Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwarabu sawa na mswahili tu hawana uwezo wa kumanage miradi nyuma ya hayo makampuni yupo mtu wa magharibiWaarabu wa Dubai wanatisha.
Mama Samia hujakosea kabisa kuamuwa kuwaleta DP World Tanzania.
Tupo na wewe 100%.
Utafute wewe uulete, usipinge kishoga bila ushahidi. Upinge wewe ushahidi nikuwekee mimi?Huu ujinga wa waislam mkiona mwarabu mna m treat kama ndugu yenu sijui utaisha lini
mnamtetea mpaka basi
ungetuwekea mkataba wa huko nchi zenye akili tulinganishe na huu wa kwetu
Umelipwa sh ngapi?DP World wameunda biashara iliyounganishwa kwa ubora wa hali juu - bandari mbili za kina kirefu zenye vituo vya reli ya mizigo huko London Gateway na Southampton, kituo cha vifaa (logistics park) inayopanuka kwa kasi na biashara ya juu ya programu za software zinazotoa viunganisho vya mtandaoni kwa wateja na udhibiti wa usalama.
DP World wamewekeza kwenye miundombinu sahihi ya biashara na masuluhisho mahiri ya vifaa kwa wateja wao wsnaotumia bandari hizo. Kila mwaka, DP World kupitia bandari hizo wanasafirisha takriban kontena milioni 3.6 - bidhaa zenye thamani ya £43 bilioni katika kontena hizi husafirishwa kwenda na kutoka nchi zilizo nje ya EU.
DP World wanaamini katika soko la Uingereza wana matarajio na rasilimali za kutosha kuhimili na kuboresha ukuwaji, kusaidia biashara, kuunda nafasi za kazi na kuboresha viwango vya maisha. Utaalam wao wa biashara unaoongoza katika sekta ya bandari, unatambuliwa kwa kutoa ushauri wa kiufundi na wa kimkakati mara kwa mara kwa Serikali ya Uingereza.
View attachment 2664254
Chanzo: DP World in the UK
DP World wameunda biashara iliyounganishwa kwa ubora wa hali juu - bandari mbili za kina kirefu zenye vituo vya reli ya mizigo huko London Gateway na Southampton, kituo cha vifaa (logistics park) inayopanuka kwa kasi na biashara ya juu ya programu za software zinazotoa viunganisho vya mtandaoni kwa wateja na udhibiti wa usalama.
DP World wamewekeza kwenye miundombinu sahihi ya biashara na masuluhisho mahiri ya vifaa kwa wateja wao wsnaotumia bandari hizo. Kila mwaka, DP World kupitia bandari hizo wanasafirisha takriban kontena milioni 3.6 - bidhaa zenye thamani ya £43 bilioni katika kontena hizi husafirishwa kwenda na kutoka nchi zilizo nje ya EU.
DP World wanaamini katika soko la Uingereza wana matarajio na rasilimali za kutosha kuhimili na kuboresha ukuwaji, kusaidia biashara, kuunda nafasi za kazi na kuboresha viwango vya maisha. Utaalam wao wa biashara unaoongoza katika sekta ya bandari, unatambuliwa kwa kutoa ushauri wa kiufundi na wa kimkakati mara kwa mara kwa Serikali ya Uingereza.
View attachment 2664254
Chanzo: DP World in the UK
Tambuambua kua uingereza na Tanzania kiuchumi hatulingani, hata mkataba Kati ya uk na DP world hauwezi kua sawa na nchi maskin Kama Tanzania. Halafu hizi gati ambazo wanapewa zinapokea na kuingiza mizigo ipi kwa anaefahamu tafadhali.DP World wameunda biashara iliyounganishwa kwa ubora wa hali juu - bandari mbili za kina kirefu zenye vituo vya reli ya mizigo huko London Gateway na Southampton, kituo cha vifaa (logistics park) inayopanuka kwa kasi na biashara ya juu ya programu za software zinazotoa viunganisho vya mtandaoni kwa wateja na udhibiti wa usalama.
DP World wamewekeza kwenye miundombinu sahihi ya biashara na masuluhisho mahiri ya vifaa kwa wateja wao wsnaotumia bandari hizo. Kila mwaka, DP World kupitia bandari hizo wanasafirisha takriban kontena milioni 3.6 - bidhaa zenye thamani ya £43 bilioni katika kontena hizi husafirishwa kwenda na kutoka nchi zilizo nje ya EU.
DP World wanaamini katika soko la Uingereza wana matarajio na rasilimali za kutosha kuhimili na kuboresha ukuwaji, kusaidia biashara, kuunda nafasi za kazi na kuboresha viwango vya maisha. Utaalam wao wa biashara unaoongoza katika sekta ya bandari, unatambuliwa kwa kutoa ushauri wa kiufundi na wa kimkakati mara kwa mara kwa Serikali ya Uingereza.
View attachment 2664254
Chanzo: DP World in the UK
Unahangaika kujibishana na Hilo juza... Limekalia udini tuu halina lolote ... Uzuri watu sio mafala kama yeye ... Watu wanahangaika na vipengele vya mkataba lenyewe kazi kusifia kazi ya mwekezaji ... Hii nchi ina zero brain wengi sanaTupe mfano wa nchi masikini kama ya kwetu iliyopata faida na maendeleo kwa uwekezaji wa DP katika bandari zao.Huko Uingereza DP hajaenda kuongeza chochote zaidi ya pesa za gesi.
Lete mkataba wa DP world na Uingereza tulinganishe na TanganyikaDP World wameunda biashara iliyounganishwa kwa ubora wa hali juu - bandari mbili za kina kirefu zenye vituo vya reli ya mizigo huko London Gateway na Southampton, kituo cha vifaa (logistics park) inayopanuka kwa kasi na biashara ya juu ya programu za software zinazotoa viunganisho vya mtandaoni kwa wateja na udhibiti wa usalama.
DP World wamewekeza kwenye miundombinu sahihi ya biashara na masuluhisho mahiri ya vifaa kwa wateja wao wsnaotumia bandari hizo. Kila mwaka, DP World kupitia bandari hizo wanasafirisha takriban kontena milioni 3.6 - bidhaa zenye thamani ya £43 bilioni katika kontena hizi husafirishwa kwenda na kutoka nchi zilizo nje ya EU.
DP World wanaamini katika soko la Uingereza wana matarajio na rasilimali za kutosha kuhimili na kuboresha ukuwaji, kusaidia biashara, kuunda nafasi za kazi na kuboresha viwango vya maisha. Utaalam wao wa biashara unaoongoza katika sekta ya bandari, unatambuliwa kwa kutoa ushauri wa kiufundi na wa kimkakati mara kwa mara kwa Serikali ya Uingereza.
View attachment 2664254
Chanzo: DP World in the UK
Una hisa gani na dp?badla ya kuangalia mapagufu ya mkataba ww umekomalia dp.sisi hatuna shda na dp bali tuna shda na AINA YA mkataba wa dp na bandar
Upo huru na mawazo yako mfu. Mtembelee Bakhresa ukamsalimie. Yupo hapa hapa Tanzania. Mtembelee mzee Nahdi wa Oilcom, yupo hapa hapa kwenu.Mwarabu sawa na mswahili tu hawana uwezo wa kumanage miradi nyuma ya hayo makampuni yupo mtu wa magharibi
Udanganyifu ambao unafanywa na serikali ya kifisadi ya Tanzania kuwahadaa watanganyika, ni kuficha kwamba DP World kule nchini Uingereza wamepewa sehemu moja tu ya bandari (LONDON GATEWAY) katika mfumo wa bandari zote za nchini Uingereza uitwao THE PORT OF LONDON. Kumbuka, mwarabu amapewa bandari moja tu.Lete mkataba wa DP world na Uingereza tulinganishe na Tanganyika
Mkataba huu hapa👇🏾 tuoneshe ubovu wake 👇🏾Hatuna shaka na huduma zao, Tatizo ni kwamba sisi wametupa mkataba wa kichief Mamungo wapewe bandari Milele..
Mkataba ubadilishwe wawe wanapewa kwa miaka mitano mitano,
Hakuna bandari yoyote wliyiyoewa. Tuoneshe. Huo mkataba wako wa bandari waliyopewa.Udanganyifu ambao unafanywa na serikali ya kifisadi ni kwamba DP World kule nchini Uingereza wamepewa sehemu moja tu ya bandari (LONDON GATEWAY) katika mfumo wa bandari zote za nchini Uingereza uitwao THE PORT OF LONDON. Kumbuka, mwarabu amapewa bandari moja tu.
Bandari nyingine zote za nchini Uingereza ziko chini ya mamlaka ya bandari ya nchi hiyo iitwayo THE PORT OF LONDON AUTHORITY. Sasa, ufisadi ambao unahubiriwa huku Tanzania ni kuuza bandari zetu zote kuanzia Dar es salaam hadi Mtwara kwa DP World pamoja na kuwapa maeneo ya biashara (Special Economic Zones).
Isitoshe wamepewa hadi bandari za ndani ya nchi kwenye maziwa yote. Lakini baya zaidi ni kwamba hata mbinu za usafirishaji kama reli ile ya SGR imeguswa na huu mkataba japo wengi hawafahamu. Kiufupi ni ufisadi mtupu, jambo ambalo sikutegemea kuliona kwa Raisi ambaye anasema yeye ni mtu wa dini.
IBARA YA 23Mkataba huu hapa👇🏾 tuoneshe ubovu wake 👇🏾
DP WORLD: Mkataba unaoongelewa sana huu hapa (Kiswahili)
MAKUBALIANO YA KISERIKALI KATI YA: ΤHΕ UNITED REPUBLIC 0F TANZANIA AND THE EMIRATE 0F DUBAI UTANGULIZI JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, iliyowakilishwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi ("Tanzania") na EMIRATE OF DUBAI, iliyowakilishwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Bandari, Forodha na...
www.jamiiforums.com![]()
Huna hoja uislam na waarabu vinahusikaje hapoHuu ujinga wa waislam mkiona mwarabu mna m treat kama ndugu yenu sijui utaisha lini
mnamtetea mpaka basi
ungetuwekea mkataba wa huko nchi zenye akili tulinganishe na huu wa kwetu
Tena unenikumbusha nianze kununua hisa za DP World Dubai. Zipo sokoni, niwahi kabla hazijapanda bei👇🏾Una hisa gani na dp?badla ya kuangalia mapagufu ya mkataba ww umekomalia dp.sisi hatuna shda na dp bali tuna shda na AINA YA mkataba wa dp na bandar yetu
Acha uongo kuna makampuni mbalimbali yanaendesha bandari za uingereza kama APM,CMACGM,MSC NA WENGINEOUdanganyifu ambao unafanywa na serikali ya kifisadi ni kwamba DP World kule nchini Uingereza wamepewa sehemu moja tu ya bandari (LONDON GATEWAY) katika mfumo wa bandari zote za nchini Uingereza uitwao THE PORT OF LONDON. Kumbuka, mwarabu amapewa bandari moja tu.
Bandari nyingine zote za nchini Uingereza ziko chini ya mamlaka ya bandari ya nchi hiyo iitwayo THE PORT OF LONDON AUTHORITY. Sasa, ufisadi ambao unahubiriwa huku Tanzania ni kuuza bandari zetu zote kuanzia Dar es salaam hadi Mtwara kwa DP World pamoja na kuwapa maeneo ya biashara (Special Economic Zones).
Isitoshe wamepewa hadi bandari za ndani ya nchi kwenye maziwa yote. Lakini baya zaidi ni kwamba hata mbinu za usafirishaji kama reli ile ya SGR imeguswa na huu mkataba japo wengi hawafahamu. Kiufupi ni ufisadi mtupu, jambo ambalo sikutegemea kuliona kwa Raisi ambaye anasema yeye ni mtu wa dini.
Huna lolote wala chochote zaidi ya hivyo vipesa vya mitala!Tena unenijunbusha nianze kununua hisa za DP World Dubai. Zipo sokoni, niwahi kabla hazijapanda bei👇🏾
![]()
DP World Ltd Stock Price Today | DFM DPW Live Ticker - Investing.com
View today's DP World Ltd stock price and latest DPW news and analysis. Create real-time notifications to follow any changes in the live stock price.www.investing.com
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.