyao vya Dereva.
 
Ulimbukeni upo siku zote katika dunia asamehewe bure.
Naona wenye IST sasa mnakuja kwa Kufura kabisa. Ila Dotto Magari bhana eti akiwaona Watu wanaendesha Gari aina za IST anawaona ni kama vile wako Chooni Wanaukweka / Wanakunya kwa jinsi ambavyo huwa wanakuwa wamekaa katika Viti vyao vya Dereva.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…