DP World inatisha 2: Tazama bandari inazozihudumia Uingereza

Uingereza Kwa sasa ni kama sisi, hawana akili kabisa, ndio maana wanaoongozwa na mgeni!
 
Huu ujinga wa waislam mkiona mwarabu mna m treat kama ndugu yenu sijui utaisha lini
mnamtetea mpaka basi
ungetuwekea mkataba wa huko nchi zenye akili tulinganishe na huu wa kwetu
Utafute wewe uulete, usipinge kishoga bila ushahidi. Upinge wewe ushahidi nikuwekee mimi?

Kinachowauma ni huo Uislam, mnauogopa Uuslam kijinga tu, hamsemi neno lazima muingize Waislam na Uislam.

Waislam wamekukosea nini? Au kwa kuwa tunaupinga ushoga wenu?

Punguani wahed.


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Umelipwa sh ngapi?
 
Usishangae miundombinu, hiyo ni kawaida
Shangaa mkataba tuliopewa
 
Tambuambua kua uingereza na Tanzania kiuchumi hatulingani, hata mkataba Kati ya uk na DP world hauwezi kua sawa na nchi maskin Kama Tanzania. Halafu hizi gati ambazo wanapewa zinapokea na kuingiza mizigo ipi kwa anaefahamu tafadhali.
 
Tupe mfano wa nchi masikini kama ya kwetu iliyopata faida na maendeleo kwa uwekezaji wa DP katika bandari zao.Huko Uingereza DP hajaenda kuongeza chochote zaidi ya pesa za gesi.
Unahangaika kujibishana na Hilo juza... Limekalia udini tuu halina lolote ... Uzuri watu sio mafala kama yeye ... Watu wanahangaika na vipengele vya mkataba lenyewe kazi kusifia kazi ya mwekezaji ... Hii nchi ina zero brain wengi sana
 
Lete mkataba wa DP world na Uingereza tulinganishe na Tanganyika
 
Mwarabu sawa na mswahili tu hawana uwezo wa kumanage miradi nyuma ya hayo makampuni yupo mtu wa magharibi
Upo huru na mawazo yako mfu. Mtembelee Bakhresa ukamsalimie. Yupo hapa hapa Tanzania. Mtembelee mzee Nahdi wa Oilcom, yupo hapa hapa kwenu.

CEO wa DP World anaitwa Sultan Ahmed bin Sulayem, mzungu wa kwenu huyu👇🏾
 
Lete mkataba wa DP world na Uingereza tulinganishe na Tanganyika
Udanganyifu ambao unafanywa na serikali ya kifisadi ya Tanzania kuwahadaa watanganyika, ni kuficha kwamba DP World kule nchini Uingereza wamepewa sehemu moja tu ya bandari (LONDON GATEWAY) katika mfumo wa bandari zote za nchini Uingereza uitwao THE PORT OF LONDON. Kumbuka, mwarabu amapewa bandari moja tu.

Bandari nyingine zote za nchini Uingereza ziko chini ya mamlaka ya bandari ya nchi hiyo iitwayo THE PORT OF LONDON AUTHORITY. Sasa, ufisadi ambao unahubiriwa huku Tanzania ni kuuza bandari zetu zote kuanzia Dar es salaam hadi Mtwara kwa DP World pamoja na kuwapa maeneo ya biashara (Special Economic Zones).

Isitoshe wamepewa hadi bandari za ndani ya nchi kwenye maziwa yote. Lakini baya zaidi ni kwamba hata mbinu za usafirishaji kama reli ile ya SGR imeguswa na huu mkataba japo wengi hawafahamu. Kiufupi ni ufisadi mtupu, jambo ambalo sikutegemea kuliona kwa Raisi ambaye anasema yeye ni mtu wa dini.
 
Hatuna shaka na huduma zao, Tatizo ni kwamba sisi wametupa mkataba wa kichief Mamungo wapewe bandari Milele..

Mkataba ubadilishwe wawe wanapewa kwa miaka mitano mitano,
Mkataba huu hapa👇🏾 tuoneshe ubovu wake 👇🏾

DP WORLD: Mkataba unaoongelewa sana huu hapa (Kiswahili)

MAKUBALIANO YA KISERIKALI KATI YA: ΤHΕ UNITED REPUBLIC 0F TANZANIA AND THE EMIRATE 0F DUBAI UTANGULIZI JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, iliyowakilishwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi ("Tanzania") na EMIRATE OF DUBAI, iliyowakilishwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Bandari, Forodha na...
www.jamiiforums.com
 
Hakuna bandari yoyote wliyiyoewa. Tuoneshe. Huo mkataba wako wa bandari waliyopewa.

Mkstaba uliopo ni wa ushirokianonwa msendeleo ya bandari siyibwa yendeshaji bandari.

Jinsi unavyochangia mada, sina uhakika kama unaielewa tofauti IGA na HGA. Pole sana.

Elimu elimu elimu - kwa sauti ya Lowasa.


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
IBARA YA 23
MUDA NA KUKOMESHA

Kusitishwa kwa Mkataba huu kutakuwa chini ya idhini ya awali ya Nchi Wanachama, idhini hiyo haipaswi kuzuiliwa bila sababu.



Ni kwamba huo mkataba unavunjika tu endapo Serikali ya Tanzania na UAE kwa pamoja wakiridhia, Serikali ya Tanzania pekee haiwezi kuuvunja, Utawahonga kipi waarabu wakubali kwa hiari kuacha kusimamia bandari ?
 
Huu ujinga wa waislam mkiona mwarabu mna m treat kama ndugu yenu sijui utaisha lini
mnamtetea mpaka basi
ungetuwekea mkataba wa huko nchi zenye akili tulinganishe na huu wa kwetu
Huna hoja uislam na waarabu vinahusikaje hapo
 
Una hisa gani na dp?badla ya kuangalia mapagufu ya mkataba ww umekomalia dp.sisi hatuna shda na dp bali tuna shda na AINA YA mkataba wa dp na bandar yetu
Tena unenikumbusha nianze kununua hisa za DP World Dubai. Zipo sokoni, niwahi kabla hazijapanda bei👇🏾



Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Acha uongo kuna makampuni mbalimbali yanaendesha bandari za uingereza kama APM,CMACGM,MSC NA WENGINEO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…