"Double Standards" ya TEC na Kardinali Pengo linapokuja suala la ukosoaji wa utawala

Umeandika uongo wakati wa JPM maasikofu walitoa nyaraka mbili kuukosoa utawala wake.
 
Hilo jambo kila mtu ameshaliona halina mjadala hawa huwa wanajua haki kiongozi akiwa siyo mkatoliki ndio utaona kila aina ya matamko na waraka, waache mama afanye kazi waraka wao ni kiunazi na kiushabiki

Kabisa, walikuwa wapi kutoa Waraka zao kipindi JPM anaua demokrasia ndan ya nchi hii
 
Siasa za bongo kama bendera fuata upepo.

Nimesubiri sana akosoe MoU ya 1992 ya serikali na kanisa lakini nachoshuhudia ni meno yangu kuendelea kupukutika mdomoni na mgongo kupinda
 
Usipoteshe, TEC haijawahi kuwa biased. Pengo ndiye biased
 
Mama afanye kazi ya kutupeleka utumwani, hapana, haiwezekani, kama mnampenda sana mama yenu muondoeni ikulu mkakae nae nyumbani.
Kwani huu ndio mkataba wa kwanza serikali kuingia ubia na taasisi za nje? Hela za escrow zilienda hadi makanisani mbona hawakusema kitu kama wao ni watu wa haki? Midomo inakuwa mirefu akiwa kiongozi sio wa upande wao ,waache vyombo husika vya nchi vifanye kaxi, bunge lipo, cag yupo etc
 
Ajenda ya udini haina maana yoyote.
Ajenda iliyopo ni Samia kuuza bandari yetu.

Akauze ya kwao Zanzibar.
Sahihi kabisa. Hawawezi kuuza mali za Tanganyika kwa Mwabwana zao wa Kiarabu kwa mgongo wa dini, au jinsia. Linapokuja suala lenye maslahi ya nchi, tunatakiwa kuungana pamoja.
 
Sahihi kabisa. Hawawezi kuuza mali za Tanganyika kwa Mwabwana zao wa Kiarabu kwa mgongo wa dini, au jinsia. Linapokuja suala lenye maslahi ya nchi, tunatakiwa kuungana pamoja.

Sasa kuwa pamoja vip,unaongea tuh mbona kwenye maandamano sijakuona pale,mnashindwa had na wadada katika kuandamana,wewe umebakia kuandamana JF tuh
 

Ilikua mbaya sana Jins walivyopapatikia mgao wa Escrow,usokite you wanalalama kwa kuwa hawajaona upenyo wa kushirikishwa katika hili pia
 
Sahihi kabisa. Hawawezi kuuza mali za Tanganyika kwa Mwabwana zao wa Kiarabu kwa mgongo wa dini, au jinsia. Linapokuja suala lenye maslahi ya nchi, tunatakiwa kuungana pamoja.
Yes but we have to be fair and objective, haiwezekani hapa kuna viongozi waligawana nyumba za serikali halafu mawaziri wakapangiwa hotel nchi hii hii lakini hawa walalamishi walikaa kimya, kuna viongozi walijigaia migodi na wakaingia mikataba ya hovyo ya migodi watu walikaa kimya, kuna viongozi awamu zao zilijaa ukatili wa kila aina watu walipotezwa, oesa za serikali liingizwa mifukoni mwao yote haya walikaa kimya, ila kiongozi akiwa si wa upande wao hawaishi kutoa waraka na kulalamika kila kitu kinachofanywa hii sio haki hatupo pamoja kwenye hili ni unafki
 
Walimwita kitako akawasikia akawaelewa akatubu
 
Mbona nyie ( hasa wewe na yule bibi) Rais akiwa mkristo mnapotea ila akija dini yetu ile mnaibuka na kuanza kuitetea kama hivi? Awamu ya 4 uliigeuka kwenye issue ya korosho tu ila tunajua ni Lumumba promax...
Too low from you ..Tec na Pengo ni Sawa na anonymous I'd za Jf??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…