DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

Wasaliti gani? Wamefisadi nini?
Wamegawa shamba la urithi Kwa Jirani Ili awe anatugawia Mahindi kidogo akivuna.

Akili mtu huzaliwa nazo, ELIMU huja kuongezea maarifa AKILI ya Kuzaliwa.

Mtu akikosa AKILI, Elimu itamfaa nini ndugu Denim?
 
Kwa hiyo unakubali kuwa hamna hoja?
Akili zako hazina tofauti na wale walioambiwa nusu yenu ni wajinga wakamlazimisha mtoa kauli kufuta kauli kwa kuwaambia nusu yenu sio wajinga wakashangilia kweli kwamba kauli imefutwa.
 
Umeambiwa IGA haijatoa mradi wowote kwa mwekezaji, Miradi ya uwekezaji itaingiwa makubaliano kwenye Host Government Agreements ambapo muda wa ukomo utelezwa huko kwa kila mradi na eneo la uwekezaji?

Shida yako nini?
 
Akili zako hazina tofauti na wale walioambiwa nusu yenu ni wajinga wakamlazimisha mtoa kauli kufuta kauli kwa kuwaambia nusu yenu sio wajinga wakashangilia kweli kwamba kauli imefutwa.
Hayo maneno yako
 
Wewe kweli boksi, kwa hiyo unafikri hao Waarabu ni wajinga wangeweka wazi hivyo kipengele kwamba Tanzania inatoa bandari zote kwa DP World ili hata wakina Babu Tale, Kibajaji na Musukuma wang'amue?!
Boya Kweli wewe
 
Umeambiwa IGA haijatoa mradi wowote kwa mwekezaji, Miradi ya uwekezaji itaingiwa makubaliano kwenye Host Government Agreements ambapo muda wa ukomo utelezwa huko kwa kila mradi na eneo la uwekezaji?

Shida yako nini?
Swali langu huna jibu. Unafuata mkumbo tu kama kondoo kipofu.
 
Njoo hapa luhwiko kambini nikwambie kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watakuja na hoja ya maye le kuuzwa
 
Nimeshapata mganga nguli, Sasa Kila aliyehusika kuuza bandari, ataanza kuanguka mmoja mmoja, Kisha watafuata watetezi wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…