DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

Unatumia tafsiri ya Google kwanini usiandike mwenyewe
 
Bibi mbona una hangaika sana yani mkataba wenyewe umeshindwa kujitetea hadi wewe una hangaika namna hii? Pole sana ni wazi huu mkataba una shida sana
Shida ipi kipengele kipi
 
Tusaidie kuuleta Mkuu
 
Hakuna kiongozi wa nchi anayeweza kusaini mkataba huu kama Hana maslahi binafsi/share holder
 
Umewahoji Wazanzibar wangapi
 
MAKALA YA 23
MUDA NA KUKOMESHA​
Kwa mujibu wa aya ya 2 ya ibara hii ya 23, Mkataba huu utaendelea kutumika hadi pale itakapotokea mojawapo ya yafuatayo: (i) kusitisha kabisa shughuli zote za mradi;
Hii ina maana shughuli zitakoma bahari ikikauka 😂😂😂🚮🚮🚮🚮
 
Sio kila kitu ni lazima utoe maoni yako. Yapo mambo yanakuzidi uwezo na ukubali kuwa yanakuzidi uwezo kwa faida ya heshima yako mbele ya wasomaji wengine.
 
Unapiga porojo, unatafsiri utakavyo na vifungu vipo wazi. Jisomee👇🏾 utueleze ni nini hiki👇🏾

MAKALA YA 22
MAREKEBISHO YA BAADAYE
Mkataba huu unaweza kubadilishwa wakati wowote, kwa maandishi, kwa makubaliano ya pamoja ya Nchi Wanachama. Hakuna marekebisho ya Mkataba huu yatakuwa na athari bila makubaliano kwa saini na kuridhia na / au kupitishwa kwa nyaraka zinazofaa na Nchi Wanachama.



Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
nkaba=mkataba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatari ya mkataba huu ni:

Hatutaweza kuuvunja hata kama wao watavunja makubaliano/ sheria za nchi yetu Ila wao wanaweza kuuvunja mda wowote

Hatutaweza kuendeleza bandari nyingine yeyote Tanzania bara bila ruhusa ya dpw.
Ardhi yeyote watakayo ihitaji watapewa na serikali bila masharti yoyote.

Makubaliano au mkataba huu ni WA milele mpaka labda bahari au maziwa yakauke au wao waamue kuuvunja.

TRA haitahusika kukusanya Kodi isipokuwa TPA itatoza vigharama vyake vidogo kwa sheria za Tanzania au makubaliano mapya kati ya TPA na dpw kuhusu hizo tozo.

Kuajiri au kusomesha wafanya kazi wa kitanzania itakuwa ni hiari ya dpw na SI vinginevyo.

Kwa makubaliano haya inabidi tubadili sheria na katiba ya nchi kwenye sheria Zinazohusu bandari n.k.

Kiufupi ni utapeli mtupu.
Na hii imesainiwa tu kwa sababu Kuna watu wanakwenda kuwa ma share holders.
 

Kwani umevuja ?
 
Ngoja nikupe darsa kwa kukuuliza maswali.

Nini kirefu cha "UAE"? Na maana yake nini?


Mama Samia anaupiga Mwingi Kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…