Kazi mbona imeshaanza, nenda PTA ukawaone.
Wale watu wa biashara, wanaifahamu faida watakayoingiza wao kwa biashara zao zingine kupitia bandari ya Dar.
Mapato ya bandari ya Dar hata yote 100% tuchukuwe sisi wala hawastuki.
Dubai umefika? Au unapasikia tu?
Watanzania wdngi, 99% hwtuns exposure, hatufshamu duniabi watu wsko wspi sasa hivi, sisi nchi nzima tunabishana vigati (berths) viwili vitatu.
Tunasikitisha sana. Waingereza wametujaza ujinga sana. Kuufuta ujinga tuluonao itatuchukuwa miaka 590 ijayo. Au upite muujiza wa Mungu tu.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.