"Double Standards" ya TEC na Kardinali Pengo linapokuja suala la ukosoaji wa utawala

Pengo Ndio nani nchi hii?
 
Kwahiyo wewe tatizo lako hapo ni Mwarabu? Angepewa Mzungu ungeona ni sawa tu sio?
 
Safi, kumbe unawafahamu hawa wanafiki, huu mchezo wao wa kizamani kuwalinda waharibifu kisa ni wenzao katika imani, safari hii umefika mwisho, watambue wamefeli, na hatanyamaza mtu.
Ulikuwepo kwenye maandamano aisee? Au ndio unabweka humu tu?


😀 😀
 
Kwahiyo wewe tatizo lako hapo ni Mwarabu? Angepewa Mzungu ungeona ni sawa tu sio?
Mzungu kwa sababu gani.....hapo uliponisoma kuna sehemu nimesema apewe mzungu?

Weka mahaba ya dini pembeni wewe unadhani nimeandika hapo ili kupinga bandari kupewa mwarabu anayejulikana kama muslm sasa unanizodoa kwa kuhisi kwamba mimi Mkristo nilitamani apewe mzungu,tuzungumze kitaifa acheni hizi pumba mnazoleta.
 
Hawa Huwa ikija suala la Rais Muislamu Huwa nyaraka haziishi,ni wapuuzi sana,wanapenda kuyumbisha Serikali za Rais ambae sio Mkatoliki
 
Mbona unakua na akili za Panzi? Nimekuuliza swali,sijakwambia umesema mzungu,tuliza akili acha kuandika huku unatetemeka.
 
Mbona unakua na akili za Panzi? Nimekuuliza swali,sijakwambia umesema mzungu,tuliza akili acha kuandika huku unatetemeka.
Kawaida yenu mkishajiona hamna hoja,unaruka ruka hapa ku-provoke ukidhani nitakuacha hoja ya kama apewe mzungu na siyo muarabu ni wewe umeileta ndiyo maana nikakuuliza...

Uliponisoma na kuni-quote hiyo post mimi nilizungumza suala la bandari apewe nani?

Kuitana majina ya ajabu ajabu hakusaidii hata mimi nina uwezo wa kukujibu hivyo ila tuna uelewa tofauti akili hizo mimi sina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…