Ndio maana ukaishia kuwa shogaUkichaa wangu wa Kurithi unauzidi ule walionao wale Waliokuzaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana ukaishia kuwa shogaUkichaa wangu wa Kurithi unauzidi ule walionao wale Waliokuzaa?
Makonda na dotto magari hawana tofauti wote huyu ajaui kusoma huyu ana zero.Huyu ana akili ya Makonda aliyewahi kusema ist ni gari za kuhonga michepuko.
Maana yake wanaoendesha ist mitaani ni Michepuko ya watu?!
Kama Baba yako Mzazi.Ndio maana ukaishia kuwa shoga
Kwakuwa tu Unamiliki IST yako hiyo ya Mkopo?Makonda na dotto magari hawana tofauti wote huyu ajaui kusoma huyu ana zero.
Sawa Tajiri Uchwara.Hata mimi Toyota Ist siwezi kununua hata ivyo vi passo sitaki mimi gari zangu ni Landcruiser V8 VX , Mercedes Benzi ndo gari zangu mimi
Kimfaacho mtu chake yeye na uchawa wake wote hata afanye miaka kumi hawezi nunua ist.Kwakuwa tu Unamiliki IST yako hiyo ya Mkopo?
Acha kuzuga hapa una hiyo hiyo IST yako ya Mkopo.Sina hata hiyo IST ila jamaa ana dharau sana.
Sasa ulikuwa unakataa nini kama una IST?Kimfaacho mtu chake yeye na uchawa wake wote hata afanye miaka kumi hawezi nunua ist.
we ndo unasema unijuhi ckujui ivo acha maneno machafuSawa Tajiri Uchwara.
Hasira zote hizi ni kwakuwa nawe Unamiliki hiyo IST au?sasa ist na v8 yote si matoyota tu...huyu naye hayajui magari au
Sawa Tajiri Uchwara.we ndo unasema unijuhi ckujui ivo acha maneno machafu
Mimba zinakuhusuKama Baba yako Mzazi.
Nakuelekeza tu wewe pamoja na huyo mwenzio,unapokuja kujitamba kuhusu kumiliki magari kwanza toka kwenye matumizi ya toyota na second hand cars vinginevyo na wewe ni takataka tu.Hasira zote hizi ni kwakuwa nawe Unamiliki hiyo IST au?
We jamaa kichwa chako kina shida mahali sio bureMwanaume unaendeshaje IST? Kama ulitaka kuwa Irene Cheupe si useme
Mi nikikuta IST imepaki najua ni ya demu namlipia parking fee, na wewe siku ukikuta umelipiwa usishangaeWe jamaa kichwa chako kina shida mahali sio bure
Kuliko niwe na IST si bora tu niwe na Baiskeli ya Kisasa? Mwanaume mzima unamiliki IST halafu unajisifu kuwa una Gari.Tafuta hela kijana acha masimango, hivi ni vitu vya kawaida kwa vijana tunaojitafuta na kujipata.
Naona wenye IST sasa mnakuja kwa Kufura kabisa. Ila Dotto Magari bhana eti akiwaona Watu wanaendesha Gari aina za IST anawaona ni kama vile wako Chooni Wanaukweka / Wanakunya kwa jinsi ambavyo huwa wanakuwa wamekaa katika Viti vyao vya Dereva.Dotto Magari huwa hakai chooni? Au anajisaidia wima.
Atueleze, yeye ana kiwanda gani cha magari tukanunue.
Huyu mlaanifu ni wa kumpuuza
Naona wenye IST sasa mnakuja kwa Kufura kabisa. Ila Dotto Magari bhana eti akiwaona Watu wanaendesha Gari aina za IST anawaona ni kama vile wako Chooni Wanaukweka / Wanakunya kwa jinsi ambavyo huwa wanakuwa wamekaa katika Viti vyao vya Dereva.Ulimbukeni upo siku zote katika dunia asamehewe bure.