DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

Wew na Lisu nani anaijuwa sheria.., acha kuwadharau raia wenye asili ya Tanganyika nakuwaita Mapoyoyo.., wew yawezakuwa ni poyoyo kuliko hata wao an nahisi kinachokusumbua ni njaa tu.
Lissu ni mwanasheria na anaijuwa sana sheria .na anajuqa vizuri san nkucheza na maneno kisheria (technucalitues) nimemvuluia kofia.

Mimi fani yangu mojawapk ni biashara, ninajuwa sheria na kanuni za fani yangu. Kwa Kiislam na ki Secular.

Lissu kapinga kifungu gani cha huu mkataba?

Mimi nimemsikiliza vizuri sana Lissu, ninemuona akiusifu mkataba mwanzo nwisho. . Kasema huu ndiyo mkataba ambao umefungamana kabisa na katiba yetu. Akawasifu na waliouandika na akassma anaamini kabisa kuwa waliouandika siyo Watanzania.

Hiyo kijanana ni kuusifia mkataba na waliouandika. Hajaishia hapo, akasema huwezi kuuvunja huu mkataba ukishapitishwa na "mabunge". Akaendelea, huu ndiyo unawakilisha katiba ya Tanzania. kabda muuwahi kabla mabunge hayajaupitisha.

. Hujamsikia akiyasema hayo? Au mimi nimeisikia video tofauti na wewe?
 
Serikali ni chombo kikubwa na makini kina wataalamu wa Kila aina, wanauchumi, wanasheria, Wanadiplomasia,wanahabari n.k.

Uraisi ni taasisi kubwa, makini na Ina wataalamu wa Kila aina.
Vyombo vyetu vya Dola havilali vinafanya kazi kwa weledi na ufanisi.

Bunge letu ni la wananchi haswaa na limekuwa mfano wa bunge Bora afrika.

Huu mkataba wa bandari na DP world mpaka kufikia hapa umepitia kwenye hatua nyingi muhimu na taasisi au vyombo vingi sana vya uamuzi vimejiridhisha na kuona fursa kubwa kwa watanzania.

Kama taifa tunao wanasiasa Malaya Malaya hivi, wengi wao ni wasomi uchwara au wataalamu wasio na viwango kazi yao ni kupinga, kutukana na kukejeli Kila jema la serikali, huleta udini, ubaguzi, ukabila na ukanda kwenye mambo yenye maslahi kwa taifa, Hawa tuwaatae kwa nguvu zote.

Dp world ni kampuni kubwa yenye rekodi ya kufanya hii biashara duniani kote, ni katika taifa lipi ambalo uwekezaji wa hii kampuni imeny'ang'anya wazawa bandari zao?.

Wanaopinga Wana hoja dhaifu haziingii akili mwa watanzania, Bali kelele hizi zinachelewesha fursa na maendeleo kwa watanzania.

Ninaiomba serikali ifanye haraka kukamilisha yote Ili utekeleaji wa huu mkataba uanze mapema, sisi wananchi tuanze kunufaika na nchi ipate maendeleo.

" Mama anaupiga mwingi"
 
Ngukum wako...... kwani mikataba ya nyuma yoote ivyi vyombo havikuwepo??
Kazi umalaya tuu
 
Kwann AG na Kabudi hawakushirikishwa?
 
Enzi za Richmond na IPTL Serikali haikuwa makini na Watalamu walikuwa hawajazaliwa??
 
Wamekurupuka bana. Watu wameenda kwenye maonyesho bin vuu wakasaini MoU na mikataba kibao
 
Lissu ni mwanasheria na anaijuwa sana sheria .na anajuqa vizuri san nkucheza na maneno kisheria (technucalitues) nimemvuluia kofia.

Mimi fani yangu mojawapk ni biashara, ninajuwa sheria na kanuni za fani yangu. Kwa Kiislam na ki Secular.

Lissu kapinga kifungu gani cha huu mkataba?

Mimi nimemsikiliza vizuri sana Lissu, ninemuona akiusifu mkataba mwanzo nwisho. . Kasema huu ndiyo mkataba ambao umefungamana kabisa na katiba yetu. Akawasifu na waliouandika na akassma anaamini kabisa kuwa waliouandika siyo Watanzania.

Hiyo kijanana ni kuusifia mkataba na waliouandika. Hajaishia hapo, akasema huwezi kuuvunja huu mkataba ukishapitishwa na "mabunge". Akaendelea, huu ndiyo unawakilisha katiba ya Tanzania. kabda muuwahi kabla mabunge hayajaupitisha.

. Hujamsikia akiyasema hayo? Au mimi nimeisikia video tofauti na wewe?
Mkuu hili jambo linahitaji elimu kweli? Yaani kujua kuwa kuna shinikizo la mlungula nyuma yake? Hv kweli mkuu umejizima data au data imezimwa? Sawa hatukatai faida je tunakataa faida au namna ya mkataba ulivyo?

Je mkataba unaanzia wapi unaishia wapi? Kwa nn wawe hao DPW na si wengine? Je ni hasara zipi kama taifa zinatuijia kwa kuwa na huu mkataba? Si za jumla?

Je kwa nini mkataba uwe na namakaubaliano then uje tu kuthibitishwa? Je kwa uelewa wako unahisi rais anao washauri wazuri? Je unejiridhisha kiasi cha kusema kuwa taasisi zote za kisheria za serikali zimelidhia hiki? Au ni wanasiasa tu?

Unajua kuwa baada ya kampeni ya sasa kuna kizazi kijacho? Nawe bila shaka unacho je watasema kipi cha kwetu? Madini tutakuwa na mashimo tu, haya Mbunga ndo hizo wanajitwalia, hay tumebakiza handari nayo hyooooo hivi mtwambie ninyi wenzetu mnatanzania nyingine tofauti na hii?
 
Hakuna mkataba mbovu umewahi kutokea kama huu duniani

Samia akishirikiana na waziri na katibu mkuu wameiuza Tanganyika kwa waarabu

Watanganyika amkeni muitete nchi yenu wajukuu na vitukuu vyenu vitazaliwa km watumwa chini ya nchi ya waarabu ambao wameuziwa nchi

Mkumbuke viongozi waliofanya haya wananufaika na uuzwaji huu wa nchi
Weka vifungu vinavyoonesha ubovu wa mkataba huu. Kama huviweki wewe ndio utakuwa mchangiaji mbovu kabisa kwenye huu uzi!
 
Attachments

  • FFC25139-78F4-45F3-AD29-892BC3A9CAE7.jpeg
    FFC25139-78F4-45F3-AD29-892BC3A9CAE7.jpeg
    41.4 KB · Views: 6
Habari za asubuhi wana JF,

Tunaendelea na hili jambo ambalo sasa lipo katika ngazi ya familia kabisa. Tunaulizwa majumbani mwetu. Kuna mambo kadhaa ambazo ni facts kabisa katika mkataba huu na zinaufanya ukose sifa.

Wao wanasema ni makubaliano tu, lakini makubaliano ni mkataba. Baadhi ya facts hizo nilizoziona ni hizi zifuatazo:
1. Makubaliano hayana ukomo. Kama ambavyo imeonekana kwa wengi, makubaliano haya hayaonyeshi muda maalum katika umilikishaji wa bandari zote kwa DPW:

Weka ushahidi wa fikra zako, hatuendi kifikra, tunaenda kiushahidi.
Kwanza tuoneshe hicho kifungu cha makubaliano / mkataba kinachosema "hayana ukomo". Pia tuoneshe kifungu kinachosema "umilikishaji wa bandari zote kwa DPW:".

Tuoneshe hivyo, usifikiri wote tu wajinga. Ukishindwa kuvionesha hivyo vifungu basi wewe u muongo.

Wakati unatafuta vifungu mimi nakuwekea kifungu chenye ukomo wa makubaliano / mkataba huu. Hiki hapa kifungu ch 5:4:

5:
4. Nchi Wanachama zinakubali kwamba Miradi ya Awamu ya 1 (kama ilivyofafanuliwa katika Kiambatisho 1) itakuwa ndiyo miradi ya kipaumbele katika kuiendeleza na kuitekeleza. Serikali ya Tanzania itahakikisha kwamba TPA haitaongeza mapendekezo mengine yoyote ya Miradi yoyote ya Awamu ya 1 kuanzia Tarehe ya Kusainiwa hadi tarehe ambayo majadiliano kati ya DPW na TPA kwa Miradi ya Awamu ya 1 yamesitishwa au baada ya kumalizika muda wa miezi 12 kutoka Tarehe ya kusainiwa kwa Mkataba huu, yoyote iliyo ya mapema

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Sijaona ukomo wake hata mbarawa hajui mwisho wa mkataba ni lini

Rudi post namba 1 kasome kifungu cha 5:4. kinasema hivi:

5:
4. Nchi Wanachama zinakubali kwamba Miradi ya Awamu ya 1 (kama ilivyofafanuliwa katika Kiambatisho 1) itakuwa ndiyo miradi ya kipaumbele katika kuiendeleza na kuitekeleza. Serikali ya Tanzania itahakikisha kwamba TPA haitaongeza mapendekezo mengine yoyote ya Miradi yoyote ya Awamu ya 1 kuanzia Tarehe ya Kusainiwa hadi tarehe ambayo majadiliano kati ya DPW na TPA kwa Miradi ya Awamu ya 1 yamesitishwa au baada ya kumalizika muda wa miezi 12 kutoka Tarehe ya kusainiwa kwa Mkataba huu, yoyote iliyo ya mapema

Sasa umeona?
 
Kifungu no 23...
Still mtu atakwambia "hakuna termination clause"
 
Back
Top Bottom