DP World inatisha. Musukuma alisema kweli

Umeshavimbiwa tayari.
 
Tunataka mkataba uweke bayana ni wa muda gani, pia tuwe huru kujitoa mwekezaji akizungua. Lastly, bandari husika iwe ni ya dar peke yake.
 
Hili pekee halitoshi kuwa kigezo cha ushawishi kumbuka teknolojia inanunuliwa ni suala la pesa tu
 
Mwarabu anahistoria mbaya na Tanzania hata sehemu alizopita zamani zimedumaa sijui Kuna uhusiano gani
 
Pole sana, kwenye hesabu za kibiashara kuna kitu kinaitwa "projection" au "forecasting".

Tumia Google ikuelekeze ni nini hivyo.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Asante sana, kwa ufafanuzi kuntu. Forecasting nadhani haitoki hewani, Ina kuwa based on existing situation/data na hizo data ni za variables tofauti kulingana na lengo la Projection/forecasting.

Kwa msingi ule ule wa kuwaelimisha watanzania ili watetee kwa nguvu zote uwamuzi wa serikali Yao, naomba utuwekee hapa namna hizo forecasting za kupata 60% zilivyofanywa.

Natanguliza Shukrani
 
Sasa hivi bandari zetu zinachangia 30%ya bajeti yetu, kwa haraka bansqri ya Dar ndiyo inachabgia 90% ya hizo. Inategemewa kyibgeza kioato zaidi ya 100% baada ya mwaka mmoja tu wa mwanzo.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Sasa hivi bandari zetu zinachangia 30%ya bajeti yetu, kwa haraka bansqri ya Dar ndiyo inachabgia 90% ya hizo. Inategemewa kyibgeza kioato zaidi ya 100% baada ya mwaka mmoja tu wa mwanzo.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Usiku Mwema

Kazi Iendelee!
 
Your browser is not able to display this video.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Mwarabu anahistoria mbaya na Tanzania hata sehemu alizopita zamani zimedumaa sijui Kuna uhusiano gani
Siyo kweli.

Unaijuwa Dar es Salaam?

Isome historia yake. Au nikuwekee link?

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Hili pekee halitoshi kuwa kigezo cha ushawishi kumbuka teknolojia inanunuliwa ni suala la pesa tu
Tulikuwa wapii miaka yote hatukuinunuwa?

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Tunataka mkataba uweke bayana ni wa muda gani, pia tuwe huru kujitoa mwekezaji akizungua. Lastly, bandari husika iwe ni ya dar peke yake.
Hayo yote mbona ni ya lazima na Waziri Mbarawa kishayatolea ufafanuzi.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Umeshavimbiwa tayari.
AlhamduliLlah, nafata adabu (etiquettes) za kula za Kiislam, hakuna kuvimbiwa ukizifata.

Uislam ni mwema sana, haujaacha kitu katika maisha ya kila siku ya mwanadam.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Si muuze Bandari ya Zanzibar then muifanyie promo namna hii? Mbona hii kitu ingekuwa rahisi sana mngeifanyia huko Unguja?! Why all these to Mainland?
 
Si muuze Bandari ya Zanzibar then muifanyie promo namna hii? Mbona hii kitu ingekuwa rahisi sana mngeifanyia huko Unguja?! Why all these to Mainland?
Hakuna bandari itayouzwa Tanzania hii.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Kumtambua mwenye akili kisoda si kazi ki vile, yaani ye anafurahia kushushwa makontena kwa ktumia vidole haangalii ye atanufaikaje na hiyo system ya kutumia vidole kushusha hizo kontena

Kwani madini yanachimbwa kwa sururu? We kama mtanzania unapata faida gani kwa huo uchimbaji wa kutumia ma mitambo heav?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…