"Double Standards" ya TEC na Kardinali Pengo linapokuja suala la ukosoaji wa utawala

You must be kidding
Huo urais wake tu questionable, De facto president. Kafa President, that is a chance which gonna happen in let say 100 yr, never ever another like this

Kwahiyo sasa unataka kusemaje??

Rais wa nchi hii kwa sasa ni nani??

PENGO au??basi kama hutak kuwa Samia ndo Rais hama nchi,au nenda wewe ukae Rais pale tuone
 
Wewe ni kenge
Nyumba zimegawiwa Kwa waTanzania
Bandari na Loliondo zimepewa waarabu Kwa masharti tupa

wapi na wapi?
 
Hilo jambo kila mtu ameshaliona halina mjadala hawa huwa wanajua haki kiongozi akiwa siyo mkatoliki ndio utaona kila aina ya matamko na waraka, waache mama afanye kazi waraka wao ni kiunazi na kiushabiki
Wee jamaa vp yaan waache mama afanye kazi ya kuuza bandari😞 nahii ni miaka 3tu vp tukimuongezea miaka nyingine 5 nchi ataiyacha katika Hali gani?!!!
 
Mbona nyie ( hasa wewe na yule bibi) Rais akiwa mkristo mnapotea ila akija dini yetu ile mnaibuka na kuanza kuitetea kama hivi? Awamu ya 4 uliigeuka kwenye issue ya korosho tu ila tunajua ni Lumumba promax...
Anajifanya amesahau vile TEC ilivyomsakama Magufuli na utawala wake.

Hawa watu waambiwe wazi waache udini wao, hakuna mtu anakosolewa kwa kuangalia dini yake. Waache ujinga, hakuna mtu anaangalia dini ya mtu hapa, pimeni kinachosemwa na sio anayesema.

Acheni kutumia karata ya udini, ni ujinga na ushamba. Magufuli alisemwa, hakuna aliyesema anasemwa kwasababu ni Mkatoliki au msukuma. Acheni kudeka!
 
Wewe ni kenge
Nyumba zimegawiwa Kwa waTanzania
Bandari na Loliondo zimepewa waarabu Kwa masharti tupa

wapi na wapi?
Sawa wewe mamba huwezi ukagawa mali za serikali kwa sababu zako binafsi za uchoyo na kujinufaisha wewe na kikundi chako ambacho mlikuwa kwenye power wakati huo halafu unasema umegawa kwa watanzania ule ni wizi kama wizi mwingine tu
 
Wee jamaa vp yaan waache mama afanye kazi ya kuuza bandari😞 nahii ni miaka 3tu vp tukimuongezea miaka nyingine 5 nchi ataiyacha katika Hali gani?!!!
Hakuna kitu kilichouzwa bandari imebinafsishwa kwa mwekezaji ili ilete tija na kuongeza mapato kwa nchi kama ilivyobinafsishwa migodi etc tatizo hapa ni muarabu ndio kichwa kinakuuma
 
The answer is crystal clear....athari za 'Mfumokristo'. Kwao Uarabu ni ugaidi, siasa kali, Al-kaida nk, ndio maana hata katika mambo ya dhahir kama aliyejenga majengo ambayo sasa ni ikulu ya Magogoni na hospitali ya Ocean Road hawataki kuamini kuwa ni Waarabu. Majengo ya Ikulu yakiwa ni chuo cha Kiislamu, na ya Ocean Road yalikuwa mabweni ya wanazuoni wa kiislamu.
 

Wewe ndo uko selective. Unapenda kuona na kunusa vilivyo katika maamuzi mbele yako.
 
Unapenda kuleta mijadala ya udini!!..?
Jikite kwenye kuchambua hoja.
 
Mleta mada bwana....kwani huwajui hao mabwana huwa ni watu wa double standards always???

Nikupe mfano mdogo duniani??

Machafuko ya Palestine dhidi Israel wale wanaojiita FIFA walikataa kabisaa mabango uwanjani na juhudi zozote kupitia soka kuzima mgogoro ule, kwasababu aliyekuwa akipigwa ni muarabu wakidai mpira na siasa havichanganywi....


Aya mwenyezi mungu kawaumbua dhidi ya Ukraine (japokuwa hatupendi damu kumwagika) je siasa hazijachanganywa na boli??

Kwasababu Ukraine ni katika wao

Wasi kubrain wash hao achana nao na natamani taasisi nyingi sanaa zibinafisishwe tulichelewa sana! Na hamna kitu hao the so called TEC watafanya concerning the issue of bandari....wafanye yao ya kanisa huko

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Wewe una chuki binafsi tu kwa Pengo na TEC, kwanini hukulenga taasisi zingine?..

Kwani kukemea au kuamua kukaa kimya si sehemu ya Uhuru wao ?...au unataka kuwapangia wapi pa kusema wapi pa kubaki kimya ?
 
Wagalatia wa nchi hii hawapendi Rais awe muislam,dawa kuwakomesha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…