Serikali ni chombo kikubwa na makini kina wataalamu wa Kila aina, wanauchumi, wanasheria, Wanadiplomasia,wanahabari n.k.
Uraisi ni taasisi kubwa, makini na Ina wataalamu wa Kila aina.
Vyombo vyetu vya Dola havilali vinafanya kazi kwa weledi na ufanisi.
Bunge letu ni la wananchi haswaa na limekuwa mfano wa bunge Bora afrika.
Huu mkataba wa bandari na DP world mpaka kufikia hapa umepitia kwenye hatua nyingi muhimu na taasisi au vyombo vingi sana vya uamuzi vimejiridhisha na kuona fursa kubwa kwa watanzania.
Kama taifa tunao wanasiasa Malaya Malaya hivi, wengi wao ni wasomi uchwara au wataalamu wasio na viwango kazi yao ni kupinga, kutukana na kukejeli Kila jema la serikali, huleta udini, ubaguzi, ukabila na ukanda kwenye mambo yenye maslahi kwa taifa, Hawa tuwaatae kwa nguvu zote.
Dp world ni kampuni kubwa yenye rekodi ya kufanya hii biashara duniani kote, ni katika taifa lipi ambalo uwekezaji wa hii kampuni imeny'ang'anya wazawa bandari zao?.
Wanaopinga Wana hoja dhaifu haziingii akili mwa watanzania, Bali kelele hizi zinachelewesha fursa na maendeleo kwa watanzania.
Ninaiomba serikali ifanye haraka kukamilisha yote Ili utekeleaji wa huu mkataba uanze mapema, sisi wananchi tuanze kunufaika na nchi ipate maendeleo.
" Mama anaupiga mwingi"