johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwahiyo hicho ndio Kifungu alichotumia kwa mujibu wa sheria na torati kumsaliti Masihi wa Mungu?Soma Mathayo 26: 14- 27
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo hicho ndio Kifungu alichotumia kwa mujibu wa sheria na torati kumsaliti Masihi wa Mungu?Soma Mathayo 26: 14- 27
Wamegawa shamba la urithi Kwa Jirani Ili awe anatugawia Mahindi kidogo akivuna.Wasaliti gani? Wamefisadi nini?
Hicho ndicho kifungu kinachoelezea namna Yuda alivyomsaliti mwokozi wetuKwahiyo hicho ndio Kifungu alichotumia kwa mujibu wa sheria na torati kumsaliti Masihi wa Mungu?
Inasemaje? Weka hapaArticle 4 (2) ya mkataba
Akili zako hazina tofauti na wale walioambiwa nusu yenu ni wajinga wakamlazimisha mtoa kauli kufuta kauli kwa kuwaambia nusu yenu sio wajinga wakashangilia kweli kwamba kauli imefutwa.Kwa hiyo unakubali kuwa hamna hoja?
Umeambiwa IGA haijatoa mradi wowote kwa mwekezaji, Miradi ya uwekezaji itaingiwa makubaliano kwenye Host Government Agreements ambapo muda wa ukomo utelezwa huko kwa kila mradi na eneo la uwekezaji?Wewe ujuae tuambie. DP World wamepewa mkataba wa muda gani?
Usilete ngonjera za Mikataba gani, toa jibu direct.
Lumumba imekosa vijana jeuri wanaojenga hoja. Badala yake wamebaki viroja wa kuchamba.
Kwenye maelezo yako hayo yasiyo na mantiki ungesema 'Walisema Mkataba ni wa Milele, lakini kifungu fulani kinaeleza bayana kuwa mkataba ni wa Miaka kadhaa.
Acha kutetea upuuzi usioufahamu.
Hayo maneno yakoAkili zako hazina tofauti na wale walioambiwa nusu yenu ni wajinga wakamlazimisha mtoa kauli kufuta kauli kwa kuwaambia nusu yenu sio wajinga wakashangilia kweli kwamba kauli imefutwa.
Boya Kweli weweWewe kweli boksi, kwa hiyo unafikri hao Waarabu ni wajinga wangeweka wazi hivyo kipengele kwamba Tanzania inatoa bandari zote kwa DP World ili hata wakina Babu Tale, Kibajaji na Musukuma wang'amue?!
Swali langu huna jibu. Unafuata mkumbo tu kama kondoo kipofu.Umeambiwa IGA haijatoa mradi wowote kwa mwekezaji, Miradi ya uwekezaji itaingiwa makubaliano kwenye Host Government Agreements ambapo muda wa ukomo utelezwa huko kwa kila mradi na eneo la uwekezaji?
Shida yako nini?
Sijajibu nini?Swali langu huna jibu. Unafuata mkumbo tu kama kondoo kipofu.
Njoo hapa luhwiko kambini nikwambie kitu.Walianza na kusema Bandari zote zimeuzwa. Tukawauliza kwa mujibu wa kipengele kipi cha mkataba ? Wameshindwa kutuonesha hicho kipengele
Wakaja na Mwarabu kapewa Bandari zote bure kabisa. Tukawauliza kupengele kipi cha mkataba kimesema hayo wameshindwa kutuonesha hicho kipengele
Wakasema mwarabu kapewa bandari zote milele bila ukomo. Tukawauliza kipengele kipi cha mkataba kinasema mwarabu kapewa Bandari zote bila ukomo wakashindwa kutuonesha
Sasa wamekuja na santuli mpya kuwa Mwanasheria Mkuu yuko kimya hasemi chochote kuhusu mkataba! Tunawasubiria santuli hii ikiisha watakuja na maneno gani kesho
Poleni sana pingapinga fc!!
Lord Denning
Songea, Tanzania
Mida mida bwashee
Toa location nikufuate unaweza ukawa huna nauli ya bajaji.Mida mida bwashee
Location ili iweje?
Acheni maramoja kuihujumu nchi yetuLocation ili iweje?
Tushangilie ushindi wa kupata wawekezaji katika bandari za Tanganyika.Location ili iweje?
Nchi inahujumiwaje?
Watakuja na hoja ya maye le kuuzwaWalianza na kusema Bandari zote zimeuzwa. Tukawauliza kwa mujibu wa kipengele kipi cha mkataba ? Wameshindwa kutuonesha hicho kipengele
Wakaja na Mwarabu kapewa Bandari zote bure kabisa. Tukawauliza kupengele kipi cha mkataba kimesema hayo wameshindwa kutuonesha hicho kipengele
Wakasema mwarabu kapewa bandari zote milele bila ukomo. Tukawauliza kipengele kipi cha mkataba kinasema mwarabu kapewa Bandari zote bila ukomo wakashindwa kutuonesha
Sasa wamekuja na santuli mpya kuwa Mwanasheria Mkuu yuko kimya hasemi chochote kuhusu mkataba! Tunawasubiria santuli hii ikiisha watakuja na maneno gani kesho
Poleni sana pingapinga fc!!
Lord Denning
Songea, Tanzania