DP World anapewa kazi ya kupakua na kupakia Makontena tu, sio Bandari yote ya Dar wala si nje ya Dar

Ubaya wa kuuza Bandari zote Tanganyika Kwa DP world ni mwingi sana kuliko uzuri wa kuwauzia Bandari DP world zote za Tanganyika.
Mkuu ulilishwa taarifa ya Uongo. Hawa DP World wanapewa sehemu ya Bandari ya Dar es Salaam ile sehemu alipokuwa TICTS ambaye Mkataba wake umeisha. Ila Wakasema, kama tafanya vizuri ndani ya miaka mitano, basi wanaweza kuingia naye Mkataba hata bandari za Kigoma na Mwanza kwani nazo zina hali mbaya. Ila hii azimio la sasa ni la Nchi na Nchi wala sio Mkataba wa kuendesha Bandari, huo bado kabisa. Maazimio ya Nchi na Nchi katika Nyanja ya Bahari na Teknolojia ya usafirishaji majini. Kuna mikataba kibao tunasaini ya mashirikiano nchi na Nchi sio huu tu. Sema huu unapigiwa kelele sababu unahatarisha Uchumi wa Nchi Jirani. Wanatuonea wivu kwamba tunaenda kuendelea gafla bin Vuu
 
Salaam Wakuu,

Wote tunaijua Bandari ya Dar Es Salaam.
View attachment 2658109
Watu walidanganya eti kuanzia Geti namba moja hadi namba 8 anapewa DP World kumbe uongo. DP World anapewa kazi ya kupakia na kupakua Makasha kama ilivyokuwa kwa TICTS si kwamba anapewa bandari yote ya Dar, anapewa kijisehemu tu.

Kwahiyo TPA ataendelea na kazi ya kupakua Magari, Mafuta nk.

Pili DP World anakuja na Teknolojia ambayo itawezesha Mifumo ya TRA, TASAC, TPA isomane. Yaani mzigo wako ukifika unachukua hapo hapo hamna mambo Storage wala gharama zimezidi.

Hawa wanaopiga kelele ni watu waliokuwa wanategemea hela za storage hawa wenye bandari kavu. DP World yeye kwenye hatakuwa na mambo ya storage sababu hadi mzigo unafika unakuwa ushalipia kila kitu.

Nimefafanuliwa na Mwanasheria wa bandari baada ya kumtwanga swali.

Nimewapenda bure DP World.

Sasa hawa wanaopotosha wana dhamira gani?

Sema kuna wengine wanapinga sababu walishalishwa matango pori ukizingatia haya makubaliano ya awali yapo kwa lugha ya Kimombo.

Ukweli ni kwamba hadi sasa hakuna Mkataba umesainiwa wala hakina kitu kilicho chukuliwa. Hata huu Mkataba wa Mashirikiano ya Nchi kwa Nchi ambayo wanataka yawe na Ukomo nayo hayajatiwa saini.

Wanasiasa nao washapata sehemu ya kupepetea mdomo.

Natamani kuona Watanzania tukishikamana kwa manufaa ya Watoto wetu. Tuache kuishi kama zamani.

Sasa hivi TPA inapakua Kontena laki 6 kwa Mwaka. Ila DP World watapakua Makontena Mil 2 kwa Mwaka.

Sasa hivi baandali inachnagia pato la taifa kwa 35% lakini DP World wakianza Bandari ya taifa itachangia 97%

Hii itafanya Watanzania wapumue na mambo ya tozo. Nchi inatoza tozo hadi kwenye Miamala sababu hakuna vyanzo vya mapato vya kueleweka na Nchi lazima iendelee.

Ajabu ni kwamba Wanaoongoza kwa kuiponga DP World mitandaoni ni Wakenya sababu wanajua hii ni vita ya Kiuchumi. DP World wakianza bandari za Kenya hawana chao. Hata waliokuwa wanapinga bomba la Mafuta Mafuta Uganda kuja Tanzania ni Wakenya hadi wakaandamana Ulaya huko eti litaharibu Mazingira.

Watanzania tujitafakari na tujielewe.

Kila kitu kina mazuri na Mabaya, kwanini Wakenya wanaona Ubaya wa DP World tu?

Bila uzalendo tutaishia hapa hapa kulaumiana. Sasa hvi Mwarabu ndo mwenye hela ndo maana hata timu za Mpira za Uingereza anapewa Mwarabu. Hata Bandari zao wamempa Mwarabu lakini sisi wabongo Bandari tunataka eti tumpe Singa singa na Kanjibhai.

Tujaribu Waarabu japo miaka 5 tuone.
View attachment 2658110
Mkataba uwe tu fine polished kwa kuzingatia maoni Muhimu lakini Kazi iendelee!

Hiki ni Kitu Kizuri sana na Siku si Nyingi Watu watajua tunaye Rais wa Faida!

Achilia mbali mambo ya SIASA-Nampongeza sana Mh Rais Samia na asife Moyo kwa Sababu maamuzi haya ni ya Kishujaa.

Siku Tra itatangaza kwamba tumefikia Makusanyo ya T 3 mpk 4 kwa Mwezi ndo watu watamuelewa Mama!

Tena kama inafaa Mwarabu angetupa Mkopo wa 20T(au upfront payment au interest free loan)deductable kwenye operations ingetupa millage kweli!

Na pesa iyo nusu inaenda kwenye Miundombinu ya Barabara na nusu kwenye Kilimo na Ufugaji kupitia Mabank Maalumu kwa Agriculture,Livestock and Aquaculture ili tuweze kuwa na Mizigo ya ku export kupitia Bandari kwa kuwa sasa kutakuwa na professional Handling and logistics!

By the way
Kondoo wetu,Mbuzi wetu na Ng'ombe wetu si wataenda kuuzwa hapo Middle East kwa Sababu hawa Mabingwa wakiona fursa kidogo tu wanaunganisha Biashara na Dunia Nzima.

Mimi nadhani Serikali ituandae sisi wafanyabiashara ili tuweze kuchukuana na Fursa zitakazotokana na Ufanis wa Bandari Mpya!

Swali
Ni lini hii kitu itakuwa imekamiliks na Kuanza Kazi??

Tunachelewa Bhana!!!
 
Salaam Wakuu,

Wote tunaijua Bandari ya Dar Es Salaam.
View attachment 2658109
Watu walidanganya eti kuanzia Geti namba moja hadi namba 8 anapewa DP World kumbe uongo. DP World anapewa kazi ya kupakia na kupakua Makasha kama ilivyokuwa kwa TICTS si kwamba anapewa bandari yote ya Dar, anapewa kijisehemu tu.

Kwahiyo TPA ataendelea na kazi ya kupakua Magari, Mafuta nk.

Pili DP World anakuja na Teknolojia ambayo itawezesha Mifumo ya TRA, TASAC, TPA isomane. Yaani mzigo wako ukifika unachukua hapo hapo hamna mambo Storage wala gharama zimezidi.

Hawa wanaopiga kelele ni watu waliokuwa wanategemea hela za storage hawa wenye bandari kavu. DP World yeye kwenye hatakuwa na mambo ya storage sababu hadi mzigo unafika unakuwa ushalipia kila kitu.

Nimefafanuliwa na Mwanasheria wa bandari baada ya kumtwanga swali.

Nimewapenda bure DP World.

Sasa hawa wanaopotosha wana dhamira gani?

Sema kuna wengine wanapinga sababu walishalishwa matango pori ukizingatia haya makubaliano ya awali yapo kwa lugha ya Kimombo.

Ukweli ni kwamba hadi sasa hakuna Mkataba umesainiwa wala hakina kitu kilicho chukuliwa. Hata huu Mkataba wa Mashirikiano ya Nchi kwa Nchi ambayo wanataka yawe na Ukomo nayo hayajatiwa saini.

Wanasiasa nao washapata sehemu ya kupepetea mdomo.

Natamani kuona Watanzania tukishikamana kwa manufaa ya Watoto wetu. Tuache kuishi kama zamani.

Sasa hivi TPA inapakua Kontena laki 6 kwa Mwaka. Ila DP World watapakua Makontena Mil 2 kwa Mwaka.

Sasa hivi baandali inachnagia pato la taifa kwa 35% lakini DP World wakianza Bandari ya taifa itachangia 97%

Hii itafanya Watanzania wapumue na mambo ya tozo. Nchi inatoza tozo hadi kwenye Miamala sababu hakuna vyanzo vya mapato vya kueleweka na Nchi lazima iendelee.

Ajabu ni kwamba Wanaoongoza kwa kuiponga DP World mitandaoni ni Wakenya sababu wanajua hii ni vita ya Kiuchumi. DP World wakianza bandari za Kenya hawana chao. Hata waliokuwa wanapinga bomba la Mafuta Mafuta Uganda kuja Tanzania ni Wakenya hadi wakaandamana Ulaya huko eti litaharibu Mazingira.

Watanzania tujitafakari na tujielewe.

Kila kitu kina mazuri na Mabaya, kwanini Wakenya wanaona Ubaya wa DP World tu?

Bila uzalendo tutaishia hapa hapa kulaumiana. Sasa hvi Mwarabu ndo mwenye hela ndo maana hata timu za Mpira za Uingereza anapewa Mwarabu. Hata Bandari zao wamempa Mwarabu lakini sisi wabongo Bandari tunataka eti tumpe Singa singa na Kanjibhai.

Tujaribu Waarabu japo miaka 5 tuone.
View attachment 2658110
Nonsense!.
 
Unauzaje Bandari zote?
Hawauzi kitu. Wanaruhusu DPW kufanya uwekezaji kazi ya Serikali iwe kukusanya Ushuru wa forodha. Na DP WORLD watafanya kazi ya kupakia na kupakua Kontena tu. Mizigo mingine TPA inaendelea. Mfano Mafuta, Magari zana za ndani za kijeshi zitakuwa chini ya TPA. wao wanapewa pale TICTS tu.
 
Salaam Wakuu,

Wote tunaijua Bandari ya Dar Es Salaam.
View attachment 2658109
Watu walidanganya eti kuanzia Geti namba moja hadi namba 8 anapewa DP World kumbe uongo. DP World anapewa kazi ya kupakia na kupakua Makasha kama ilivyokuwa kwa TICTS si kwamba anapewa bandari yote ya Dar, anapewa kijisehemu tu.

Kwahiyo TPA ataendelea na kazi ya kupakua Magari, Mafuta nk.

Pili DP World anakuja na Teknolojia ambayo itawezesha Mifumo ya TRA, TASAC, TPA isomane. Yaani mzigo wako ukifika unachukua hapo hapo hamna mambo Storage wala gharama zimezidi.

Hawa wanaopiga kelele ni watu waliokuwa wanategemea hela za storage hawa wenye bandari kavu. DP World yeye kwenye hatakuwa na mambo ya storage sababu hadi mzigo unafika unakuwa ushalipia kila kitu.

Nimefafanuliwa na Mwanasheria wa bandari baada ya kumtwanga swali.

Nimewapenda bure DP World.

Sasa hawa wanaopotosha wana dhamira gani?

Sema kuna wengine wanapinga sababu walishalishwa matango pori ukizingatia haya makubaliano ya awali yapo kwa lugha ya Kimombo.

Ukweli ni kwamba hadi sasa hakuna Mkataba umesainiwa wala hakina kitu kilicho chukuliwa. Hata huu Mkataba wa Mashirikiano ya Nchi kwa Nchi ambayo wanataka yawe na Ukomo nayo hayajatiwa saini.

Wanasiasa nao washapata sehemu ya kupepetea mdomo.

Natamani kuona Watanzania tukishikamana kwa manufaa ya Watoto wetu. Tuache kuishi kama zamani.

Sasa hivi TPA inapakua Kontena laki 6 kwa Mwaka. Ila DP World watapakua Makontena Mil 2 kwa Mwaka.

Sasa hivi baandali inachnagia pato la taifa kwa 35% lakini DP World wakianza Bandari ya taifa itachangia 97%

Hii itafanya Watanzania wapumue na mambo ya tozo. Nchi inatoza tozo hadi kwenye Miamala sababu hakuna vyanzo vya mapato vya kueleweka na Nchi lazima iendelee.

Ajabu ni kwamba Wanaoongoza kwa kuiponga DP World mitandaoni ni Wakenya sababu wanajua hii ni vita ya Kiuchumi. DP World wakianza bandari za Kenya hawana chao. Hata waliokuwa wanapinga bomba la Mafuta Mafuta Uganda kuja Tanzania ni Wakenya hadi wakaandamana Ulaya huko eti litaharibu Mazingira.

Watanzania tujitafakari na tujielewe.

Kila kitu kina mazuri na Mabaya, kwanini Wakenya wanaona Ubaya wa DP World tu?

Bila uzalendo tutaishia hapa hapa kulaumiana. Sasa hvi Mwarabu ndo mwenye hela ndo maana hata timu za Mpira za Uingereza anapewa Mwarabu. Hata Bandari zao wamempa Mwarabu lakini sisi wabongo Bandari tunataka eti tumpe Singa singa na Kanjibhai.

Tujaribu Waarabu japo miaka 5 tuone.
View attachment 2658110
Maelezo haya yalitakiwa yaambatanr na kifungu kinachoelekeza haya kwenye mkataba ama makubaliano tajwa!!!
 
Kwanini wasibinafsishe Bandari Moja ili tuone ufanisi tena Kwa kipindi kifupi?
Ndicho kitakacho fanyika. Ni sehemu ya bandari ya Dar. Sio Bandari yote. Yaani pale maeneo ya geti namba 5 ambapo alikuwa TICTS. Huku kwingine hata kule JET kwenye visima vya Mafuta na Kigamboni kwenye Bomba la TAZAMA vinaendelea kuwa chini ya TPA.
 
Mkuu, kwa sasa Bandari ndo inachangia pakubwa kwenye pato la taifa yaani 35%-37% ambayo ni Trilioni 7 kwa Mwaka.
Kwa hiyo tuachane na Kilimo tulichoambiwa ndiyo UTI wa mgongo wa Uchumi wa Taifa?
 
Umesahau kuweka namba yako kwenye teuz uwekwe
Mkuu mimi sihitaji teuzi. Nachofanya ni kushare kile ninacho kijua hata wewe andika unachojua tubishane kwa hoja. Mijadala ni kitu kizuri.
 
Salaam Wakuu,

Wote tunaijua Bandari ya Dar Es Salaam.
View attachment 2658109
Watu walidanganya eti kuanzia Geti namba moja hadi namba 8 anapewa DP World kumbe uongo. DP World anapewa kazi ya kupakia na kupakua Makasha kama ilivyokuwa kwa TICTS si kwamba anapewa bandari yote ya Dar, anapewa kijisehemu tu.

Kwahiyo TPA ataendelea na kazi ya kupakua Magari, Mafuta nk.

Pili DP World anakuja na Teknolojia ambayo itawezesha Mifumo ya TRA, TASAC, TPA isomane. Yaani mzigo wako ukifika unachukua hapo hapo hamna mambo Storage wala gharama zimezidi.

Hawa wanaopiga kelele ni watu waliokuwa wanategemea hela za storage hawa wenye bandari kavu. DP World yeye kwenye hatakuwa na mambo ya storage sababu hadi mzigo unafika unakuwa ushalipia kila kitu.

Nimefafanuliwa na Mwanasheria wa bandari baada ya kumtwanga swali.

Nimewapenda bure DP World.

Sasa hawa wanaopotosha wana dhamira gani?

Sema kuna wengine wanapinga sababu walishalishwa matango pori ukizingatia haya makubaliano ya awali yapo kwa lugha ya Kimombo.

Ukweli ni kwamba hadi sasa hakuna Mkataba umesainiwa wala hakina kitu kilicho chukuliwa. Hata huu Mkataba wa Mashirikiano ya Nchi kwa Nchi ambayo wanataka yawe na Ukomo nayo hayajatiwa saini.

Wanasiasa nao washapata sehemu ya kupepetea mdomo.

Natamani kuona Watanzania tukishikamana kwa manufaa ya Watoto wetu. Tuache kuishi kama zamani.

Sasa hivi TPA inapakua Kontena laki 6 kwa Mwaka. Ila DP World watapakua Makontena Mil 2 kwa Mwaka.

Sasa hivi baandali inachnagia pato la taifa kwa 35% lakini DP World wakianza Bandari ya taifa itachangia 97%

Hii itafanya Watanzania wapumue na mambo ya tozo. Nchi inatoza tozo hadi kwenye Miamala sababu hakuna vyanzo vya mapato vya kueleweka na Nchi lazima iendelee.

Ajabu ni kwamba Wanaoongoza kwa kuiponga DP World mitandaoni ni Wakenya sababu wanajua hii ni vita ya Kiuchumi. DP World wakianza bandari za Kenya hawana chao. Hata waliokuwa wanapinga bomba la Mafuta Mafuta Uganda kuja Tanzania ni Wakenya hadi wakaandamana Ulaya huko eti litaharibu Mazingira.

Watanzania tujitafakari na tujielewe.

Kila kitu kina mazuri na Mabaya, kwanini Wakenya wanaona Ubaya wa DP World tu?

Bila uzalendo tutaishia hapa hapa kulaumiana. Sasa hvi Mwarabu ndo mwenye hela ndo maana hata timu za Mpira za Uingereza anapewa Mwarabu. Hata Bandari zao wamempa Mwarabu lakini sisi wabongo Bandari tunataka eti tumpe Singa singa na Kanjibhai.

Tujaribu Waarabu japo miaka 5 tuone.
View attachment 2658110
Boss wake anasema itafikia 67% wewe 97% sasa sijui nani Ni Mkweli
 
Kitu mnachosau ni kuwa England iko vizuri hata kabla ya DP World. Siyo sawa na sisi wenye ka rail line kamoja kutoka bandarini. Kama ingekuwa rahisi kihivyo mbona bandari ya Beira haina hizo technology na standards ingawa wapo pale kwa miaka kadhaa. Au kwa mawazo yetu ni kwamba sisi tuko so special sana kwa Warabu kwa hiyo wayatufanyia tofauti na wengine siyo.....!!?
 
Kama kawaida ya watetezi wa DP world,hamtaki kabisa kuongelea vipengele vyenye utata,mawazo yenu ni ya jumla jumla tu kama mbunge Musukuma.
Hapana Mkuu. Haya ni Maazimio sio Mkataba kama watu wanavyosema. Ni maazimio ya Nchi kwa Nchi. Sijawahi kuona Ushirikiano ukiwekwa kikomo chake. Mfano. Mfano Ushirikiano wa China na Tanzania tangu miaka hiyo hadi leo unaendelea, mbona hawajaweka kikomo?

Mfano china ilitujengea TAZARA. Tarehe 15 Mei mwaka 1968, upimaji wa reli hiyo ulianza kufanywa nchini Tanzania. Tarehe 26 Oktoba mwaka 1970, ujenzi wa reli hiyo ulianza nchini Tanzania. Tarehe 22 Oktoba mwaka 1975, reli ya TAZARA ilizinduliwa kwa majaribio. Tarehe 23 Julai mwaka 1976, reli ya TAZARA ilianza kufanya kazi rasmi. Hadi leo tunatmia. Sasa mbona hamsemi sasa hivi tunajiweza china ondokeni ng'oa reli yenu kama Nyerere alivyo ng'oa reli ya kwenda mtwara baada ya Makonde kumletea jeuri. Ushirikiano wa mambo mazuri hauna kikomo. Mikataba ndo una kikomo na kuongezewa. Hata Watanzania walioajiriwa na Serikali hawana kikomo hadi wanazeheka wakiwa kazini. Kikubwa ni je, Ushirikiano huu una manufaa? Ndo maana tumepewa miezi 12 tujadili na kueleza vifungu visivyo faa virekebishwe. Hadi sasa hakuna kitu kimewekewa Wino kwa huu ni Mkataba
 
Hizi ni propaganda. Suala hili linapindishwa na kupotoshwa sana, kutoka pandr zote- Nikiwa naaana ya walio Serikalini na vibaraka wao, pamoja na wawekezaji na vibaraka wao na isitoshe, wale wote wasiotutakia mema kama nchi! Kama watu weusi.

Yaani naanza kuogopa, na kuona vita kuu ya tatu ikitokea, kwa sababu ya Afrika kwa mara nyingine tena. Ni suala la muda, na kwa sababu Tanzania ipo na ni kama lango kuu mashariki mwa Afrika....kuenda kusini, kuenda magharibi na nchi jirani kwa Urahisi....niache akiba ya maneno, kuwa miaka 60 ijayo, mungu akinijalia, niridhie bandiko hili.

Nasema haya kwa sababu
Kutoka kwenye mkataba huu, kwa maana ya kuuvunja, kutawalazimu wenye mamlaka madarakani kufanya maamuzi magumu. Haijalishi iwe ni CCM au chama chechote kile Maamuzi hayo hayatawafurahisha, wa magharibi na waarabu Na ndio itakuwa sababu ya vita hizo...Nchi mama wa Dunia.

nimenena leo hii ya tarehe 15mwezi wa 6 mwaka 2023AD
Naomba nikutoe hofu Mkuu. Ni kwamba hujaujua ukweli. Ukweli ndo utakuweka huru na kukuondolea hiyo hofu. Najaribu kukuelewa kwani mtu aking'atwa na nyoka kila akiona jani anashituka. Mfano wewe umeaminishwa bandari yote inachukuliwa na hujaambiwa ukweli kwamba ni sehemu ili alokuwa anaendesha TICTS. Umeona tatizo linapoanzia Mkuu?
 
Mkuu, kwa sasa Bandari ndo inachangia pakubwa kwenye pato la taifa yaani 35%-37% ambayo ni Trilioni 7 kwa Mwaka. DP World matarajio ni kwamba bandari itaweza kuingiza Trilioni 26 kwa Mwaka ndo maana nikasema 97%.

Kama Trilioni 7 ni 35%) Je, Trilioni 26 itakuwa ni asilimia ngapi? Nimepiga hesabu hivyo nikapata 97% Makadirio
Hivi unaelewa maana ya pato la taifa ambayo inamaanisha GNI(gross national income) mwaka uliopita ni usd 85,000,000,000 (source IMF), Shi trial 7 kimakadirio ni kama USD bil 3, ambayo ni sawa na 3.5%. Ndio maana nimekwambia ulichokiandika ni uongo.

Mzee tofautisha Kati ya National Income (pato la taifa) na Tax Revenues(makusanyo ya Kodi).

Turudi kwenye swali langu, hujanifafanulia kuhusu kifungu cha 23 ibara ya NNE kutoka kwenye hayo makubaliano
 
Wapewe na mageti ya Ikulu.
Sasa wewe unaanza kututoa kwenye reli tuache kujadili mambo ya kitaifa kama bandari eti tujadili Mageni ya Ikulu. Ila ndo IQ Mungu kakujalia. Ombi lako anzisha mjadala utapata mawazo.
 
Hivi unaelewa maana ya pato la taifa ambayo inamaanisha GNI(gross national income) mwaka uliopita ni usd 85,000,000,000 (source IMF), Shi trial 7 kimakadirio ni kama USD bil 3, ambayo ni sawa na 3.5%. Ndio maana nimekwambia ulichokiandika ni uongo.

Mzee tofautisha Kati ya National Income (pato la taifa) na Tax Revenues(makusanyo ya Kodi).

Turudi kwenye swali langu, hujanifafanulia kuhusu kifungu cha 23 ibara ya NNE kutoka kwenye hayo makubaliano
Sawa Mkuu. Mimi nilimanisha kile Bandari inaingiza kwenye kikapu cha Nchi. Mkuu naogopa kwenda kwenye vifungu sababu mimi sio Mwanasheria na sijui kutafsiri Sheria. Naomba ukiweke hapa then wanasheria watusaidie kukifananua. Kinasemaje hicho kifungu?
 
Mngewapa DP world waendeshe bunge sio bandari. Maana bungeni wamejaa vilaza wengi.
Mkuu unafurahishwa na utendaji kazi wa bandari? Mfano tangu Uhuru tuna Craine mbili tu. Kama Nchi tumeamua kutafuta Muwekezaji. Msaada wako ni kusaidia kutoa mawazo katika Vigezo na Masharti gani tumpe. Ndo mjadala uliopo mezani.
 
Hili suala linenda kuwa kama la feisali sàsa..
Umeona Mkuu. Watu washarishwa matango pori huko kwenye Magroup ya Whatsapp sasa kila mtu ni mchambuzi, Mchumi, mwanasheria, Muwekezaji. 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom