Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kuhusu ushuru wa magari utashuka au ndio yale yale ya kodi 110% ya bei ya kuagiza?
Ni zaidi ya Happ. Ndio maana imebidi nchi mbili ziingie makubaliano. Ingekuwa kuchukua nafasi wala wasingehitaji nchi mbili kukaa.Wanachukua nafasi ya ile kampuni ya Karamagi
Mkuu, kwa sasa Bandari ndo inachangia pakubwa kwenye pato la taifa yaani 35%-37% ambayo ni Trilioni 7 kwa Mwaka. DP World matarajio ni kwamba bandari itaweza kuingiza Trilioni 26 kwa Mwaka ndo maana nikasema 97%.Pato la taifa Kwa maana ni GDP(ama GNI),Kwa hizo takwimu ni uongo. Bandari pekee haiwezi changia kiwango hiko.
Mnaelezea faida ambazo ni matazamio Tu Ila mbona mnashindwa kueleza vipengele vyenye utata kwenye ule mkataba.
Tufafanulie na wengine tuelewa kifungu cha 23 ibara ya 4 kutoka kwenye huo mkataba.
Hii ngoma inafanya kila mmoja atoke pangoni kuja kutetea kwa kila namna!! Na ukishaona sintofahamu kama hii, jua tu kuna something wrong!!Salaam Wakuu,
Wote tunaijua Bandari ya Dar Es Salaam.
View attachment 2658109
Watu walidanganya eti kuanzia Geti namba moja hadi namba 8 anapewa DP World kumbe uongo. DP World anapewa kazi ya kupakia na kupakua Makasha kama ilivyokuwa kwa TICTS si kwamba anapewa bandari yote ya Dar, anapewa kijisehemu tu.
Kwahiyo TPA ataendelea na kazi ya kupakua Magari, Mafuta nk.
Pili DP World anakuja na Teknolojia ambayo itawezesha Mifumo ya TRA, TASAC, TPA isomane. Yaani mzigo wako ukifika unachukua hapo hapo hamna mambo Storage wala gharama zimezidi.
Hawa wanaopiga kelele ni watu waliokuwa wanategemea hela za storage hawa wenye bandari kavu. DP World yeye kwenye hatakuwa na mambo ya storage sababu hadi mzigo unafika unakuwa ushalipia kila kitu.
Nimefafanuliwa na Mwanasheria wa bandari baada ya kumtwanga swali.
Nimewapenda bure DP World.
Sasa hawa wanaopotosha wana dhamira gani?
Sema kuna wengine wanapinga sababu walishalishwa matango pori ukizingatia haya makubaliano ya awali yapo kwa lugha ya Kimombo.
Ukweli ni kwamba hadi sasa hakuna Mkataba umesainiwa wala hakina kitu kilicho chukuliwa. Hata huu Mkataba wa Mashirikiano ya Nchi kwa Nchi ambayo wanataka yawe na Ukomo nayo hayajatiwa saini.
Wanasiasa nao washapata sehemu ya kupepetea mdomo.
Natamani kuona Watanzania tukishikamana kwa manufaa ya Watoto wetu. Tuache kuishi kama zamani.
Sasa hivi TPA inapakua Kontena laki 6 kwa Mwaka. Ila DP World watapakua Makontena Mil 2 kwa Mwaka.
Sasa hivi baandali inachnagia pato la taifa kwa 35% lakini DP World wakianza Bandari ya taifa itachangia 97%
Hii itafanya Watanzania wapumue na mambo ya tozo. Nchi inatoza tozo hadi kwenye Miamala sababu hakuna vyanzo vya mapato vya kueleweka na Nchi lazima iendelee.
Ajabu ni kwamba Wanaoongoza kwa kuiponga DP World mitandaoni ni Wakenya sababu wanajua hii ni vita ya Kiuchumi. DP World wakianza bandari za Kenya hawana chao. Hata waliokuwa wanapinga bomba la Mafuta Mafuta Uganda kuja Tanzania ni Wakenya hadi wakaandamana Ulaya huko eti litaharibu Mazingira.
Watanzania tujitafakari na tujielewe.
Kila kitu kina mazuri na Mabaya, kwanini Wakenya wanaona Ubaya wa DP World tu?
Bila uzalendo tutaishia hapa hapa kulaumiana. Sasa hvi Mwarabu ndo mwenye hela ndo maana hata timu za Mpira za Uingereza anapewa Mwarabu. Hata Bandari zao wamempa Mwarabu lakini sisi wabongo Bandari tunataka eti tumpe Singa singa na Kanjibhai.
Tujaribu Waarabu japo miaka 5 tuone.
View attachment 2658110
Hata kwenye gesi mlisema hivyo kipindi Cha kikwete leo yako wapi? Mnaleta matazamio ya uongo wakati uhalisia bado.Mimi sio chawa na jitambua siwezi ni kapinga kitu cha kjleta manifa katika nchi ili kufurahisha wachache.
Kapewa Bandari ngapi Tanganyika? Kapewa Bandari ngapi Zanzibar? Mkataba ni wa miaka mingapi?Salaam Wakuu,
Wote tunaijua Bandari ya Dar Es Salaam.
View attachment 2658109
Watu walidanganya eti kuanzia Geti namba moja hadi namba 8 anapewa DP World kumbe uongo. DP World anapewa kazi ya kupakia na kupakua Makasha kama ilivyokuwa kwa TICTS si kwamba anapewa bandari yote ya Dar, anapewa kijisehemu tu.
Kwahiyo TPA ataendelea na kazi ya kupakua Magari, Mafuta nk.
Pili DP World anakuja na Teknolojia ambayo itawezesha Mifumo ya TRA, TASAC, TPA isomane. Yaani mzigo wako ukifika unachukua hapo hapo hamna mambo Storage wala gharama zimezidi.
Hawa wanaopiga kelele ni watu waliokuwa wanategemea hela za storage hawa wenye bandari kavu. DP World yeye kwenye hatakuwa na mambo ya storage sababu hadi mzigo unafika unakuwa ushalipia kila kitu.
Nimefafanuliwa na Mwanasheria wa bandari baada ya kumtwanga swali.
Nimewapenda bure DP World.
Sasa hawa wanaopotosha wana dhamira gani?
Sema kuna wengine wanapinga sababu walishalishwa matango pori ukizingatia haya makubaliano ya awali yapo kwa lugha ya Kimombo.
Ukweli ni kwamba hadi sasa hakuna Mkataba umesainiwa wala hakina kitu kilicho chukuliwa. Hata huu Mkataba wa Mashirikiano ya Nchi kwa Nchi ambayo wanataka yawe na Ukomo nayo hayajatiwa saini.
Wanasiasa nao washapata sehemu ya kupepetea mdomo.
Natamani kuona Watanzania tukishikamana kwa manufaa ya Watoto wetu. Tuache kuishi kama zamani.
Sasa hivi TPA inapakua Kontena laki 6 kwa Mwaka. Ila DP World watapakua Makontena Mil 2 kwa Mwaka.
Sasa hivi baandali inachnagia pato la taifa kwa 35% lakini DP World wakianza Bandari ya taifa itachangia 97%
Hii itafanya Watanzania wapumue na mambo ya tozo. Nchi inatoza tozo hadi kwenye Miamala sababu hakuna vyanzo vya mapato vya kueleweka na Nchi lazima iendelee.
Ajabu ni kwamba Wanaoongoza kwa kuiponga DP World mitandaoni ni Wakenya sababu wanajua hii ni vita ya Kiuchumi. DP World wakianza bandari za Kenya hawana chao. Hata waliokuwa wanapinga bomba la Mafuta Mafuta Uganda kuja Tanzania ni Wakenya hadi wakaandamana Ulaya huko eti litaharibu Mazingira.
Watanzania tujitafakari na tujielewe.
Kila kitu kina mazuri na Mabaya, kwanini Wakenya wanaona Ubaya wa DP World tu?
Bila uzalendo tutaishia hapa hapa kulaumiana. Sasa hvi Mwarabu ndo mwenye hela ndo maana hata timu za Mpira za Uingereza anapewa Mwarabu. Hata Bandari zao wamempa Mwarabu lakini sisi wabongo Bandari tunataka eti tumpe Singa singa na Kanjibhai.
Tujaribu Waarabu japo miaka 5 tuone.
View attachment 2658110
Mkuu, ni kweli swala ni la Muungano. Nami nakuuliza Swali: Mbona TICTS ilikuwa Bandari ya Dar Es Salaam lakini haikuwa Bandari ya Zanzibar wala Mtwara. Nahisi utakuwa nawe umepata taarifa za uongo kwamba DPW anapewa bandari yote. Yule anapewa eneo alipokuwa TICTS baada ya Mkataba wake kuisha.Swala la bandari ni la muungano sasa mbona Zanzibar haishiriki neema ya dp world
Hii iko pale pale mzeeVipi kuhusu ushuru wa magari utashuka au ndio yale yale ya kodi 110% ya bei ya kuagiza?
Mazuzu kama Msukuma, Lusinde n.k wanaotuuza kama kwa wageni kama mafungu ya nyanya ngongweHayo majengo yanazalisha nini?
Udini unakusumbuaMim niliyajua haya. Kwanin wakenya ndio wapinge.sisi tulikua twasubir gar imekuja mara ipo sijui icd gan mara icd gan usumbufu mtindo mmoja.mwisho bond.waje dp kwanza middle east huko ndio kuna mapesa kwa sasa,
Tanzania maboga mengi.. watu wanahadaika na Hoja zilizojaa siasa na kufungamana na manufaa ya chama. Hii ya DP inechambuliwa na watu kisiasa sana kuliko kiuchumi.. imetumika kikampeniSalaam Wakuu,
Wote tunaijua Bandari ya Dar Es Salaam.
View attachment 2658109
Watu walidanganya eti kuanzia Geti namba moja hadi namba 8 anapewa DP World kumbe uongo. DP World anapewa kazi ya kupakia na kupakua Makasha kama ilivyokuwa kwa TICTS si kwamba anapewa bandari yote ya Dar, anapewa kijisehemu tu.
Kwahiyo TPA ataendelea na kazi ya kupakua Magari, Mafuta nk.
Pili DP World anakuja na Teknolojia ambayo itawezesha Mifumo ya TRA, TASAC, TPA isomane. Yaani mzigo wako ukifika unachukua hapo hapo hamna mambo Storage wala gharama zimezidi.
Hawa wanaopiga kelele ni watu waliokuwa wanategemea hela za storage hawa wenye bandari kavu. DP World yeye kwenye hatakuwa na mambo ya storage sababu hadi mzigo unafika unakuwa ushalipia kila kitu.
Nimefafanuliwa na Mwanasheria wa bandari baada ya kumtwanga swali.
Nimewapenda bure DP World.
Sasa hawa wanaopotosha wana dhamira gani?
Sema kuna wengine wanapinga sababu walishalishwa matango pori ukizingatia haya makubaliano ya awali yapo kwa lugha ya Kimombo.
Ukweli ni kwamba hadi sasa hakuna Mkataba umesainiwa wala hakina kitu kilicho chukuliwa. Hata huu Mkataba wa Mashirikiano ya Nchi kwa Nchi ambayo wanataka yawe na Ukomo nayo hayajatiwa saini.
Wanasiasa nao washapata sehemu ya kupepetea mdomo.
Natamani kuona Watanzania tukishikamana kwa manufaa ya Watoto wetu. Tuache kuishi kama zamani.
Sasa hivi TPA inapakua Kontena laki 6 kwa Mwaka. Ila DP World watapakua Makontena Mil 2 kwa Mwaka.
Sasa hivi baandali inachnagia pato la taifa kwa 35% lakini DP World wakianza Bandari ya taifa itachangia 97%
Hii itafanya Watanzania wapumue na mambo ya tozo. Nchi inatoza tozo hadi kwenye Miamala sababu hakuna vyanzo vya mapato vya kueleweka na Nchi lazima iendelee.
Ajabu ni kwamba Wanaoongoza kwa kuiponga DP World mitandaoni ni Wakenya sababu wanajua hii ni vita ya Kiuchumi. DP World wakianza bandari za Kenya hawana chao. Hata waliokuwa wanapinga bomba la Mafuta Mafuta Uganda kuja Tanzania ni Wakenya hadi wakaandamana Ulaya huko eti litaharibu Mazingira.
Watanzania tujitafakari na tujielewe.
Kila kitu kina mazuri na Mabaya, kwanini Wakenya wanaona Ubaya wa DP World tu?
Bila uzalendo tutaishia hapa hapa kulaumiana. Sasa hvi Mwarabu ndo mwenye hela ndo maana hata timu za Mpira za Uingereza anapewa Mwarabu. Hata Bandari zao wamempa Mwarabu lakini sisi wabongo Bandari tunataka eti tumpe Singa singa na Kanjibhai.
Tujaribu Waarabu japo miaka 5 tuone.
View attachment 2658110
Nilidhani unakuja na kipengele kwenye mkataba kinachosema hawapewi bandali yote au zote.Salaam Wakuu,

Hata Mheshimiwa Mbowe wasaidizi wake walimdanganya sababu walikuwa hawajasoma waelewe wakakurupuka kumpa habari za Uongo. Pia kuna uzembe kwenye vyama vyetu vya Upinzani. Haya makubalinao ya DPW yapo tangu tarehe 25 Oct 2022, hawajajadili chochote wala haikuwa kificho. Baada ya kusikia yanapelekwa Bungeni yapitishwe kama azimio la Bunge ndo wakaanza kutia fitina na kuwapotosha Watanzania ili kutia preaha bunge lisipitishe. Lakini ukweli wlaikuwa na muda wa kutosha kufanya hivyo.Mimi sio chawa na jitambua siwezi ni kapinga kitu cha kjleta manifa katika nchi ili kufurahisha wachache.
Mkuu naomba unisaidie kujua nilipo potosha na unisaidie kunisahihisha ilinami niwe na huo uelewa ulionao. Wapi nimepotosha? Na usahihi ni upi?Mkuu mbona kama wewe ndiyo unatupotosha? Kila mwenye akili timamu anajua hicho unachokisema wala hakijaonekana hivyo kwenye mkataba.
Jipange unapopiga propaganda zako ziwe na uhusiano japo na ukweli.
Kwenye Magari Kuna kodi za kimafia hakuna mausiano na bandari hata ukipita boda utachajiwa kiasi hicho.Vipi kuhusu ushuru wa magari utashuka au ndio yale yale ya kodi 110% ya bei ya kuagiza?
Acha Kupotosha Poyoyo wewe.Mkuu, ni kweli swala ni la Muungano. Nami nakuuliza Swali: Mbona TICTS ilikuwa Bandari ya Dar Es Salaam lakini haikuwa Bandari ya Zanzibar wala Mtwara. Nahisi utakuwa nawe umepata taarifa za uongo kwamba DPW anapewa bandari yote. Yule anapewa eneo alipokuwa TICTS baada ya Mkataba wake kuisha.
Umeandika ujinga halafu unaita hoja ambayo unataka ijibiwe.Nadhani Uungwana ulitakiwa ulete hoja yako au useme wapi nimedanganya ndo unitukane ili kufurahisha nafsi yako. Mengine unajishushia heshima Mkongwe kama wewe kushindwa kujadiliana kwa hoja.