DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

Umechagua upande unaokufurahisha na ukaja na jumuisho lako. Kosa lile lile linalofanywa na wasomi wetu wengi.

Umekuwa biased.
 
1. Uhuru umepitiliza
2. Ujuaji mwingi
3. Njaa (Kuna wakosoaji wengine wanatumika na maadui zetu kuhakikisha hatupigi hatua) rejea battle la Bwawa la mwl Nyerere na ujasiri wa mwendazake.
4. Kutafuta kutrend na kuonekana (wanasiasa wanaingia hapa)
Madalali ya warabu yaliyohongwa utayajua tu.
 
Umeandika mengi ambayo huna uhakika nayo.
 
Halafu kuna mimbuzi inaunga mkono hilo

Walahi bora tuandamane tu Sir 100 Out
Sasa "mbuzi" anaefata porojo ya mtu JF aliyejuibandikia tu uharo wake bila kunukuu kifungu chochote cha mkataba au "mbuzi" anaeufata mkataba uliowekwa JF?

Wewe kifungu kipi kinachokufanya usiuunge mkono mkataba?

Ukishibdwa kukiweka utaelewa mbuzi ni nani.


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Ukomo wa mkataba ni muda gani na kwanini bandari ya zenji haipo?
 
Hapa jf umekuja umetafsiriwa ila bungeni ulikuwa wa kiingereza. Uhakika unapatikanaje ya kuwa ndio wenyewe?!
 
Kosa lile lile la wajuaji wa JF, kudhani kuwa kilichosainiwa bungeni ndio kinachokwenda kutumika katika utendaji wa kibiashara.
 
Ukomo wa mkataba ni muda gani na kwanini bandari ya zenji haipo?
Kilichosainiwa bungeni ni mkataba Mama, hauwezi kuwa na ukomo, hii mikataba ya kiutendaji itakayosainiwa baadae ndio inaweza kuwa na ukomo.

Suala la Zenji kutokuwepo ni la kikatiba. Pia muwekezaji anaitumia bandari yetu ili aweze kufika DRC na Rwanda kwenye mali anazozitaka. Vipi huko Zenji zipo hizo mali anazozitaka?.
 
Kuna tofauti kati ya kubadilishwa na kuvunjwa
 
Siyo kweli, soma article 20, inonesha mpaka namna ya kutatuwa matatizo yakitokea.


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Bandari yetu au bandari zetu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…