Nsanzagee
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 2,209
- 4,769
Sauti ya Rais ni faraja,
Rais, kwa sauti yake, ni dira ya nchi na wananchi
Lakini pia, yeye ndiye kocha mkuu, kunapotokea wasaidizi wake wameelemewa uwanjani, yeye hutokea kubadili upepo wa mchezo
Sasa yapata mwezi na ushee nchi ipo kwenye mzozo wa mkataba wa bandari!
Kila upande unavutana, huku serikali ikiamini mkataba hauna makosa, wananchi wakiwemo wasomi na wanasheria mbalimbali wao wanasema ubadirishwe baadhi ya sheria zake na ama ufutwe wote
Bado mh Rais hajatoa mwelekeo wa moja kwa moja kwamba tunatembea na hiki
Vuta nikuvute, mjadala wa mkataba umebadirika gjafula na kuchukuliea kidini, na huu ni mpasuko mkubwa wa nchi usipodhibitiwa mapema!
Mbali na ufa huu unaoonekana bayana ni kutugawa umoja wetu kama nchi moja, bado mh Rais hatokei kusema kitu
Rais wetu yupo?