FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Kwanini usiwe wewe kiongozi?Akili Muhimu sana Mkuu, NCHI YETU BADO VIONGOZI NI WABOFU WA AKILI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini usiwe wewe kiongozi?Akili Muhimu sana Mkuu, NCHI YETU BADO VIONGOZI NI WABOFU WA AKILI
Hiki ni kiwango cha chini sana cha uelewa..!! Kwahiyo, the fact kwamba bandari haihamishiki, basi wavurunde watakavyo..!!?? Hapa FaizaFoxy umefuka moshi wa kuni mbichiMuendelee kukaa bila kazi mkingoja mpate akili?
Madini yakichukuliwa unabakishiwa mashimo, bandari inapelekwa wapi?
Nyie mnadaganywa na mnadanyika, mambo ya maana mnapigwa changa la macho kwa kuwa mnawaamini wachungaji waliopotea.Hiki ni kiwango cha chini sana cha uelewa..!! Kwahiyo, the fact kwamba bandari haihamishiki, basi wavurunde watakavyo..!!?? Hapa FaizaFoxy umefuka moshi wa kuni mbichi
Tabia hizi zikijaa kichwani mwako utajikuta unaanza kudhuru hata familia yako[emoji35]Futeni mkataba nukta
Acheni kutupigia kelele
Pelekeni hao wawekezaji kisiwani kwenu mbona mnalazimisha jambo?
Tanganyika mtuachie.
Hawa ni wajomba wa Mama. Mjomba ni mama. Ulitaka tuwashindanishe wajomba?Kwa ufahamu wangu mdogo, sheria(bila shaka ya manunuzi), inataka utaratibu wa kutangaza tender utumike na kisha wahusika waombe na mchujo ufanyike kwa kuzingqtia vigezo vilivyoweka then mshindi apatikane na atangazwe.
Saaa najiuliza huyu DP WORLD alishindanishwa na nani na tangazo la tender liliandikwa au kutolewa kwenye gazeti/ chombo gani cha habari?
Tunaomba majibu kutoka kwa wahusika.
Tuliwapa wajombaKwa ufahamu wangu mdogo, sheria(bila shaka ya manunuzi), inataka utaratibu wa kutangaza tender utumike na kisha wahusika waombe na mchujo ufanyike kwa kuzingqtia vigezo vilivyoweka then mshindi apatikane na atangazwe.
Saaa najiuliza huyu DP WORLD alishindanishwa na nani na tangazo la tender liliandikwa au kutolewa kwenye gazeti/ chombo gani cha habari?
Tunaomba majibu kutoka kwa wahusika.
Unajua mazingira ya tender kutolewa kwa single source au umekalili madesa.Hujui sheria inatambua utaratibu wa single source?
Kwani zile shule zilizojengwa nchi nzima zilitangazwa tenda watu waombe?
Mnajitafanya mnajua kupost kumbe mnapost maujinga tu.
Kama walianza kusaini huko Dubai kwenye maonyesho ya Dubai Expo, kushindanishwa kungetekelezwa vipi?!Kwa ufahamu wangu mdogo, sheria(bila shaka ya manunuzi), inataka utaratibu wa kutangaza tender utumike na kisha wahusika waombe na mchujo ufanyike kwa kuzingqtia vigezo vilivyoweka then mshindi apatikane na atangazwe.
Saaa najiuliza huyu DP WORLD alishindanishwa na nani na tangazo la tender liliandikwa au kutolewa kwenye gazeti/ chombo gani cha habari?
Tunaomba majibu kutoka kwa wahusika.
Hoja Sheria inaruhusu single source.Unajua mazingira ya tender kutolewa kwa single source au umekalili madesa.
Tupe uthibitishoHao waarabu walitoa rushwa wakapewa bandari zetu zote waziendeshe milele, Samia hili kosa alilofanya hatakaa apate heshima milele kwa watanganyika.
Jibu swali lake kama una jibu, acha kuhamisha mjadala.Hujui sheria inatambua utaratibu wa single source?
Kwani zile shule zilizojengwa nchi nzima zilitangazwa tenda watu waombe?
Mnajitafanya mnajua kupost kumbe mnapost maujinga tu.