Dotto yupo sahihi wasomi hatuutumii mtaji wetu wa elimu tulio utafuta kwa miaka mingi kutafuta pesa kama wengine

Zaidi ya vyeti na ajira ni kitu gani kikubwa msomi ana miliki wakuu?

Hapa ulikua uunamaanisha kwamba wasomi hawana vitu wanamiliki?
Unatamka kusema wasomi hawamiliki:-
nyumba?
Viwanja?
Magari?
Flemu za biashara?

Wasomi hawawapi elimu nzuri watoto wao?
Hakuna wasomi waliwapa mitaji ya biashara watoto wao?

Unataka kusema watoto wa wasomi hawanaga future?

Unataka kusema doto magari amewazidi maisha wasomi wote?
 
Mzee sio kila kitu ni changamoto.
Wengine hatuamini mambo ya changamoto.
We are speaking to see resolutions. Changamoto sio lazima uzione wewe, na sio kama usipoziona hazipo. Tunaangalia maisha ya watu wengine katika jamii yetu. Kuna mambo yanatka taaluma na utekelezaj tu, na hawa ndio watu wanaozalishwa na mifumo ya elimu ingawa nafas hazitosh au capacity ni ndogo. Una elim gani mkuu
 
Watu wanasahau kuangalia quantity na quality. Watu wenye kipato cha kati kama dotto magari kwa kazi hiz ni idad ndogo sana. Wasomi wenye maisha kama yale ya doto magari ni wengi sana na sio lazima kila mtu aya(wa)jue
 
wewe nae acha kujishusha heshima yako aliyekwambia wasomi hawajielewi ni nani..
unaposema wasomi wa hii nchi hawajielewi maana yake unamtuka rais, mawaziri na watendaji wote wa serikali ambao ni mamilioni wote hao hawajielewi yaani sababu ya ukosefu wa ajira kusifanye wasomi wadharauriwe na wajinga wachache kama kina dotto anapewa airtime kama comedian na sio kama professional..!
unadhani bila elimu haya maendelea ya tekinolojia, miundombinu, afya yangefikiwaje hizo gari anazojisifia kuuza zilitengenezwa na wapumbavu kama yeye au!

mimi binafsi namchukulia ni mfurahisa genge tu mitandao isipoe ila sio kumfanya sasa awe icon isee bado sana yule maana hata barua tu kusoma hajui.
 
Kila mtu afanye anachoweza kufanya kwa nafasi yake. Yeye anafanya hivyo. Na raia wenye utitiri wa degree nao wafanye kwa elimu yao kutatuq changamoto zilizo kwenye uwezo wao.

Kama unapenda changamoto.
Yeye anatatua changamoto za masoko kwa wengi ambao hawana wateja kwa kupromote bidhaa zao. Hao wasomi wa marketing na wao wafanye kwa elimu zao.

Yeye anampigia promo mama kwa dizaidi flani. Na wasomi wa siasa na wao waonyeshe taaluma zak kwenye cyama vyao vya siasa.

Yeye ametatua changamoto za familia yake kwa kiasi fkani. Na wasomi nao angalau watatue zao.
 
Elimu ni kile kilichobaki kichwani baada ya kusahau vyote ulivyojifunza darasani.
 
Ok
 
Watu weupe sana. Hii mada nzuri ila aina ya watu wanaoijadili hakuna cha maana hapa hainifai hata dakika moja. Jambo la jamii nzima linaangaliwa ngazi ya mtu mmoja mmoja
 

Kwani Mkuu doto magari katangaza kawaachia nini wanae?

Doto katangaza anakiasi gani cha pesa mpaka ukasema wasomi hawana cha kujitetea kwa doto magari?

Inamaana Mkuu inabidi wasomi wote wawe maarufu? ili iweje?
Nitajie nchi Gani duniani wasome wote maarufu?
 
Kazi ya elimu sio kutafuta pesa, nu kutatua changamoto za kwenye jamii, Pesa ni matokeo
 
Kwa wastani watu walioenda shule wanamaisha bora kwa mbali sana ukilinganisha na wasiopita shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…