FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Utakuwa umeamua mwenyewe. Tatizo nini?Vipi ikiwa utasitisha Mkataba TPA na kisha Usiajiriwe DP World?
TPA wengine wana kesi za kujibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa umeamua mwenyewe. Tatizo nini?Vipi ikiwa utasitisha Mkataba TPA na kisha Usiajiriwe DP World?
Mleta mada ana upoyoyo fulani hivi.Mkuu mbona tangazo lipo wazi au mimi ndio sielewi? Huwezi kuwa mtumishi wa serikali halafu hapo hapo ukawa mtumishi wa DPW. Mumishi anachagua abaki TOA au aende DPW na huo ndio utaratibu na hao watumishi wamepewa elimu na muda wa kuchakata suala hili tangu mapema sana.
Kwa ninachofahu na nilichoelewa ni kuwa Ukiamua kwenda DPW utapewa terminal benefits zote kisha unaajiririwa DPW ambapo huko ni private sector na tunajua huko hakuna mbambamba ni kazi kwa kwenda mbele tofauti na serikalini ambako hata uharibu vipi basi unaangaliwa au watakuhamisha kitengo. Lakini private sector huwa wapo strictly.
Sasa hapo ni uamuzi na uchaguzi wa mwajiriwa mwenyewe abaki au aende lakini hakuna aliyetimuliwa wala kulazimishwa kuchagua atakacho
Una-maanisha nini kwa "kuguswa"?Si tuliambiwa hawataguswa kabisa?
Mtego upo kichwani mwako tu.Hapo ndo penye mtego
Watanzania sasa hivi kila fani professional mtu atafute International certification iwe ualimu nk tuache uswahili dunia kijiji sasa hivi mwekezaji akija au kijana akitafuta ajira kimataifa vizuri ajitahidi kwenye fani yake apate International certification kuuzika kiajira kimataifa tuache utotoKwahyo hakutakuwa na wajiriwa wapya??
Aisee nimekuelewa sana sana na umenitolea mifanoWanakuwepo critical areas
Ujue wawekezaji wakija huja na teknolojia mpya ambazo huhitaji wanaozijua na serikali haiwezi kubali waje nao wakati watanzania wapo wanaozijua wakati TPA ilikuwa ikiendeshwa teknolojia za zamani hawakuhitaji vijana wajua teknolojia mpya
Aliyesoma mfano computer technology miaka ya 1980 huwezi linganisha na aliyesoma computer technology na kumaliza digrii mwaka jana Wa mwaka jana yuko more current na yuko advanced kuliko obsolete technology ya TPA iliyopo hivyo wataajiri vijana wapya
Pili wa marketing wengi wa TPA mfano wamesoma kingereza tu na digrii za kingereza tu hawana third language kama kifaransa .Soko la TPA liko hadi Central Africa nchi ya kongo ambako lugha kuu kifaransa
Definitely wataajiri watanzania vijana wapya marketing officers wenye digrii za marketing lakini wanajua kifaransa kwa ajili ya kuwa marketing officers wao soko la Kongo tofauti na TPA ambayo ilikuwa haijali hilo kuwa na maafisa masoko wajua kifaransa ambako kuna wateja wengi mizigo ipitayo bandarini
Wapya wataajiriwa wala sio siri.Kuna maeneo wafanyakazi wa TPA waliopo hawawezi enea hata wajitutumue vipi
Degree zao na uzoefu wao haywezi fit kwenye teknolojia za kisasa na utendaji wa kibiashara za kimataifa wa kisasa uletwao na DP World
Mfano Dp world ni kampuni ya kimataifa Auditor na wahasibu wakuu lazima wawe na certification za kimataifa ili wakusaini document wanahisa wa DP World wawe na confidence ya kuanzia mhasibu mkuu au mkrugenzi wa fedha sio awe na Sifa za CPA ya Tanzania awe mhasibu au Auditor wanatakiwa wenye certification za kimataifa kama ACCA nk sio CPA (T) International shareholders wa kampuni yeyote ya kimataifa huhitaji wenye certification za kimataifa.Na wapo na serikali haiwezi kubali waajiri wa nje wakati Tanzania wapo.TPA ilikuwa haiwahitaji hao wenye certification za kimataifa .Hiivyo ajira mpya zitakuwepo
Watanzania wenye sifa za kimataifa ajira zitakuwepo nyingi vitengo vyote iwe IT ,uhasibu,masoko,procurements,Engineering,Port operations etc wataajiri tu hawana ujanja
Mbona kwenye hiyo barua ukitaka unaenda dp world au unabaki, sijaona ubaya
Muda wa joni kujiita dula sasa 😄Huendi tu kienyeji bali Unaomba kazi upya Dp world.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakati akina Lissu wakisema mlikua busy na akina Pacome.
a.k.a Mzee wa minyama😂😂😂 Mshambuliaji namba 9