DP World na kelele zinazoendelea, napata tabu sana kuamini iwapo Rais yupo ama laa! Na kama yupo mbona hatoi mwelekeo? Ona na huu udini!!

Nsanzagee

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2023
Posts
2,209
Reaction score
4,769
Sauti ya Rais ni faraja,

Rais, kwa sauti yake, ni dira ya nchi na wananchi

Lakini pia, yeye ndiye kocha mkuu, kunapotokea wasaidizi wake wameelemewa uwanjani, yeye hutokea kubadili upepo wa mchezo

Sasa yapata mwezi na ushee nchi ipo kwenye mzozo wa mkataba wa bandari!

Kila upande unavutana, huku serikali ikiamini mkataba hauna makosa, wananchi wakiwemo wasomi na wanasheria mbalimbali wao wanasema ubadirishwe baadhi ya sheria zake na ama ufutwe wote

Bado mh Rais hajatoa mwelekeo wa moja kwa moja kwamba tunatembea na hiki

Vuta nikuvute, mjadala wa mkataba umebadirika gjafula na kuchukuliea kidini, na huu ni mpasuko mkubwa wa nchi usipodhibitiwa mapema!

Mbali na ufa huu unaoonekana bayana ni kutugawa umoja wetu kama nchi moja, bado mh Rais hatokei kusema kitu

Rais wetu yupo?
 
Rais ana mambo mengi sana ya kufanya. Wewe unataka kuonana na Rais, nenda kafanye appointment, utapangiwa muda wako wa kumuona. Hajawahi kukataa kuonana na yeyote yule.

Hakuna mpinzani wake wala nini.

Tumemshauri akae kimya, achape kazi huko huko, aachane na wajinga wajinga.

katuelewa.
 
Ila watz mnachonga khaa,mngekuwa Sudan au Somalia sijui ingekuwaje......tujifunze kuwa na kias Kwa Kila jambo aisee
 
Rais ana mambo mengi sana ya kufanya. Wewe unataka kuonana na Rais, nenda kafanye appointment, utapangiwa muda wako wa kumuona. Hajawahi kukataa kuonana na yeyote yule.

Hakuna mpinzani wake wala nini.

Tumemshauri akae kimya, achape kazi huko huko, aachane na wajinga wajinga.

katuelewa.
Kama kina mwaipopo
 
Sauti ya Rais ni faraja,

Rais, kwa sauti yake, ni dira ya nchi na wananchi

Lakini pia, yeye ndiye kocha mkuu, kunapotokea wasaidizi wake wameelemewa uwanjani, yeye hutokea kubadili upepo wa mchezo

Sasa yapata mwezi na ushee nchi ipo kwenye mzozo wa mkataba wa bandari!

Kila upande unavutana, huku serikali ikiamini mkataba hauna makosa, wananchi wakiwemo wasomi na wanasheria mbalimbali wao wanasema ubadirishwe baadhi ya sheria zake na ama ufutwe wote

Bado mh Rais hajatoa mwelekeo wa moja kwa moja kwamba tunatembea na hiki

Vuta nikuvute, mjadala wa mkataba umebadirika gjafula na kuchukuliea kidini, na huu ni mpasuko mkubwa wa nchi usipodhibitiwa mapema!

Mbali na ufa huu unaoonekana bayana ni kutugawa umoja wetu kama nchi moja, bado mh Rais hatokei kusema kitu

Rais wetu yupo?
Watanganyika mtanyamaza tuu. Mmeingia cha kike.
 
Uvivu wa Maprofesa wetu wa sheria umesababisha haya.
Kwani katiba ilioruhusu Zanzibar kuwa na serikali yake kamili, huku Tanganyika ikiwa haina serikali nyingine yake yenyewe, kwanini katiba hio sasa ikaruhusu Mzanzibari kurithi Urais wa serikali hii badala ya siku zote kuishia umakamu wa Rais kwa ajili tu ya kulinda maslaha ya Zanzibar ndani ya Muungano?

Ikitokea kama kifo cha Rais wa Tanzania basi kipengele kingesema aliekuwa Waziri Mkuu au Jaji Mkuu, Speaker wa Bunge ashike Urais hadi Uchaguzi mkuu ujao. Mzenji akibaki nafasi yake kivulini ya umakamu ili alinde maslaha ya nchi yao Zenji.

Uvivu huu sasa ndio unaumiza forever, haya mambo yatapelekea vita na nchi za kiarabu. Na tutavwamiwa kinguvvu. Nipo paleee nanywa kahawa mie.
Sauti ya Rais ni faraja,

Rais, kwa sauti yake, ni dira ya nchi na wananchi

Lakini pia, yeye ndiye kocha mkuu, kunapotokea wasaidizi wake wameelemewa uwanjani, yeye hutokea kubadili upepo wa mchezo

Sasa yapata mwezi na ushee nchi ipo kwenye mzozo wa mkataba wa bandari!

Kila upande unavutana, huku serikali ikiamini mkataba hauna makosa, wananchi wakiwemo wasomi na wanasheria mbalimbali wao wanasema ubadirishwe baadhi ya sheria zake na ama ufutwe wote

Bado mh Rais hajatoa mwelekeo wa moja kwa moja kwamba tunatembea na hiki

Vuta nikuvute, mjadala wa mkataba umebadirika gjafula na kuchukuliea kidini, na huu ni mpasuko mkubwa wa nchi usipodhibitiwa mapema!

Mbali na ufa huu unaoonekana bayana ni kutugawa umoja wetu kama nchi moja, bado mh Rais hatokei kusema kitu

Rais wetu yupo?
 
Sauti ya Rais ni faraja,

Rais, kwa sauti yake, ni dira ya nchi na wananchi

Lakini pia, yeye ndiye kocha mkuu, kunapotokea wasaidizi wake wameelemewa uwanjani, yeye hutokea kubadili upepo wa mchezo

Sasa yapata mwezi na ushee nchi ipo kwenye mzozo wa mkataba wa bandari!

Kila upande unavutana, huku serikali ikiamini mkataba hauna makosa, wananchi wakiwemo wasomi na wanasheria mbalimbali wao wanasema ubadirishwe baadhi ya sheria zake na ama ufutwe wote

Bado mh Rais hajatoa mwelekeo wa moja kwa moja kwamba tunatembea na hiki

Vuta nikuvute, mjadala wa mkataba umebadirika gjafula na kuchukuliea kidini, na huu ni mpasuko mkubwa wa nchi usipodhibitiwa mapema!

Mbali na ufa huu unaoonekana bayana ni kutugawa umoja wetu kama nchi moja, bado mh Rais hatokei kusema kitu

Rais wetu yupo?
hatoi mwelekeo kwa kua haa mwelekeo
 
Wale wa msalaba wanasema ya bandari ni utapeli, wale wa magauni wanasema ya bandari ni vema kabisa!
Na waliotaka kujitenga na Tanganyika na waliokuwa na chuki dhidi ya Tanganyika yupo huyo huyo, kama alivyokuwa bosi wake na Mentor wake mkuu Amana Karume.
Yaani huyooooooo, ndio huyo uliemfikiri na wewe!. Sema hamumjui tu
Mmeingia cha kike Tanganyika
 
Watu wa pwani huwa hawafai kabisa kwenye uongozi, ni wapuuziaji sana (yaani wanapuuzia mambo sana). Huwa wakifika ikulu wanaingia likizo ya akili.

Yasemekana
..mzee Mwinyi alikuwa mpuuziaji.
..Kikwete alikuwa mpuuziaji.
..na sasa Samia ni mpuuziaji.
 
Yasemakana hadi leo Mwinyi anamiliku nusu ya DSM. Mali zote walizo Wahindi wa enzi hizo na Bakhressa. Rushwa haifawi
 
Rais ana mambo mengi sana ya kufanya. Wewe unataka kuonana na Rais, nenda kafanye appointment, utapangiwa muda wako wa kumuona. Hajawahi kukataa kuonana na yeyote yule.

Hakuna mpinzani wake wala nini.

Tumemshauri akae kimya, achape kazi huko huko, aachane na wajinga wajinga.

katuelewa.
kuchapa kazi ya kulamba miguu waarabu au kazi gani zaidi wazee wa "bikra 72 peponi" mnaiweza ?
 
Yasemakana hadi leo Mwinyi anamiliku nusu ya DSM. Mali zote walizo Wahindi wa enzi hizo na Bakhressa. Rushwa haifawi
Umeshasema "yasemekana", unataka nibishane au nipinge au nikubali kwa "yasemekana" si ntakuwa mwehu kama wewe?
 
Sote tunajua dhahiri bila shaka yoyote kuwa Rais anahusika na haya kwa 100%. Kiini cha haya yote ni Rais aliyepo madarakani.

Ni Rais aliyewaleta DP hapa Tz...
Ni Rais aliyewabeba DP kupewa mkataba...
Ni Rais aliyepeleka bungeni ule mkataba wa DP....
Ni Rais aliyewashinikiza wabunge waupitishe mkataba wa DP...
Ni Rais aliyeusaini haraka sana mkataba wa DP ulipotoka tu bungeni....
Ni Rais aliyewapiga vijembe wale wote wanaoupinga na kuukosoa mkataba wa DP....
Ni Rais aliwaamuru watendaji wote wa serikali na watu wengine(wakiwemo machawa na masheikh) waende mitaani kuupigia kampeni mkataba wa DP.....

Sasa una mashaka gani na uhusika wa Rais wetu kwenye hili sakata la DP linaloendelea hapa Tanzania?
 
Back
Top Bottom