Bandari siyo jambo la Muungano
Soma ibara ya 23, ambapo nchi mwanachama haruhusiwi kuvunja mkataba Kwasababu yoyote Ile, hata kama sababu hiyo inahatarisha usalama wa nchi, kuharibu miundo mbinu( yaani mtu anaharibu miundo mbinu na taarifa za intelijensia unazo. Halafu unamwangalia tu), au wanaonesha kufanya kazi tofauti na Ile mliokubaliana( Mfano: vitendo vinavyoashiria ugaidi. Unatakiwa usichukue hatua yoyote dhidi ya DP WORLD). Sasa mambo ya usalama yanahitaji action on the spot.Kwa sababu nguvu kubwa imetumika kuuponda huu mkataba wa maendeleo, sasa tuwache porojo, mkataba ndiyo huu, mseme tatizo nini.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Kwa nini mkataba unajumisha corridors za usafirishaji katika sehemu zote za nchi badala ya kujikita na bandari tu??Ubovu wake uko wapi?
Kwa sababu tunaenda kuwapa Zanzibar inchi yao kilainiiiiKwanini bandari za Zanzibar zimeondolewa kwenye hiki mnachoita 'neema ya uwekezaji'?
mapigo ya moyo, na ndivyo inavyofanyika saa hii, kuna waliokula takrima na kuunga juhudi ila baada ya kuona jina dubai wakadhani ni uarabu wameunga mkumbo hadi kuvua na nguoFaiza hii bandari wangepewa wa Taliano wa Vatican nahisi ungeupinga mpka ungevuwa ushungi live, Ndugu anamtetea nduguye
MAKUBALIANO YA SERIKALIMkataba nimeuweka kwa Kiswahili kwa msaada wa tafsiri ya Google, kama ulivyo.
Kama kuna makosa ni ya kimtandao, muyaainishe tutayafanyia marekebisho (editing) kidogo kidogo.
Naona Watanzania tunadanyana sana hapa JF. Sasa kila mmoja wetu avione na avisome vipengele vyote walivyokubaliana serikali mbili na tutowe maoni yetu. Tuyajadili kiheshima.
Binafsi nauunga mkono huu mkataba wa maendeleo.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Mkataba umeandikwa kwa Kiingereza, bi ajuza anakiri ametoa hii tafsiri akisaidiwa na google. Wengine tuliobahatika kuisoma kupitia lugha rasmi iliyotumika kwenye huo Mkataba tutazidi kuuchambua.Wabongo hawawezi kusoma,watasubiria wapotoshaji Kwa minajiri ya Kisiasa wawafafanulie ndio Waanze kuropoka.
Tuwekee mkataba Mzuri wa aina hii uliowai kuingia mkuu.Hakuna mkataba mbovu umewahi kutokea kama huu duniani
Samia akishirikiana na waziri na katibu mkuu wameiuza Tanganyika kwa waarabu
Watanganyika amkeni muitete nchi yenu wajukuu na vitukuu vyenu vitazaliwa km watumwa chini ya nchi ya waarabu ambao wameuziwa nchi
Mkumbuke viongozi waliofanya haya wananufaika na uuzwaji huu wa nchi
Hatma ni hii hapa 👇Mkataba umeandikwa kwa Kiingereza, bi ajuza anakiri ametoa hii tafsiri akisaidiwa na google. Wengine tuliobahatika kuisoma kupitia lugha rasmi iliyotumika kwenye huo Mkataba tutazidi kuuchambua.
Hizi jitihada za Bi ajuza ninsa wasiwasi si bure. Hata hivyo nina swali...nini hatma kama Watanganyika tulio wengi tutaendelea kuupinga? Je nguvu zitatumika kutusokomezea hadi tumeze tupende tusipende?
Mkataba nimeuweka kwa Kiswahili kwa msaada wa tafsiri ya Google, kama ulivyo.
Kama kuna makosa ni ya kimtandao, muyaainishe tutayafanyia marekebisho (editing) kidogo kidogo.
Naona Watanzania tunadanyana sana hapa JF. Sasa kila mmoja wetu avione na avisome vipengele vyote walivyokubaliana serikali mbili na tutowe maoni yetu. Tuyajadili kiheshima.
Binafsi nauunga mkono huu mkataba wa maendeleo.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Raisi aondolewe kinga ya kutokushtakiwa, mengine tutajua baadae.Mkataba nimeuweka kwa Kiswahili kwa msaada wa tafsiri ya Google, kama ulivyo.
Kama kuna makosa ni ya kimtandao, muyaainishe tutayafanyia marekebisho (editing) kidogo kidogo.
Naona Watanzania tunadanyana sana hapa JF. Sasa kila mmoja wetu avione na avisome vipengele vyote walivyokubaliana serikali mbili na tutowe maoni yetu. Tuyajadili kiheshima.
Binafsi nauunga mkono huu mkataba wa maendeleo.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Anaupiga mwingi kwa wajomba zake mpaka madalali wakina rostam wametoka mashimoniMuungano mbona upo tokea 1964, ndiyo umeamka. Leo?
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Mag3: huyu ajuza kazi yake ni kujipendekeza tuu hana lolote wala.chochote hata hiyo dini anayoipigania wala haendagi msikitini kuswali yaani hiki kimama ni kima kweliMkataba umeandikwa kwa Kiingereza, bi ajuza anakiri ametoa hii tafsiri akisaidiwa na google. Wengine tuliobahatika kuisoma kupitia lugha rasmi iliyotumika kwenye huo Mkataba tutazidi kuuchambua.
Hizi jitihada za Bi ajuza nina wasiwasi si bure. Hivyo nina swali...nini hatma kama yetu Watanganyika wengi kama tutaendelea kuupinga? Je nguvu zitatumika kutusokomezea hadi tumeze tupende tusipende?
Nadhani wewe una shida ya uelewa. Huyu ni Mbunge lakini pamoja na bunge la walaji wa CCM kuridhia, Watanganyika walio wengi hawajaafiki.Hatma ni hii hapa 👇
Aundolewa wapi! Kwenye huu mkataba pendwa na Dubai au kwenye katiba mpyaRaisi aondolewe kinga ya kutokushtakiwa, mengine tutajua baadae.
[emoji38][emoji1][emoji23][emoji23]Nadhani wewe una shida ya uelewa. Huyu ni Mbunge lakini pamoja na bunge la walaji wa CCM kuridhia, Watanganyika walio wengi hawajaafiki.
Najua Wazanzibar wanaunga mkono mkataba huu kwa asilimia 100% ingawa nashangaa kwa nini hawalalamiki mkataba huu kuwatenga wasinufaike nao!
[emoji23][emoji1][emoji38][emoji38]Mag3: huyu ajuza kazi yake ni kujipendekeza tuu hana lolote wala.chochote hata hiyo dini anayoipigania wala haendagi msikitini kuswali yaani hiki kimama ni kima kweli
Kwenye katiba mpya.Aundolewa wapi! Kwenye huu mkataba pendwa na Dubai au kwenye katiba mpya