Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena ajabu sana, chadema wamemtumia kijana anaejulika kwa ushoga anaitwa Soka, ndiyo eti aanzishe maandamano ya kupinga bandari isiendeshwe na Waislam. Cheza na intelijensia ya Tanzania,Wabongo hawawezi kusoma,watasubiria wapotoshaji Kwa minajiri ya Kisiasa wawafafanulie ndio Waanze kuropoka.
Ni mkataba wa miezi 12? Unaanza mwezi gani na mwaka gani na kuisha mwezi gani na mwaka gani?Tena cha 2o kimeelezea namna ya kutatuwa sintofahamu yoyote ikitokea, hapa nakuwekea kilichoweka muda kabisa...
article 5:4
Nchi Wanachama zinakubaliana kwamba Awamu ya 1 Miradi (kama ilivyoelezwa katika Kiambatisho 1) itakuwa miradi ya kipaumbele kwa ajili ya maendeleo na utekelezaji. Serikali ya Tanzania itahakikisha kuwa TPA haizingatii mapendekezo mengine yoyote ya Miradi yoyote ya Awamu ya 1 kwani kuanzia Tarehe ya Saini hadi tarehe kama hiyo kama majadiliano kati ya DPW na TPA kwa Miradi ya Awamu ya 1 yamesitishwa au kumalizika kwa kipindi cha miezi 12 kutoka Tarehe ya Saini ya Mkataba huu, Chochote ni cha zamani.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Wewe huna hoja unabwaja bwaja ukiulizwa maswali unakwepa.Tena ajabu sana, chadema wamemtumia kijana anaejulika kwa ushoga anaitwa Soka, ndiyo eti aanzishe maandamano ya kupinga bandari isiendeshwe na Waislam. Cheza na intelijensia ya Tanzania,
mwenyewe hakuwepo akabambwa huko huko laikojificha. akasema yeye ameambiwa akianzisha maandamano atafantuwa pango apelekwe Denmarkau Canada akapate ukimbizi. Akawataja na wengune wote aliowarubuni.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Kumbe hujausoma mkataba? Wewe ulifikiri ni wa miaka mingspi?Ni mkataba wa miezi 12? Unaanza mwezi gani na mwaka gani na kuisha mwezi gani na mwaka gani?
AiseeMleta mada hii tunayojadili alisema Mwalimu alikuwa kiongozi mbovu na akamfungilia uzi. Nilisikitika sana.
Kwa jinsi ulivyo na akili ndogo majibu haya yanatabirika kabisa.Leta "version yako ambayo siyo ya "kunjunga". Tuloiweka hapa, vifungu vyake vilivyomo ni hivi...
JEDWALI LA YALIYOMO
MAKALA YA 26 29
SEHEMU YA I 7 UFAFANUZI, UFAFANUZI NA UPEO 7 MAKALA YA I 7 UFAFANUZI NA UFAFANUZI 7 PART Il 12 MAJUKUMU YA JUMLA 12 MAKALA YA 2 13 MALENGO YA MKATABA 13 MAKALA YA 3 14 USHIRIKIANO 14 MAKALA YA 12 20 ULINZI NA USALAMA 20 MAKALA YA 13 21 MAUDHUI YA NDANI, AJIRA NA UWAJIBIKAJI WA KIJAMII WA USHIRIKA 21 MAKALA YA 14 23 MATUMIZI YA 23 MAKALA YA 15 23 VIWANGO VYA MAZINGIRA, AFYA YA KAZI, KIJAMII NA USALAMA 23 MAKALA YA 16 24 VIWANGO VYA KIUFUNDI 24 MAKALA YA 17 24 HAKI ZA KAZI 24 SEHEMU YA Ill 25 UTAWALA WA FEDHA 25 MAKALA YA 18 25 KODI, WAJIBU NA TOZO NYINGINE 25 SEHEMU YA IV 25 MASHARTI YA MWISHO 25 MAKALA YA 19 25 MFULULIZO WA SERIKALI 25 MAKALA YA 20 26 MAKAZI YA MIGOGORO 26 MAKALA YA 21 27 SHERIA YA UTAWALA 27 MAKALA YA 22 27 MAREKEBISHO YA BAADAYE 27 MAKALA YA 23 27 MUDA NA KUKOMESHA 27 MAKALA YA 24 28 UHIFADHI, LUGHA NA VIAMBATANISHO 28 MAKALA YA 25 29 KUINGIA KATIKA NGUVU 29
UBADILISHAJI WA IGA KUWA SHERIA YA KITAIFA 29
MAKALA YA 27 30
KUINGIA KATIKA UHUSIANO WA NGUVU KATI YA MKATABA HUU NA NYINGINE
MAJUKUMU YA KIMATAIFA NA YA NDANI KATIKA NCHI WANACHAMA 30
MAKALA YA 28 30
UWEZO WA VYAMA VYA SERIKALI NA WATIA SAINI WAO 30
MAKALA YA 29 30
UTENDAJI NA UTUNZAJI WA IGA NA MIKATABA MINGINE INAYOHUSIANA
NA MSAADA KWA SHUGHULI ZA MRADI 30
MAKALA YA 30 31
UTULIVU 31
MAKALA YA 31 31
KUBADILISHANA KWA MAKUBALIANO / MAKUBALIANO 31
KIAMBATISHO 1: MAENEO YA USHIRIKIANO 33
KIAMBATISHO 2: CHOMBO CHA FNGUVU YA ULL 34
Sema umeshushuka tu. Kifungu kipi kinachokupa shida hapo tukupe darsa?
Hapo sasa " 😂😂😂
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Nyuzi nyingi nimefunguwa kuhusu Nyerere, iweke hiyo unnayosema halafu tukamjadili
Toa hoja kwanini unaamini tumeuzwa, ili kuhama kutoka kwenye ujamaa ambayo ni sera iliyofeli hapa nchini lazima baadhi ya vitu tuwape wawekezaji ili tukusanye Kodi ya kutosha, baadhi yetu tunaamini hivyo.Hakuna mkataba mbovu umewahi kutokea kama huu duniani
Samia akishirikiana na waziri na katibu mkuu wameiuza Tanganyika kwa waarabu
Watanganyika amkeni muitete nchi yenu wajukuu na vitukuu vyenu vitazaliwa km watumwa chini ya nchi ya waarabu ambao wameuziwa nchi
Mkumbuke viongozi waliofanya haya wananufaika na uuzwaji huu wa nchi
Hawa ni matapeli tupuKusainiwa it's just one step to go but not gone yet...
Utekelezaji wake ilikuwa lazima mkataba uwe ratified na bunge. This is step two to go, but still not gone yet...
Serikali mbili hizi (Emirate of Dubai & Tanganyika ya Samia) zitafanya exchange ya documents hizo ambazo ziko ratified na mamlaka za nchi husika...
Hatua hii ndiyo ya mwisho na itaruhusu shughuli kuanza...
Hata hivyo, hii hatua bado na kwa jinsi moto ulivyowaka, tunaweza uwezo wa 85% umma kushinda na kuzuia jambo hili...
Wako uchi hawa. Hawaendi popote...
Nakumbuka kwenye hutuba yako furani ulisema unapenda taarabu huku unaperuzi mikataba hakika sio kwa michambo hiyo hakika unaupiga mwingi kiongozi tunaeImetumika Google translator na limeabdikwa hilo post za mwanzo mwanzo tu. Unaonesha umekurupuka bila ya kuupitia mjadala.
Andika wewe vizuri, unangoja nini?
Punguani wahed.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
😀😀😀😀😀😀 Chakula Cha waarabuHichi chakula?