Dotto yupo sahihi wasomi hatuutumii mtaji wetu wa elimu tulio utafuta kwa miaka mingi kutafuta pesa kama wengine

Dotto yupo sahihi wasomi hatuutumii mtaji wetu wa elimu tulio utafuta kwa miaka mingi kutafuta pesa kama wengine

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Dotto anaongea ukweli wasomi lazima wabadilike tena sana.

Zaidi ya vyeti na ajira ni kitu gani kikubwa msomi ana miliki wakuu?

VYETI: Msomi akifa watoto hawawezi kurithi vyeti.
Akifa tu vyeti vinatupwa jalalani havina kazi tena.

AJIRA: Msomi akifa watoto hawawezi kuirithi. Akifa tu ajira inatangazwa upya.

Mwisho msomi hana nafasi ya kuwa maarufu zaidi zaidi anajificha site.

Sasa ni kitu gani msomi anaweza kujitetea kwa Dotto kijana maarufu mwenye pesa nyingi?.

✅The question is: How can we convert this education into money? How can we turn these A's, B's, and C's into money?

✅Dotto is right, and I stand with Dotto.

✅May God guide all of us in converting our A's, B's, and C's into money—that's where the real value of education lies.
 
Dotto anaongea ukweli wasomi lazima wabadilike tena sana.

Zaidi ya vyeti na ajira ni kitu gani kikubwa msomi ana miliki wakuu?

VYETI: Msomi akifa watoto hawawezi kurithi vyeti.
Akifa tu vyeti vinatupwa jalalani havina kazi tena.

AJIRA: Msomi akifa watoto hawawezi kuirithi. Akifa tu ajira inatangazwa upya.

Mwisho msomi hana nafasi ya kuwa maarufu zaidi zaidi anajificha site.

Sasa ni kitu gani msomi anaweza kujitetea kwa Dotto kijana maarufu mwenye pesa nyingi?.
Nimeshangaa sna waandishi wa habari walisomea miaka 3 udsm wanatoa habari kama hii. Is it fair?
 
Attachments

  • Screenshot_20240823_100214_Instagram.jpg
    Screenshot_20240823_100214_Instagram.jpg
    672.4 KB · Views: 4
Elimu
Akili
Maarifa

Akili inatafuta elimu na elimu inabeba maarifa.

Msomi ni MTU wa aina gani ?

Chuoni au shule ni sehemu ambayo elimu inatolewa Ila elimu IPO kila sehemu.

Hivyo MTU Kama dotto anaweza kuwa hana vyeti Ila akawa na ELIMU maana Elimu ipo kila sehemu.

Kuhusu kuwa msomi na kuwa na PESA kuimiliki pesa haina uhusiano na kuwa msomi bali lazima ufate mikakati ya kuimiliki hiyo PESA.

So kuna watu wengi wana ELIMU Ila hawana vyeti na kuna wengine wana vyeti Ila hawana ELIMU.

Chuo -shule haya ni maeneo ambayo ELIMU inatolewa Ila ELIMU ipo kila mahali
 
Anajua kuongea kwa ushawishi. Mimi mwenyewe huwa napenda kumsikil8za hata akiongea pumba, nikikutana na video yake siipiti. Anaconviction kubwa sana kwa maneno yake. Nadhani ndio maana amekuwa dalali.
Maneno ya convincing yan msaada gan kwenye kutatua changamoto zilizopo?
 
Elimu itabaki kuwa elimu tu, kufanikiwa kimaisha ama kutokutoboa hilo ni jambo jingine kabisa.

Changamoto ya bongo ni soko la ajira ukilinganisha na watu wanaozalishwa na chuo kila mwaka. Anaumwa yule anaenda tibiwa hospital na mtu mwenye elimu yake, atamuheshimu huyo dr. Sababu kamtibu kisha atamdharau dokta ambae ni bodaboda hana ajira.
 
Mada hizi, mitazamo inayofungamana na elimu kutokuwa na msaada inafungamana sana na kigezo cha kuosekana kwq ajira. Hawaliangalii hasa tatizo la ajira limezaliwa na nn hapo
 
Back
Top Bottom