DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

Wasaliti gani? Wamefisadi nini?
Wamegawa shamba la urithi Kwa Jirani Ili awe anatugawia Mahindi kidogo akivuna.

Akili mtu huzaliwa nazo, ELIMU huja kuongezea maarifa AKILI ya Kuzaliwa.

Mtu akikosa AKILI, Elimu itamfaa nini ndugu Denim?
 
Kwa hiyo unakubali kuwa hamna hoja?
Akili zako hazina tofauti na wale walioambiwa nusu yenu ni wajinga wakamlazimisha mtoa kauli kufuta kauli kwa kuwaambia nusu yenu sio wajinga wakashangilia kweli kwamba kauli imefutwa.
 
Wewe ujuae tuambie. DP World wamepewa mkataba wa muda gani?

Usilete ngonjera za Mikataba gani, toa jibu direct.

Lumumba imekosa vijana jeuri wanaojenga hoja. Badala yake wamebaki viroja wa kuchamba.

Kwenye maelezo yako hayo yasiyo na mantiki ungesema 'Walisema Mkataba ni wa Milele, lakini kifungu fulani kinaeleza bayana kuwa mkataba ni wa Miaka kadhaa.

Acha kutetea upuuzi usioufahamu.
Umeambiwa IGA haijatoa mradi wowote kwa mwekezaji, Miradi ya uwekezaji itaingiwa makubaliano kwenye Host Government Agreements ambapo muda wa ukomo utelezwa huko kwa kila mradi na eneo la uwekezaji?

Shida yako nini?
 
Akili zako hazina tofauti na wale walioambiwa nusu yenu ni wajinga wakamlazimisha mtoa kauli kufuta kauli kwa kuwaambia nusu yenu sio wajinga wakashangilia kweli kwamba kauli imefutwa.
Hayo maneno yako
 
Wewe kweli boksi, kwa hiyo unafikri hao Waarabu ni wajinga wangeweka wazi hivyo kipengele kwamba Tanzania inatoa bandari zote kwa DP World ili hata wakina Babu Tale, Kibajaji na Musukuma wang'amue?!
Boya Kweli wewe
 
Umeambiwa IGA haijatoa mradi wowote kwa mwekezaji, Miradi ya uwekezaji itaingiwa makubaliano kwenye Host Government Agreements ambapo muda wa ukomo utelezwa huko kwa kila mradi na eneo la uwekezaji?

Shida yako nini?
Swali langu huna jibu. Unafuata mkumbo tu kama kondoo kipofu.
 
Walianza na kusema Bandari zote zimeuzwa. Tukawauliza kwa mujibu wa kipengele kipi cha mkataba ? Wameshindwa kutuonesha hicho kipengele

Wakaja na Mwarabu kapewa Bandari zote bure kabisa. Tukawauliza kupengele kipi cha mkataba kimesema hayo wameshindwa kutuonesha hicho kipengele

Wakasema mwarabu kapewa bandari zote milele bila ukomo. Tukawauliza kipengele kipi cha mkataba kinasema mwarabu kapewa Bandari zote bila ukomo wakashindwa kutuonesha

Sasa wamekuja na santuli mpya kuwa Mwanasheria Mkuu yuko kimya hasemi chochote kuhusu mkataba! Tunawasubiria santuli hii ikiisha watakuja na maneno gani kesho

Poleni sana pingapinga fc!!

Lord Denning
Songea, Tanzania
Njoo hapa luhwiko kambini nikwambie kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walianza na kusema Bandari zote zimeuzwa. Tukawauliza kwa mujibu wa kipengele kipi cha mkataba ? Wameshindwa kutuonesha hicho kipengele

Wakaja na Mwarabu kapewa Bandari zote bure kabisa. Tukawauliza kupengele kipi cha mkataba kimesema hayo wameshindwa kutuonesha hicho kipengele

Wakasema mwarabu kapewa bandari zote milele bila ukomo. Tukawauliza kipengele kipi cha mkataba kinasema mwarabu kapewa Bandari zote bila ukomo wakashindwa kutuonesha

Sasa wamekuja na santuli mpya kuwa Mwanasheria Mkuu yuko kimya hasemi chochote kuhusu mkataba! Tunawasubiria santuli hii ikiisha watakuja na maneno gani kesho

Poleni sana pingapinga fc!!

Lord Denning
Songea, Tanzania
Watakuja na hoja ya maye le kuuzwa
 
Nimeshapata mganga nguli, Sasa Kila aliyehusika kuuza bandari, ataanza kuanguka mmoja mmoja, Kisha watafuata watetezi wao
 
Back
Top Bottom