Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Kwa hiyo kumbe maneno bandari imeuzwa au bandari zimeuzwa ni uongo na uzandiki?Watanzania wenzangu naomba tusichanganye mada kati ya tangazo la tenda lililotolewa leo na DP World,
Hivi ni vitu viwili tofauti.
Kama tangazo la tenda mmelielewa linahusu gati No. 8 hadi 11 tu, DP WORLD anachukua kuanzia gati No. 0 hadi 7. PERIOD
Hata wewe hujui unachokiandika.Maaskofu walichemka sana kuusoma ule waraka. Halafu ni majina 32 wakaorodheshwa kumbe wanaingizwa mkenge bila ya kufahamu.
Kama DPW amenunua hiyo bandari imeweza vipi kutangaza tender ya kuendesha magati yake?.
Hatujui mambo mengi na hatutaki kukubali kwamba hatujui.
Soma vizuri ilo tangazo ndugu. Hiyo ni zabuni/tenda kweli?View attachment 2734325
Haya kelele za Watanzania wengi zimesikilizwa, Wenye sifa waombe kazi hiyo, tupunguze lawama.
Hata TLS Nao waliingia Chaka? Acha kujifanya mwerevu wakati huna hoja za kueleweka..Kaka haya masuala ya mikataba sio kila mtu anayeweza kuyafahamu, hili ni tatizo la watanzania pia, kuvamia fani za watu kisha kutaka wasikilizwe akiwemo kenge anayeitwa Etwege.
IGA ni kifupisho tu cha mikataba mingi ya kibiashara, hayo maslahi yatakuwepo kwenye mikataba husika ambayo itakuwa ni mirefu kuliko huo uliopitishwa bungeni.
Msishangilie sasa...Wanaweza kuja kwa jina lingine. Kikubwa utaratibu ufuatwe, marekebisho ya makubaliano ama mkataba yafanyike!!!!
Huyo kakΓ lilishwa na jerty slaa eti shall, stupid in samia voiceTerms zote za kwenye IGA wewe umeona maneno mawili tu, WILL and SHALL?!
Kasome mkataba acha ujinga.
Aisee sikutegemea kuiona siku hii, Etwege ampongeze Mdude? Safi sana, kwenye uzalendo huwa tunaweka tofauti zetu za kisiasa pembeni.Hongera sana Dk Slaa, wakili msomi Mwambukusi, Peter Madeleka, Mdude Nyagali na wengine wengi waliopambana na majizi ndani ya serikali yaliyokuwa yanauza bandari kimyakimya.
Msishangilie sasa...
Inawezekana DP World ndo wameanza kufanya kazi kwa mujibu wa IGA. Likely TPA wanatuka tu kama mshirika wa DP World
Au tumesahau mara kuwa ktk mkataba wa IGA ya TZ & Dubai Emirate kuna ibara inasema kuwa "......DP World and its affiliate companies....."?
Hizo kampuni ndogo ndogo zitakazopewa majukumu tofauti tofauti bila shaka watafanya kazi chini ya DP World maana kama ilivyo IGA hii mpaka sasa, bandari zote za Tanganyika ni zao..!
Ili tujue DP hawapo tena, ni sharti Rais Samia Suluhu Hassan aseme kuwa 'tumeiondoa IGA hii". Bila kauli toka Kwa aliyesaini, basi tambueni kuwa DP World wapo maana mkataba ulishakuwa ratified (domesticated) na Bunge tayari....!!
Hiyo mizigo nimejitahidi kuibeba mpaka nimechoka, bora mnisaidie wenzangu!.we' kweli chizi fresh!
unajua sheria kushinda Emaratus prof.Shivji,Tundu Lissu,Kibatala,Think Tank ya Taifa(TEC)?
Chief negotiators wa masuala ya bandari ndugu .. Lord denning na bi Faizafoxy wanakuja na ufafanuzi!!View attachment 2734325
Haya kelele za Watanzania wengi zimesikilizwa, Wenye sifa waombe kazi hiyo, tupunguze lawama.
Kazi ipo ngoja tuoneWale waarabu hawawezi kuachia ngazi hadi hela yao irudi, patachimbika.
Acheni kukurupuka. DP World anaanza kazi siku si nyingi.Chief negotiators wa masuala ya bandari ndugu .. Lord denning na bi Faizafoxy wanakuja na ufafanuzi!!
Wale waliosema DP World anachukua kila kitu sasa wanaumbuka, baada ya TPA kuweka wazi kuwa kuna magati yanayohitaji muendeshaji.Hata TLS Nao waliingia Chaka? Acha kujifanya mwerevu wakati huna hoja za kueleweka..
DPW iliingizwa ki magumadLshi full STOP
Kama chanzo chako ni Tanzania Leaks basi na wewe ni wale wale wazee wa FAKE NEWS.Hata wewe hujui unachokiandika.
View attachment 2734748
Usitishwe na hayo majina makubwa, yanaweza kutumika tu kama mimi na wewe tunavyoweza kutumika.we' kweli chizi fresh!
unajua sheria kushinda Emaratus prof.Shivji,Tundu Lissu,Kibatala,Think Tank ya Taifa(TEC)?
Dalili zinaonyesha wauza bandari wamebwaga manyanga. Wapambanaji tusishushe pumzi serikali hii inaongozwa na mwenye tamaa ya mali na mpigaji mkubwa. Wote mumeona ule ukwasi wa kiongozi wa afrika namba saba kwa utajiri. Miaka mitatu tuπ, je mkimpa tena miaka mitano? Si tutauzwa nchi nzima ππ€View attachment 2734325
Haya kelele za Watanzania wengi zimesikilizwa, Wenye sifa waombe kazi hiyo, tupunguze lawama.
Wangekuwa na taarifa za kina wasingekuja na ule waraka, kwani kilichofanywa na serikali ni tofauti kabisa na kilichoandikwa kwenye waraka.wewe mjinga TEC inataarifa nyeti za nchi hii huwa hawakurupuki kama mashehe wako ubwabwa.Ndo maana imetoa taarifa ikapiga kimya.Sasa jukumu lilobaki ni la samia kuonyesha ubavu.
Samia hawezi kuuza bandari za nchi yetu kwa wapwa wake Dubai tukae kimya.NEVER!
Wazawa wenye uwezo wa kuendesha bandari wameitwa hapo TPA wafanye kazi ya kuinua uchumi wa nchi na sio kuishia kupiga domo mitandaoni.Dalili zinaonyesha wauza bandari wamebwaga manyanga. Wapambanaji tusishushe pumzi serikali hii inaongozwa na mwenye tamaa ya mali na mpigaji mkubwa. Wote mumeona ule ukwasi wa kiongozi wa afrika namba saba kwa utajiri. Miaka mitatu tuπ, je mkimpa tena miaka mitano? Si tutauzwa nchi nzima ππ€
Kuna baya kweny comments yang chief? C nimekutagg utoe ufafanuzi chief negotiator!!Acheni kukurupuka. DP World anaanza kazi siku si nyingi.
Kwa hiyo kumbe maneno yenu ya bandari zote zimeuzwa yalikuwa ni uzandiki wenu tu?